Biashara ya kujenga na kupangisha Tanzania inaelekea kufa kabisa. Sasa hivi hii biashara inapumulia mashine ICU.
Kwa wakazi wa Dar es Salaam mtakuwa mashahidi, malls nyingi na majengo mengi ni matupu miaka sasa, Mkuki house sasa inaanza kujaa panya, Quality Centre and Plaza mnajua...
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na Mloganzila zimefunga mashine nne za kujifukiza.
Wakati Muhimbili zikifungwa mashine tatu, Mloganzila imefungwa moja. Gharama ya kila mashine ni Sh7.5 milioni na kila moja ina uwezo wa kuhudumia watu sita kwa wakati mmoja wanaopaswa kukaa kati ya dakika tano...
Anaejua mashine za kusaga plastics Hadi zinakuwa kama unga naomba info..
Hata kama mashine ni locally made..
Plastic kama chupa za maji na vifuniko vyake..
Tunauza wino wa photocopy mashine aina ya CONON IR zote pamoja na HP PRINTERS.... Kwa Bei ya Shs
19,000/= kwa Jumla.
Kwa mawawsiliano 0754257556
Kusafilisha mikoani BURE!
◉ Mashine hii inahesabu pesa zote za noti iwe fedha ya kigeni mfano:- dollar , euro, kwacha, Tshs n.k.
◉ Unaweza kuitumia ofisini kwako, dukani kwako katika matumizi mbalimbali ya kuhesabia pesa kwa uharaka zaidi na kwa uhakika zaidi.
◉ Tunakupatia Warranty ya miaka 2. Karibuni sana
◉ Bei...
Wale wanaowekeza kwenye mashine za kusaga nafaka. Matumizi yatakua ni kusaga unga mwingi labda kwaajili ya taasisi au mikusanyiko ya watu. Kwa matumizi ya kawaida ya nyumbani unaweza kusaga unga wako nyumbani.
Niaje kuku farm inakukaribisha wewe mfugaji mdogo na wa kati mwenye ndoto za kukuwa kwa speed nzur na kupata faida kwenye ufugaji wako katika mafunzo ya utengenezaji wa mashine za utotoleshaji(incubators)yatakayo anza tarehe 07/02/2021.
Mwisho wa mafunzo haya utaweza kujitengenezea mashine za...
Wajasiriamali House tumekuwa kwa zaidi ya miaka 10. tukiwasaidia Watanzania walio na mitaji isiyozidi laki 5 ,mbinu za kuanzisha au kuboresha bidhaa zao sambamba na mbinu za mauzo ya bidhaa zao. Kwa leo tutaangalia jinsi ya kuwa na kiwanda kidogo nyumbani cha utengenezaji sabuni bila kuhitaji...
Muda uliotolewa wa kuboresha Mashine za EFD wa mwezi mmoja (kuanzia desemba 7 hadi Januari 7) hautoshi, kwa sababu mawakala wanaofanya kazi hiyo wamezidiwa na kazi hiyo kutokana na wingi wa mashine hizo na tayari wameomba kuongezewa muda wa kufanya marekebisho hayo ya ghafla yaliyosababishwa na...
Kamishna mkuu wa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) Dkt Edwin Mhede amesema kuwa mamlaka hiyo haiongezi muda wa wafanyabiasha kuboresha mashine za EFD badala yake itachukua hatua za kisheria kwa ambao bado hawajaboresha.
Dkt. Mhede aliyasema hayo wakati akifungua mkutano mkuu wa nusu mwaka wa...
Uwezo: 5280 kwa wakati mmoja.
Muda wa matumizi: mwaka mmoja.
Condition: mint
Bei: 3.7m
Location: Dar es Salaam.
Sababu za kuuza: Mimiliki amehamishwa kikazi
Mawasiliano: 0755815174
Wakuu, naomba kuelekezwa pahala ambapo naweza kununua mashine ya kupasua mbao. Hii iwe ni ya kuhamisha na kwa vyovyote vile isiwe inatumia umeme. Isiwe chainsaw maana inaharibu mbao.
Nilijiuliza inakuwaje ana mafua makali namna hiyo na kikohozi wakati huu wa joto kali! Tukio lilianza siku ya ijumaa iliyopita. Nikadhani masihara. Jumamosi jioni naona mambo yanazidi kuwa magumu. Huku nawaza sana inakuwaje hali ile wakati huu wa joto kali? akaenda akachoma sindano ya kufanya...
Habari Jf.
Nauza mashine ya kukamulia juice za miwa.
Mashine inatumia engine ya petrol.
Mashine iko vizuri na mwamvuli wake kwa ajili ya kukukinga na Jua.
Bei ya kuuza ni 1.1 milion, dukani ina 1.3milion.
Mashine iko Ubungo River side.
Atakayenunua namtolea elfu 30 ya usafiri.
Piga simu au...
Habari ndg zangu wana JF,
NAMSHUKURU MUNGU kwa kunipa wazo hili la kuleta ombi la kazi hapa jukwaani,,,mimi ni fundi wa umeme mwenye uzoefu mkubwa. Nimejiajiri mimi mwenyewe, kutokana na hali ilivyo kwa kwa sasa, kwa kifupi sina kazi! Au by the way kazi ni...
Habari za leo.
Mashine seti nzima ya kutengeneza vijiti vya meno (toothpick) na vya kuchomea nyama(skewers) inapatikana.
Zimetumika kwa miezi michache.
Zipo Bagamoyo karibu na shule ya Baobab.
Ukinunua ukafunga wafanyakazi wako watapewa mafunzo kwa wiki moja. namna ya kuzitumia.
Bei ni mil...
Habari za Jioni ndugu wadau.
Nahitaji fundi mtaalamu wa mashine kubwa kubwa za viwandani.
Naomba msaada wa kuonganishwa kama kuna mdau yoyote anayemfahamu.
Ahsante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.