Habarini wakuu. Natumaini mko poa sana, narudi kwenye hoja yangu. Hivi kwanini haya makampuni yanayo dili na kurekebisha mashine zile za EFD wenyewe sio watoa risiti?
Nashangaa maana tunawapelekea mashine zikizingua wazirekebishe lakini sasa balaa linakuja unaambiwa lipia huduma ukilipa...
Kampuni ya Mwananchi inayochapisha Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti ambayo kwa miaka mingi imekuwa ikiaminika kwa kuhabarisha kwa uwazi iko kwenye msukosuko.
Pamoja na kushuka kwa biashara ya habari nchini, hali ya hewa so nzuri Mwananchi. Wafanyakazi wa idara ya matangazo wanasema kwamba...
Tunamashine mpya za kukamulia juice ya miwa
➡ Zinatumia betri hvyo unaweza fanya biashara hata mahali ambapo hakuna umeme,
➡ Bei ni 2.3 ml
📞±255657291795 WhatsApp kwa maelezo zaidi
.
Hii ni kwa wale majirani wetu ambao walikata kata mipapai yao, baada ya kutangaziwa kwamba mapapai yana Corona. Maabara kuu nchini Tz, Dar, imeumbuliwa baada ya uchunguzi kutoka kwa timu ya watu 10, ambayo iliteuliwa na waziri wa afya nchini Tz, Ummy Mwalimu. Uchunguzi wao ulibaini kwamba...
Bpharm: Chriss Johny
Tatizo la kuwa na ukavu ukeni hutokea wakati tishu za uke hukosa ute wa kutosha na uke kutokua na afya thabiti.
Kwa kawaida, kuta za uke hukaa zimehifadhiwa na safu nyembamba ya ute maji.
Dalili kuu ni kama vile kukosa hamu ya kuendelea KUSHIRIKI tendo, maumivu makali...
Hii ni hatua nzuri ya kufanywa na serikali maana sisi ni wadau wa kupaaza sauti juu ya mwenendo wa kusuasua wa mapambano dhidi ya ugonjwa huu wa COVID 19. Kuna sehemu nimepita kama nilivyoeleza kwenye heading na kushuhudia mashine hiyo ikifungwa tayari kwa kuanza uzalishaji wa barakoa.
Lakini...
Kupitia mtandao wa Kijamii, Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto amehoji ukimya wa matokeo ya uchunguzi wa ubovu wa vipimo ya Maabara Kuu ya Taifa baada ya Kumsimamisha Dkt. Nyambura baada ya mbuzi, mapapai nk kukutwa na COVID 19
Baada ya uchunguzi kukamilika tulitegemea haraka sana tupewe majibu...
Zanzibar imepokea mashine moja yenye uwezo wa kupima sampuli 288 kwa saa 24. Mashine nyingine mbili zilizoagizwa zitafika nchini humo muda wowote kuanzia sasa.
Zanzibar iliazimia kuwa na Maabara ya kisasa ya kupima COVID19 nchini humo ili wasiwe wanatuma sampuli kwenye maabara zilizoko Dar es...
Waziri wa afya wa Zanzibar mh Hamad Rashid amesema Zanzibar imeamua kununua mashine yake ya kupimia maambukizi ya Covid 19 ili kurahisisha upimaji na kupata vipimo kwa wakati.
Mh Hamad amesema mashine hiyo itawasili nchini Zanzibar kesho na baada ya kufungwa takwimu zitaendelea kutolewa kwa...
katika vita ya kuendelea kupambana na corona kuna mashine tunazitengeneza (disinfectant walk through ) kama inavyooneka hapo chini kwenye picha na video .tushirikiane kupambana na janga hili kwa wanao hitaji tuwasiliane ni milioni mbili na laki tano tu.tupo MBEYA karibu na IYUNGA tunafika ulipo...
Nimeona mara kadhaa ndani ya wiki hii aliyekuwa Mbunge wa Igunga na Mfanyabiashara Maarufu Rostam Aziz akitoa kile kinachoitwa mashine za kunyunyizia dawa zenye kuua virusi. Mashine hizi ni "full body spray" kwamba mtu anaingia mashine zinatoa kitu kama manyunyu au mvuke ambao unadawa zenye...
Mfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz amemkabidhi Spika wa bunge Mh. Ndugai mashine ya kuwapulizia dawa wabunge ili kudhibiti maambukizi ya Covid 19.
Sasa wabunge kabla ya kuingia Bungeni watapita kwenye mashine hiyo na kupuliziwa dawa mwili mzima kisha wataingia ukumbini.
Maendeleo...
WANASAYANSI wameweza kuongeza utaalamu zaidi wa kutambua jinsi binadamu anavyozungumza kwa kuangalia mfumo wa ubongo wake. Wataalamu hao wameweza kuhamisha mfumo wa ubongo kwa jinsi sentensi zinavyoundwa katika uhalisia na kupata kiwango cha makosa cha asilimia tatu katika neno.
Awali mashine...
Mimi kama mdau mkubwa wa Sekta ya kilimo kwa nyakati tofauti tofauti nimetembelea hii benki toka izinduliwe mwaka 2015 na kujaribu kupata mkopo kwa ajili ya shughuli zangu za kilimo na wakati mwingine kujaribu kusaidia wadau wenzangu kupata mikopo lakini katika hali ya kusikitisha saana haya ni...
Wanabodi,
Katika kusaidia kudhibiti Maambukizi ya virusi vya Corona, kukitokea any good practice, lets share ili na wengine waige.
Leo nimetembelea makao makuu ya kampuni ya mafuta ya Total, Total Tanzania, ukifika pale
Hatua ya kwanza ni lazima unawe na maji moto tiririka hapo nje na sabuni...
Aina nzuri ya hizi mashine naweza kuzipata wapi hapa Dar? Naomba na bei zake:
1. Mashine ya kujaza upepo (Air compressor)
2. Mashine ya kuchomelea (Welding machine)
Nakodisha hii mashine ukafanye kazi popote unapopajua nitakufundisha jinsi ya kuitumia kisha nitakupa ukahangaike nayo unapopajua wewe baada ya sisi wawili kukubaliana,mimi kupajua kwenu/kwako kwa mwenyekiti wako wa mtaaa,nk nk baada ya mimi kujiridhisha na upatikanaji wako basi nitakukabidhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.