Pre/Order:-MASHINE YAKUKANDIA UNGA.
Hii ni mashine yakukandia unga wa ngano kwaajili ya kazi mbalimbali kama vile keki,mikate,maandazi nk
Zipo size tofauti tofauti na bei ziko tofauti tofauti angalia kwenye picture bei zake na size zake.
KARIBUNI SANA.
Tunaleta bidhaa hii kwa ODA TU
Habari ndugu zangu,
Leo nimekuja hapa mapema hii nikiwa na shida ya hii mashine ya kutengeneza juice ya miwa, nahitaji kutoka kwa mtu atakayeweza kunikodisha na sio kununua. Awe Dar es salaam na bei ya kukodisha iwe affordable
Mashine za kutoza ushuru zimekuwa ni sehemu ya uniform kwa traffic police sasa hivi.
Naweza kusema kila Traffic polisi watatu unaowaona barabarani wawili wana hizi mashine za kulipia faini kwa makosa ya barabarani.
Fedha zinazokusanywa ni nyingi sana lakini fedha hizi hazitumiki katika kutoa...
*DOT MACHINERY PRODUCTS*
TUNAUZA MACHINE ZA UJENZI|VIWANDANI|MAJUMBANI|KILIMO|USAFI|
CAR WASH MASHINE INAYOTUMIA DIESEL-2.5M
BOTTLE JACK KUANZIA 100,000/= - 300,000/=
MASHINE YA KUPUKUCHULIA MAHINDI-YA UMEME 1.2M
YA DIESEL 1M
JACK YA KUBEBEA MIZIGO KUANZIA 2.9M-3.7M
GENERATOR YA 6.5KW,YA...
Mashine ya Kutengeneza na Kukausha Chaki za Shuleni ON SALE Tsh 30mil (Milioni 30)
Karibu tufanye biashara. Call 0767 235923.
Sifa za Mashine ya Kutengeneza Chaki:
Inatumia Umeme wa Single Phase;
Ni Semi-Automatic: Inatumia Motor kuchanganya Unga wa CHaki na Maji;
Ina Moulds (vinu) 6 za...
1. MASHINE INAYOTUMIA NISHATI YA UMEME NA ITATUMIA MAFUTA YA TAA KAMA NISHATI MBADALA KIPINDI UMEME UKIKATIKA
SIFA
-Inageuza mayai yenyewe (hata baada ya umeme kukatika)
-Inacontrol joto yenyewe (Hata baada ya umeme kukatika)
Inacontrol mvuke yenyewe (Hata baada ya umeme kukatika)
-Umeme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.