Zipo aina kadhaa za kutengeneza CHAKI kulingana na uwezo wa mtu binafsi.
Kwa kijana mjasiriamali unaweza kuanza na mashine ndogo na baadae ukishakuza mtaji unaweza kutafuta mashine kubwa zaidi.
Mradi wa chaki ni mradi mzuri sana ambao watu wengi hawajastukia kabisa, so ni fursa ambayo haina...
Wajuzi wa trakta mpo humu. Fungukeni tupate kujua. Ipi mashine ya ukweli kati ya 855FE na 960FE? Tudokeze na sababu
blacksamurai
Ulimbo
Mkyashinho
kidadari
DASM
Brian72
FURY BORN
na wakuu wote
Taifa la watu milioni 60 ambalo wengi Ni watoto na hakuna dawa mahospitalini linawaza kuzalisha barakoa milioni 86 kwa siku ndani ya kiwanda kimoja, tunaelewana?
Kwanza napinga uzalishaji wa barakoa milion 86 haupo, lakini cha pili najiuliza lini hiki kiwanda kimejengwa maana tuna miezi mitatu...
Nilifikiri mtu akiwa Ana mashine kubwa basi wanawake watamkimbilia na hawawezi kumuacha Wala kumuv on, Sasa jomba nchumali kila sehemu anakula kibuti, Wolipa, Salah, Kajara, Lina, Sasa Haina faida kumbe mapenzi ni zaidi ya maumbile ya sehemu nyeti.
Kama madada wangekuwa wanapenda mashine basi...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Dorothy Gwajima amesema hadi kufikia Julai 8, 2021 jumla watu 408 walibainika kuwa na ugonjwa wa corona huku 284 wakitumia mitungi ya oksijeni.
Dk Gwajima ametoa taarifa hiyo leo Jumamosi Julai 10, 2021 wakati akitoa elimu ya...
Habari wana JF!
Mashine hii inauzwa na bado haijapata mteja bei yake ni Milioni 5 tu. Unapewa kila kitu ikiwemo; mzani wa kupima hadi kg 300, motor n.k. Haina tatizo lolote ni vile tu tajiri ameamua kubadili biashara. Ipo Dar Es Salaam, Gongo la Mboto-Majohe(Unaweza kuihamisha ukitaka). Mashine...
Salam..
Nauza mashine ya kukoboa mpunga model SB 10D yenye uwezo wa kukoboa kilo 700 had 900 kwa saa.
Power yake ni 15HP
Mpya kwenye box lake
Bei kuanzia million 2.7 maongezi yapo
Contact; +255626751473
Instagram @nkuli_agrostoretz
Mbezi Luis karibu na stend mpya ya mabasi ya mkoani
Karibu sana
1 Teknolojia bora ya kudhibiti saizi ya chembe ya kulisha
Matokeo mengi ya utafiti nyumbani na nje ya nchi yanaonyesha kuwa wanyama wa uzao maalum na hatua maalum ya kulisha wana saizi bora ya chembe ya kusagwa kwa bidhaa zilizo na fomula maalum ya kulisha, na saizi hii ya chembe ya kusagwa ni...
Wadau naomba kama Kuna mtu Ana jaw crusher ya bei nzuri. Mashine ya kutengeneza kokoto nahitaji kama unayo au pengine unaweza kuniuzia au kukodisha nitashukuru
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inaujulisha Umma kuwa Jumapili tarehe 23 Mei 2021, Majira ya saa 8 Mchana katika Bandari ya Dar es Salaam, mashine ya kunyanyua vitu vizito (crane) iliyokuwa ikishushwa kutoka kwenye meli ya LCT AJE 1 ilipata ajali ya kutumbukia baharini.
Mashine...
Nauza mashine ya juice ya miwa na banda lake na kila kifaa cha kazi ikiwepo vyombo vya wateja,vya maji na extension ya umeme wewe ni kununua miwa tu na kuanza kazi..
Inatumia umeme
Imetumika MIEZI MITATU TU!!!
Kila kitu 1M
Wakuu habari za wakati huu?
Naomba wataalamu mnijuze mashine ipi bora kati ya hzi kwa ajili ya kuoshea magari
1. Inayotumia umeme
2. Petroli/ injini
Natanguliza shukrani
Tunatengeneza mashine za kusaga pamoja na kukuboa mahindi,pia mashine za chakula Cha kuku,mixer za udongo pamoja na mashine za kufyatulia matofali,nk,karbuni sana wateja wetu tunapatikana mabibo mwisho,wasililiana nasi kwa namba zifuatazo 0754043910, 0764753158
Mbunge wa Nzega Mjini, Dkt. Hamis Kigwangalla ameshauri mashine ya kujifukizia iliyowekwa Hospitali ya Muhimbili ivunjwe na watu wafauate hatua za kujikinga na #COVID19 ikiwemo kupata chanjo.
Kigwangwalla amesema wataalamu wa Afya wana jukumu la kumshauri Rais Samia na yeye kama mbunge...
Mimi Nina uzoefu wa kuwekeza kwenye hizi mashine za kukatia mbao na nimekuwa nikifanya kazi hii kwa muda kidogo na vijana wangu Ila mwaka Jana mwishoni nilipata matatzo ya kifamilia ya ghafla na kupelekwa kuuza mashine yangu.
Lakini toka mwaka huu uanze nimekuwa nikipokea oda za mbao Ila...
Nina mashine ya Maxmalipo nilikuwa anaitumia tangu mwaka 2010 lakini baada ya hapo nikaiweka pending bila kutumia ila sasa nataka kuanza kuitumia inasumbua netweki naomba kuuliza Je! hawa jamaa wa maxmalipo bado wapo?
Namba zao nikipiga hazipokelewi je napataje msaada?
Habarini,
Nilikuwa nahitaji kufahamishwa wanapouza mashine ya kutengeneza soseji au kama kuna mtu anaweza kutengeneza mashine ya soseji zile kama za kichina.
Nimeambatanisha na picha hapo chini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.