hamas

  1. M

    Mwanamama mateka wa Kiisrael mateka wa Hamas, aandika barua kuwashukuru Hamas kwa wema wao na asema anatarajia urafiki wao utaendelea

    Katika hali ya kustaajabisha, mateka wanaohojiwa wamekuwa wakiwashukuru Hamas kwa junsi walivyokuwa wakiwatreat vizuri. Hali hii imepelekea mamlaka za Israel kuwapiga biti mateka kuwa wakae kimya kuhusu jambo hilo la sivyo watanyamazishwa. Alianza bibi mmoja mzee wa Kiyahudi akielezea jinsi...
  2. Zanzibar-ASP

    Hamas waliobakia wanapaswa kutumia hii fursa ya kuachiliwa mateka na wao kujisalimisha, wasisubiri kuangamizwa!

    Ni fursa adimu sana jeshi la Israel limetoa la kusimamisha vita kwa siku chache ili kupisha zoezi la kubadilishana mateka na kuruhusu misaada ya kibinadamu kuingiza Gaza kabla ya zoezi la mashambulizi mazito kuendelea mbele ili kuhakikisha hakuna punje inayoitwa Hamas inabakia Gaza. Kama Hamas...
  3. Webabu

    Israel imebomoa majumba na kuua Gaza; Hamas imeporomosha uchumi wa Israel. Kumbe vikundi vinavyokwenda Israel ni vya watumwa

    Kwa kiwango kikubwa Israel yote inalishwa na shughuli za kilimo na ufugaji zinazofanyika kusini ya nchi hiyo na mpakani na Gaza ambazo asili ya ardhi hizo zenye rutuba zilitwaliwa na wayahudi waliovamia mpaka kufikia 1948. Na hata mashamba ya mitende ya kaskazini ya Israel yapo kwenye maeneo ya...
  4. MK254

    Kwa mnaosema Hamas ni mgambo, hebu waza mizinga ya rockets 7,400 yote ielekezwe Dar, mtapona?

    Na mbaya zaidi wanarusha hizi rockets huku wakitumia makazi ya watu yenye watoto na familia, hivyo Israel inajibu kwa umakini la sivyo Israel ina uwezo wa kuangamiza Gaza na kuifanya majivu tena ndani ya lisaa limoja tu. Mnaosema HAMAS ni mgambo, hebu hapo ukiwa umevimbiwa ubwabwa Tandale waza...
  5. Chizi Maarifa

    Hamas wametusaliti sisi wenzao

    Why? Why wanaamua kuwaachilia mateka? Tulikubaliana waache wayahudi waingie Gaza. Kisha tuwazunguke tuwapige kipigo kikali asirudi kwao hata mmoja. Nashangaa wanapowaachilia mateka. Hawa Israel walikuwa wetu kabisa. Tungewamaliza wote kisha tunamalizia na mateka wao. Hii ilikuwa nafasi adimu...
  6. M

    Hamas yawakabidhi mateka Kaskazini mwa Gaza ambapo majeshi ya Isreal yadai yameuteka. Isreal washangaa yanayotokea

    Al Jazeera:Al-Qassam Brigades handed over prisoners in the northern Gaza Strip with the population, confirming Israeli statements that Israel has lost control of the northern Gaza Strip.(Israel had declared the northern area a dangerous war zone and banned the passage of civilians) Juzi na jana...
  7. MK254

    Hatimaye HAMAS yakiri kuuawa kwa makamanda wake watatu waliouliwa ndani ya handaki

    Mpaka sasa sijaelewa HAMAS walikusudia kupata nini kwenye hivi vita, wamepoteza kwa Gaza kugeuzwa shamba, wamepoteza makamanda na wapiganaji wengi sana, Wapaletsina wameuawa zaidi ya 15,000 na sasa wapo kwenye harakati za kurudisha mateka almradi Israel ipunguze mapigo na wananchi wapate...
  8. Jaji Mfawidhi

    Vita ya Magaidi ya Ki-islam [HAMAS] Imenitufunza.

    Vita VYA magaidi wa Ki-islamu [Hamas] na ISRAEL , Vimewafanya watu WENGI wajue kuwa WATOTO WOTE wa IBRAHIMU ISAKA, ISMAIL NA KETURA na WENGINE ni WAEBRANIA. Imetufanya tutambue ISHMAEL ndio WARABU, ISAKA kupitia ESAU NA YAKOBO, KWA YAKOBO NDIO WAISRAELI, lakini pia waisraeli WALIOZALIWA na...
  9. MK254

    HAMAS huhusisha hawa watoto kwenye vita, ila wakikamatwa mnalia kwamba ni watoto

    Nimeona sehemu mwana JF Bome-e analia sana kuhusu taarifa za Israel kukamata watoto, ila kikawaida kwenye medani unapomhusisha mtoto ashambulie jeshi, mara moja anakua military target, haijalishi umri wake tena, na wana bahati kwamba walikamatwa tu, vinginevyo wangeuawa...
  10. Webabu

    Hamas yaendelea kuwaachia mateka ambao si waisrael bure kabisa

    Kuonesha kuwa Hamas vita vyao ni baina ya Palestina na Israel imeendelea kuwaachia mateka ilionao ambao ni raia wa mataifa mengine bure kabisa. Hii inaonekana kuwakamata kwao ilikuwa ni kwa bahati mbaya tu. Hapo jana raia 10 wa Thailand na mfilipino mmoja waliachiwa kwa mshtuko wa wengi pamoja...
  11. Webabu

    Israel ilipovunja makubaliano na Hamas wakazuia mateka

    Kwa kweli Israel wamebanwa sana katika hii vita.JWanapigana na mtu ambaye anawafahamu sana hasa katika suala la kuvunja makubaliano na kutotekeleza maazimio.Kwa kujua hilo Hamas wamekuwa wakiendesha vita vyao kwa vipimo madhubuti sana. Katika siku ya pili ya utekelezwaji wa makubaliano ya...
  12. Ritz

    Hamas waeleza sababu za kuchelewa kuachiwa kwa kundi la pili la mateka

    Wanaukumbi. 🛑 Kiongozi wa Hamas Osama Hamdan, katika mahojiano na Al Mayadeen: • Kuna ukiukwaji uliofanywa na Israel katika kutekeleza usitishaji vita, baadhi ulitokea jana na ulirudiwa leo. • Hamas waliamua kusimamisha kuachiliwa kwa kundi la 2 la wafungwa, tunawasiliana kushughulikia na...
  13. M

    Tundu Lissu: Israel ni watu makatili. Hamas wana haki ya kujilinda kwa wanavyofanyiwa

    Akiongea na radio ya Arusha Tundu Lissu amewashtumu Isreal kwa wanaofanyia watu wa Gaza sio ubinaadam na ukatili. Alisema mtu mwenye akili timamu hawezi kuwaunga mkono Isreal. Audio ya Mahojiano hayo nitayaweka hivi Punde. Audio inatembea ktk mitandao ya kijamii ikiwemo ktk magroup ya whatsup...
  14. M

    Video: Hamas wakiwaachia mateka wa Isreal. Wazee na watoto wakibebwa na Hamas kupandishwa katika magari

    Ukweli daimag huwa kweli. Ndio maana mayahudi walikuwa hawataki kabisa mateka wao kuachiwa kukimbia aibu Hamas wakati wanaachia mateka walikuwa wakiwabeba na kuwapandisha ktk magari kwa huruma kubwa wakiwaonyesha MOD. UZI HUU UACHE USIUDELETE AU KUHAMISHA...
  15. M

    Isreal: Hamas imewatendea ubinaadamu mateka siku zote walizowashikilia

    Eli Bin, the director general of Israel’s national emergency service Magen David Adom, has told Army Radio he had spoken to the Red Cross delegation overseeing the captive release. He said he was told an initial assessment indicated the captives were in “good and reasonable” health. The...
  16. matunduizi

    Mkristo kushabikia au kuwa na upande vita vya Israel na Hamas ni matokeo ya ujinga wa maandiko

    Kushabikia Wayahudi au Waislam katika vita hivi ni matokeo ya ujinga wa maarifa. Wayahudi na waislam wote hawamjui Yesu. Wananyozidi kuuana wanaongeza idadi ya watu wa jehanam. Mkristo unatakiwa kuombea amani, na katika amani hiyo hao Wayahudi wasiomjua Yesu na Waislam wakiwemo hamas wasiomjua...
  17. Ritz

    Makabidhiano ya mateka: Israel kuwaacha mateka 39 wa Palestina kwa watekaji wa Israel huko Gaza

    Wanaukumbi. BREAKING: ISRAEL YAWAACHA MATEKA 39 WA PALESTINA KWA WATEKAJI WA ISRAELI HUKO GAZA. Israel imewaachilia mateka Wapalestina 39, wanawake 24 na watoto 15. Hamas kukabiliana na mateka 13 wa Israel. Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu litasimamia uhamisho huo katika jela ya...
  18. matunduizi

    Israel kutumia mbinu za Misri, Kujaza maji ya Baharini kwenye mashimo yote walimojificha Hamas

    Mkakati uliopo baada ya kukoswa njia mbadala ya kuwafumua mashimoni Hamas, IDF wamekuja na mkakayi wa kupump maji ya baharini kwenye mahandaki na tunnels za hamas huko gaza. Njia hii iliwahi kutumiwa na Misri huko sinai kwa haohao Hamas. Walikuwa na mahandaki wakipitisha magendo ya silaha na...
  19. Chizi Maarifa

    Wayahudi wamempiga sana Mwarabu mpaka Hamas wametema Bungo

    Myahudi Anakupiga wewe utawatoa ulikowaweka. Mbona ni rahisi. Umewahi mwibia mtu kitu halafu akawa anakutandika tu we mwenyewe unamwambia nlificha kwenye ...? Ndo alichofanya myahudi kwa kamas. Utatoa hutoi? Sitoi... Kuuuh.... Utatoa hutoi.... Sitoi... Kuuuh. Utatoa hutoi. Natoa... Haya.... Kaa...
  20. K

    Israel yakubali masharti ya HAMAS kwenye kusitisha mapigano ya vita kwa siku 4. Kwa masharti haya,nani kaelemewa?!!

    Mgogoro wa Israel na Palestine huku ukiendelea kwa mashambt makali,kesho vita vitasinama kwa siku 4. Yafuatayo ni masharti ambayo Israel na HAMAS zimekubaliana kwenye mazungumzo ambayo yamekua yakifanyika nchini Qatar kwa takribani wiki 2 Sasa. Makubaliano hayo yameungwa mkono na USA ambae ni...
Back
Top Bottom