Padri Georges Abed wa Chile amesema mtu akitaka kumuuliza yeye kuhusu Gaza, Hamas, mauwaji na umwagikaji damu basi asifanye hivyo kwa kumchorea picha yenye ukubwa wa inchi kadhaa. Lazima achore picha kubwa ambayo itaonesha mpaka miaka 75 iliyopita.
Chile ni moja ya nchi za Latin America ambazo...
WAKATI vita ya Israel na Hamas inaendela, Waislamu wa HAMAS wakishajihishwa na Iran pamoja kundi la HEZBULAH lenye ufadhili wa Matajiri wanaoshinda CAsiino za Quatar ndio makundi yenye shughuli nyingi kwa sasa.
Je Makundi haya ya uhusiano na waislamu au waislamu wanayakana haya makundi?
JE...
Kiongozi wa Hamas, Mousa Abu Marzouk amesema amesema kuwa ilikuwa ni vigumu kuachiliwa mateka wanaowashikiria wakati Israel ikiishambulia Gaza kwa mabomu.
Kiongozi huyo wa Hamas ameyasema hayo wakati wa mahojiano maalumu na Shirika la Habari la Uingereza (BBC), huku akiahidi kwamba kundi lake...
Mambo yanazidi kuchukua sura mpya ambayo haikutarajiwa katika vita vinavyoendelea Gaza.
Kwanza general mtaafu wa jeshi la IDF aliyepewa kazi kuongoza kikosi cha wastaafu wenzake,Yair Golan amesema vikosi vya IDF visije vikajaribu kuwafuata wapiganaji wa Hamas kwenye mashimo yao. Huo ni mtego...
Makazi yamesambaratishwa, wakimbizi wanateseka kila siku, na hadi sasa vimeripotiwa vifo 9,770..... na bado Israel wanaendelea na shughuli baada ya kuzingira Gaza...............hivi mnaoshabikia kilichofanywa na HAMAS, bado mnakomalia kilikua sahihi?
================
Israel-Hamas war live...
Nov 05, 2023 06:50 UTC
Habari za karibuni kabisa za Palestina zinazungumzia kuendelea mashambulizi ya anga na mizinga ya utawala wa Kizayuni dhidi ya maeneo tofauti ya raia kwenye Ukanda wa Gaza na kukiri duru za Kizayuni kwamba Tel Aviv imenaswa katika mtego wa wanamapambano wa Palestina...
Nov 05, 2023 06:46 UTC
Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ametangaza kuwa, harakati hiyo ina uhakika wa kuushinda utawala wa Kizayuni katika vita vinavyoendelea Ghaza hivi sasa.
Televisheni ya Al Jazeera imemnukuu, Osama Hamdan, mmoja wa...
Kinachotokea Ukraine ndhicho kitakachoipata Israel mbele ya Hamas.Ukraine na Israel wote wanafanana kwa viwango vya kiburi vita vilipoanza.
Ukraine alipoona uchumi wake ni mkubwa akaamua kuichokoza Urusi na vita vilipoanza na misaada ikaamiminika aliamini ataishinda Urusi na kujizolea sifa...
Jeshi la Israel linakabiliwa na mapambano makali kutoka kwa wapiganaji wa Hamas ndani ya Gaza.
Masaa 24 yaliyopita Israel imepoteza zaidi ya wanajeshi 24 kwa kuuawa na wapiganaji wa Hamas
huku wengine wakitekwa nyara.
Hali hiyo imepelekea Leo hii kuanzia asubuhi Israel kushambulia misikiti...
Bada ya wakimbizi wa kipalestina kuondelewa kutoka Jordan walipokelewa na Lebanon, nchi ambayo ilikuwa yenye mchanganyiko wa wakristu na waislam. Wakristu walikuwa wengi kuliko waislam.
Sasa hawa jamaa walivyofika kule lebanon, kwa kuwa fujo na ubaguzi ndio asili yao, wakaanza vugu vugu kwa...
Poleni mashabiki wa HAMAS humu, kamanda kawahishwa kwa mabikira, sijui kama yeye atapewa zaidi ya 72 au kwa vile yeye kamanda anaweza akapewa 200 hivi, dah raha sana nyie watu, ila mabikira wana usumbufu haswa hawa kila wakitolewa ubikira unarudi.
======
IDF says it has eliminated the...
Waasi wa kundi la Houthi wanaoungwa mkono na Iran nchini Yemen walitoa video ya kile walichokisema kuwa ni kurusha makombora ya balestiki katika Israel.
Msemaji wa jeshi la Houthi Brigedia Yahya Saree, alidai kurusha makombora ya balestiki na ndege zisizo na rubani dhidi ya Israel, akisema hiyo...
Wana mgambo wa HAMAS hawamiliki kifaru hata kimoja wapa ndege ya jeshi,harakati zao dhidi ya Israel huzifanya kwa kutumia bunduki, rocket na makombora ya masafa mafupi na yale ya mkononi pamoja na drones.
Israel imekua ikipata tabu na kutumia gharama kubwa kupambana na HAMAS kiasi cha kwamba...
Kama kawaida HAMAS baada ya kushambulia Israel, walikwenda kujificha ndani ya akina mama na watoto, sasa huyu mkuu wao aliingia na kutulia ndani ya wakimbizi, Israel walifyatua tu humo humo na kumuua Ibrahim Biari.
Wananchi wapenda amani waliagizwa waondoke ili HAMAS wabaki wenyewe na...
Kuna sehemu nilisoma wanatumia aina fulani ya gesi kwenye hayo mahandaki inayofagia kila kiumbe na kuwawahisha kwa mabikira....
GAZA/JERUSALEM, Oct 31 (Reuters) - Israel said its forces attacked Hamas gunmen inside the militants' vast tunnel network beneath the Palestinian enclave of Gaza after...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.