Katika orodha ya masharti ya kusitisha vita ni kuruhusiwa kuingia Gaza kwa malori 200 ya misaada mbali mbali yakiwemo kwa uchache malori 4 ya mafuta kila siku.
Masharti hayo yatakayoanza kutekelezwa kesho Ijumaa saa moja asubuhi za Gaza itaanza kwa kutosikika risasi yoyote hewani halafu malori...
Who is winning the battle? Nilitegemea 6 day war or something near to that ijirudie, why not this time? Ina maana Israel nguvu zake kijeshi zinatelemka, and if so , IS IT WRIGHT ONE TO PREDICT THAT existence ya Israel is at stake! Maana waarabu wakipata upenyo, wanaifuta kwenye uso wa dunia...
UTANGULIZI
Unasisitiza kuwa Kuingamiza Israel ni Jukumu la Uislam
ARTICLE 11
Ardhi ya Palestine ni Mali Takatifu kwa Waislam; Kwa wale msiojua kiini cha Dai hili ni UONGO ULIOFANYIZWA NA WAISLAM KUWA AL-AQSA MOSQUE NI ENEO TAKATIFU AMBAPO MTUME MOHAMMAD ALIPAA KWENDA MBINGUNI. Huu ni Uongo kwa...
HAMAS wameachiwa unafuu wa mapumziko ya kipigo kwa siku nne, nayo itaachia mateka 50 wa Israel na imeambiwa itaongezewa siku moja kwa kila ikiachia mateka kumi kwa siku, ila baada ya hapo kipondo kitaendelea, na pia hamna cha wafungwa kuachiwa kutoka kwa Israel.
Pia haijaelezwa mateka wasio...
Duh! Afrika Kusini wanalo, kama ilifika wakaachia mazombi ya kidini mpaka yakafikia uongozi wa kuwa meya
A former mayor of Johannesburg, South Africa posts online a picture of himself holding an assault rifle accompanied with the words “we stand with Hamas,” before quickly pulling it offline...
Naam leo ndo leo majira ya saa 4 usiku kwa saa za afrika mashariki kutakuwa na mchezo kati ya Tanzania na Morocco
KUFUZU WORLD CUP: TANZANIA YAPOTEZA 2-0 DHIDI YA MOROCCO KWA MKAPA
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepoteza kwa magoli 2-0 licha ya kuwa nyumbani kwenye Uwanja wa Mkapa...
aibu
baada
ccm
dunia
hamas
intelligence
israel
kisiasa
kombe
kombe la dunia
kufuzu
kuhusu
kujipendekeza
maoni
mchezo
mkeka
morocco
mpira
mstaafu
novemba
rasmi
shambulizi
taifa
taifa stars
tanzania
vitu
wangu
yanga
yangu
Wanaukumbi.
Maafisa wa Hamas 'wanakaribia kufikia makubaliano ya mapatano' na Israel na kundi hilo limetoa majibu yake kwa wapatanishi wa Qatar, Ismail Haniyeh alisema katika taarifa.
Taarifa hiyo haikutoa maelezo zaidi, lakini afisa wa Hamas aliiambia Televisheni ya Al Jazeera kwamba...
Naona mkuu wa HAMAS anasema yupo kwenye hatua za mwisho kuishawishi Israel isitishe mapigo kwa siku tano na yenyewe itaachia mateka 100.
Japo wanajifichia kwenye mgongo wa misaada, ila kimkakati hizo siku tano zitawasaidiaje?
Maana ni siku chache sana hata kutoroka kutashindikana.
==========...
Wajumbe 300 wa Umoja wa Mataifa wamelazimika kutazama unyama uliofanywa na HAMAS na kilichosababisha Gaza ichezee kichapo, ni video zilizokua zinachukuliwa na HAMAS wenyewe kwa walivyo wapumbavu, inapaswa zisambazwe kote kote duniani, ili makelele yapungue na kuipa Israel fursa ya kuendeleza...
Mazayuni wamechezea kichapo cha maana jana na juzi kutoka kwa Hamas, Hizbollah na Wayemeni kilichopelekea wao kukubali masharti yote ya Hamas ya kusimamisha mapigano.
Ikumbukwe kuwa mpaka juzi, Wayahudi walikuwa hawataki kabisa kusikiliza yeyote duniani na kusema hawasimamisha mapigano mpaka...
Haijalishi wewe ni muislam au lah lakini kama una akili za kutosha hauwezi furahia unyama walioufanya hamas. Jana tu tumepokea taarifa dogo wetu mtanzania ni kwamba hayupo tena na sisi.
Huyu prince ni mmoja wa waislam wachache ambao wamejitokeza kukiri ujinga wa hamas wengine wanajifanya...
Azov Brigade ya Ukraine inatambuliwa na ulimwengu wa magharibi kama mashujaa walinzi wa Ukraine ila Hamas wana tambulika kama kundi la kigaidi kutoka Palestine.
Ulimwengu wa Kimagharibi wakiamua kinyesi kiwe chakula wanaamua tu na ukiwa muunga tela watakulisha nawe utaona utamu wake.
Dunia hii...
Kuna baadhi ya watu wamepata dhana kuwa vita vinakaribia mwisho Gaza, kumbe ndio kwanza viko katikati ya safari.
Kifo cha Colonel Kevin Darwin hapo juzi huko Gaza kumeleta huzuni kubwa mjini Tel Aviv na Israel yote.Afisa huyo muhimu wa Mossad amepewa jina la sifa kama black mamba kutokana na...
Wanaukumbi,
Israel na propaganda zao Dunia inafahamu uongo wao waliwachoma moto Wapalestina 200 wakasema ni Waisrael wamechomwa na Hamas leo wamekiri kuwa ni Wapelestina.
Swali basi ni, nani aliyewachoma?
Interesting! Israel now admits some 200 of the bodies they said were Israelis turned out...
Israel iimefanya mauaji ya watoto, wanawake na raia wasio na hatia kwa kuipiga mabomu hospital kuu Gaza kwa kisingizio kua ni chini kuna makao makuu ya HAMAS,wamefichwa mateka na ni hifadhi ya silaha za HAMAS.
Tazama uongo wa Israel ambayo yenyewe binafsi imepandikiza silaha na kutengeneza...
Kiaongozi wa Iran Ayatollah awasuta wanaoshangaa kwanini Iran imeishindwa kufanya chochote kwenye huu ugomvi, asema jinsi vile vile haikuombwa ushauri kabla kulianzisha basi wapambane tu huko na kwamba Iran haitoingilia....hii ni habari mbaya sana kwa majihad ya humu JF maana wamekua wanasubiri...
Wanaukumbi.
Mwanzo tuliaminishwa kuwa Hospitali ya Al Shifa, kuwa ndiyo Makao Makuu ya Hamas wana maandaki chini ya hosptali wanajicha huko na kupanga mashambulizi pia wanatumia wagonjwa na raia kama kinga.
IDF wamevamia hospitali na na hii ndiyo taarifa yao.
"Wanajeshi walipata sare za...
Waziri mkuu wa Israel, Benjamini Netanyau amenukuliwa akisema kwa jeuri na majivuno kuwa, jeshi la Israeli (IDF) litafika kila eneo lisiloweza kufikiwa huko Gaza na hakuna kima, pimbi au mende wa kiHamas ataachwa salama.
Jeshi la Israeli kwa sasa liko katika viunga vya mitaa yote ya jiji la...
Wanaukumbi.
It is important to note that there is an alleged Israeli media blackout surrounding the exact details of the exchange.
However, some sources are publishing indications that suggest there is an alignment on a potential prisoner exchange, and it is getting closer:
- Netanyahu's...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.