Jeshi la Israel Leo jumatano limefanikiwa kuingia kwenye Hospitali ya Al Shifa , na kuanza operesheni ya kuwamaliza masalia wa Hamas na Viongozi wao.
IDF imeingia hospitalini hapo ikiwa pamoja na madaktari na watafsiri wa lugha ya kiarabu. Jeshi Hilo limesema litawasaidia watoto wa changa kwa...
Hawa mazombi walikua na serikali kabisa ikiwemo makao makuu ya polisi, ila wamepoteza kila kitu sasa wamekusanyika kwenye hospitali ndio kete yao ya mwisho, na huko huko Israel imesema inapiga tu hamna nini wala nini....
====================
The IDF on Tuesday announced that it had captured a...
Mzuka wanajamvi,
Jeshi tukufu, takatifu na Teule la Israel IDF lapiga picha wakiwa ndani ya jengo la bunge Gaza huku wakipeperusha bendera ya taifa teule la Israel wakiwa na furaha.
Ikiwa ni zaidi ya mwezi sasa tangu vita vianze na huku jeshi la Israel likisema limeizingira Gaza yote kwa vifaru na kubomoa mahandaki yanayotumiwa na Hamas,ghafla leo kombora zito la masafa marefu limeonekana likipaa kutoka Gaza.
Kwa mujibu muandishi wa Aljazeera aliyeko Palestina ya ukiongo...
Jamaa wameongeza idadi, mwanzo walisema wataachia 15, sasa wameongeza idadi hadi 70.
---
Hamas Says Ready To Release 70 Hostages In Return For 5-Day Truce
The armed wing of Palestinian group Hamas said on Monday they told Qatari mediators that the group is ready to release up to 70 women and...
Uungwaji mkono wa Palestina umezidi kupaa kote duniani.
Huko Afrika kusini jioni ya jana Jumapili kikundi cha wanaounga mkono Israel kilikuwa kimeandaa ibada ya kuiombea Israel katika vita vyake dhidi ya Hamas na kuwaombea mateka wanaoshikiliwa huko Gaza.Shughuli hiyo ilikuwa ikiendelea...
Nchi za kiarabu na mnatakiwa kuwashawishi HAMAS haraka kuwaachia mateka wa kiisraeli ili kuokoa maisha ya wanachi,watumishi wa afya huko Gaza
Kwa makosa ambayo HAMAS ilifanya kujenga mahandaki ya kujifichia na kupanga mashambulizi chini ya hospitali shule,kambi za wakimbizi , na israel kuapa...
IDF wameshasema lengo lao ni viongozi wa HAMAS kwa hiyo wanawasaka popote walipo na HAMAS wameona sehemu ya kutafuta huruma kwa mataifa mengine ni kujificha kwenye miundombinu ya kutolea huduma za kijamii.
Muhimu amani ipatikane
Uadui upo rohoni, mtu anazaliwa nao.
Ili usalimike mbele za adui yako njia ni mbili tu;
1. Ukimbie mbele zake, ukiona adui amekuzidi nguvu au maarifa ili usalimike ni kumkimbia tu.
2. Umuue.
Hawa Hamas na watu wa jamii ya Palestine ni maadui wa Israel miaka na miaka. Israel akipata mpenyo na...
Eti maandamano kupinga vita dhidi ya palestina. Muisrael afanyi vita dhidi ya Palestina anafanya vita dhidi ya magaidi ya Hamas.
Hakuna mnachoandamana cha maana dhaidi ya kutimiza itikadi zenu kama sio mbona hamjalia kupinga vijana Watanzania kuwa mateka chini ya hao Wapalestina wenzenu. Kisa...
Kama kawaida HAMAS wamekua wakitumia maeneo ya raia kama eneo la kurushia makombora, sasa kuna hili handaki lipo chini ya hospitali ambayo inahudumia wananchi, Israel wameizingira na muda wowote kutatokea maafa hapo, sijui pataishaje maana hilo handaki ndio command post ya HAMAS...
Wana Bodi,
Matumaini yangu kuwa nyote hamjambo!
Swali langu lipo hivi wewe mtanzania kwanini unaichukia Hamas?Ni maslahi yapi unapata kwa kuichukia Hamas?
Na kwanini usiichukie Israel kwa kuvamia Palestine kwa nguvu wakati kiukweli ardhi ni ya wa Plestina.
Wapelestina wakidai wanashushiwa...
Israel wakikubali kusitisha mapigo kwa walau siku tatu, mateka 15 wataachiwa huru.............
Negotiations are continuing between Israel and Palestinian group Hamas, mediated by Qatar in coordination with the United States, that could see 10-15 Hamas-held captives released in exchange for a...
Israel imekwisha. Hamas wameshaimaliza Israel. Sisi tunasheherekea hapa Tandale kwa Mtogole kwenye Ms..... Wa Ijumaa
Israel... Wamekwisha kabisa. Vita imewashinda..... Hamas wamejificha kwenye mahandaki wakipigana na wadudu kama panya nk. Israel wapo palestine hamas wapo mashimoni. Wakiendelea...
Hatimaye Jeshi la Israel limeweza kuitwaa ngome kuu ya Hamas katikati mwa JIJi la Gaza. Ngome hiyo maarufu Kama Central Hamas Military quarter iliyopakana na hospitali ya eneo la Shifa.
Kikosi Cha 162 Cha IDF kilichotwaa ngome hiyo kimefanikiwa kuwaua wapiganaji wa Hamas 50 na kwa Sasa...
Jamaa wanaendelea na operation yao. Bila kelele. Naona kwa sasa wanaendelea na kubomoa miundo mbinu ambayo wanaiiita ya Kigaidi.
Hali ni Mbaya.... Wanajeshi wa Hamas hawaonekani eneo hili nimejaribu kuwaangalia bila mafanikio. But naomba sana hii vita iishe. Inatosha sasa.
Wapalestine wa...
Katika hali isiyotegemewa kabisa.Viongozi wa kundi la Hamas wamekanusha madai ya jeshi la Israel kwamba wamepoteza udhibiti wa Gaza na kwamba jeshi la Israel limesonga mbele mpaka katikati ya Gaza.
Mshangao unakuja kutokana na ukubwa wa mashambulizi yaliyofanywa na jeshi la Israel na kutoa moto...
Mkuu wa kitengo Cha kutengeneza Silaha, ikiwemo makombora Bwana Mahsein Abu Zina ameuawa na majeshi ya IDF mjini Gaza. Abu Zina ndiye kiongozi aliyekuwa akiaminiwa katika kutengeneza makombora na Silaha zingine.
Kwa Sasa kiongozi wa Hamas Gaza, Yahya Sinwar amezingirwa na majeshi ya IDF na hii...
Wanaukumbi.
-----
136 enemy military vehicles were destroyed by the resistance
Abu Obeidah, the spokesman of the Qassam battalions:
We have completely and partially destroyed 136 enemy military vehicles and stopped them from continuing the operation.
Our Mujahideen destroy vehicles and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.