hamas

  1. MK254

    Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

    Tal Chaimi, mkazi wa Kibbutz Nir Yitzhak, na Joshua Luito Mollel, mkazi wa Kibbutz Nahal Oz , waliuawa wakati wakishikiliwa mateka na Hamas katika Ukanda wa Gaza. Miili yao yote miwili bado inashikiliwa na Hamas. Chaimi aliaminika kutekwa nyara lakini, ushahidi mpya ulionyesha aliuawa Oktoba 7...
  2. Kididimo

    Al-Jazeera ni TV ya ovyo, kwenye vita ya Israel vs Hamas hawasemi athari zinazotokea upande wa Hamas

    Ukiwa muongo, pia uwe makini. Kwa muda wote vita hii imepiganwa hajafa wala kutangazwa wangapi wa Hamas wamekufa! Picha zinazorushwa ni za vitoto tuu na kidogo wanawake. Cha ajabu ukiangalia TV hiyo hiyo, miili mingi ya maiti zilizokufa GAZA na iliyofunikwa kwenda kuzikwa ni ya watu wazima...
  3. Exile

    Viongozi wa HAMAS waliokuwa wanaishi Qatar waenda kusikojulikana. Netanyahu awataka Mossad kuchukua hatua

    Viongozi kadhaa wa Hamas wameondoka Qatar kuelekea kusikojulikana, na wamezima simu zao. Kulingana na idhaa ya lugha ya Kiarabu ya KAN, Saleh al-Arouri, mwanachama mkuu wa Hamas, pia aliondoka katika makazi yake ya kawaida huko Beirut kuelekea Uturuki. Netanyahu amewambia Mossad kuchukua hatua...
  4. MK254

    Hakuna taifa lenye jibu la Gaza iweje baada ya HAMAS, hivyo Israel itapiga kisha ikalie kama koloni

    Hakuna taifa la Waarabu lenye utayari wa kuwajibika kwenye kuijenga Gaza na kuilinda baada ya Israel kuisambaratisha, wote wamegoma. Hivyo Israel itabidi ipakalie kimabavu baada ya kusafisha. ========== The Palestinian question is extremely delicate for leaders in the Arab world, where the...
  5. Doctor Ngariba

    Je, Hamas wanasaidiwa katika hii vita dhidi ya Israel?

    Wakuu naamini muko buheri wa afya, pole kwa ambao wanapitia changamoto ya afya na Mungu awaponye. Naombeni wanajukwaa munijibu swali langu kuhusu vita kati ya Hamas na jeshi la Serikali ya Israel. Nitashukuru iwapo jibu/majibu yataepuka yale maneno na misamiati ya "Wazee wa Makobazi"...
  6. Ritz

    HAMAS yasema hakuna mateka atakayeondoka Gaza akiwa hai hadi matakwa yake yatakapotimizwa

    Wanaukumbi. Hamas imeonya kuwa hakuna mateka atakayeondoka Gaza akiwa hai hadi pale matakwa yake yatakapotimizwa. "Hakuna adui wa kiyahudi na uongozi wake wa kiburi... wala wafuasi walio nyuma yao ... wanaweza kuwachukua wafungwa wao wakiwa hai bila kubadilishana, kujadiliana na kukubaliana na...
  7. MK254

    Baada ya Netanyahu kumkaripia Putin, Urusi yatoa amri HAMAS waachie mateka

    Jana Netanyahu aliongea na Putin kuhusu hali ya Gaza na akawa mkali kwa Putin kwa namna anavyotetereka kwenye hili suala. Leo naibu waziri wa masuala ya kigeni wa Urusi ameongea na wakuu wa HAMAS na kutoa amri waachie mateka ili Israel isitishe mapigo. Sasa sijui Waarabu watamlilia nani maana...
  8. MK254

    Hamas waomba ubadilishanaji wa mateka tena

    Kitu ambacho sielewi, hawa HAMAS wanapata faida gani kwa Gaza kufutwa kisa tu wapewe wafungwa wao huku hao HAMAS wakiachia mateka. Mpaka sasa vifo vya Wapalestina vinaelekea kugonga 20,000. Sasa hata hao wafungwa wakiachiwa, wanarudi nyumbani ipi maana pale pamekua shamba. Hata hivyo kuna...
  9. MK254

    Aliyekuwa waziri wa Hamas akiri yale mauaji yalikuwa kosa, yamesababisha Gaza ifutwe

    Asema Gaza imefutwa, imerudishwa nyuma miaka 200, hamna kitu pale hata watu wakirudi, amekiri lilikua kosa kubwa sana na kwamba uongozi wa HAMAS ni machizi wasiojielewa wala kuelewa chochote..... Aise kuua Wayahudi itabidi uwe tayari kufanyiziwa. =========== Former Hamas communications...
  10. MK254

    Mnaoshabikia HAMAS mfahamu walikamata hadi Waarabu mateka

    Huyu Bilal, dogo muarabu ambaye alikua mateka wa HAMAS, anaeleza jinsi walikamatwa mateka na namna walijaribu kujitetea kuwa wao ni waarabu, ila HAMAS hawakujali, walimkamata yeye na dadake Aisha na familia yote. Kati ya familia yake, yeye tu na Aisha ndio wameachiwa, wengine wote bado...
  11. MK254

    Mpaka sasa vifo vya watu 17,997 vimeripotiwa Gaza, je HAMAS palikuwa na huu ulazima?

    Uchokozi wa HAMAS kwa Wayahudi ulikua na ulazima wowote? Hivi vifo vingeepukika, na bado wanaendelea kufa... The Palestinian death toll from the ongoing Israeli attacks on the Gaza Strip has climbed to 17,997 since Oct. 7, the Health Ministry in the enclave said Sunday. Speaking at a press...
  12. Webabu

    Hamas yapiga uwanja wa ndege wa Ben Gurion uliopo Tel aviv

    Hapo jana Hamas ilirusha mvua ya makombora kutokea Gaza kuulenga uwanja wa kimataifa wa Ben Gurion na kuasababisha taharuki kubwa. Taarifa ya kijeshi ya Israel imesema Iron Dome zilifanya kazi kubwa ya kuyadaka makombora hayo hata hivyo yalitua uwanjani hapo na ndege za abiria ama kupigwa au...
  13. Webabu

    Hamas yasema hakuna mateka atakayeondoka akiwa hai bila matakwa yao kutimizwa

    Israel imechagua kupigana na kundi ambalo lina hamas za vita hawajapata kufikiria. Kundi la Hamas limetoa ahadhi kuwa katika juhudi za Israel kutaka kuwaokoa mateka waliobaki basi ijue kuwa hakuna mateka hata mmoja atakayeokolewa na kuondoka akiwa hai. Mfano halisi ni kijana Sahar Baruch, 25...
  14. MK254

    Picha: Idadi ya HAMAS wanaojisalimisha huku wakiwa uchi yazidi kuongezeka, baada ya kiongozi wao katoweka

    Wapewe chakula kwanza maana hapo najua wanakua njaa, wameogopa kuwahishwa kwa mabikira kule akhera... Dozens of Hamas terrorists lost contact with the terror group's leadership, leaving them with no option but to lay down their weapons and surrender to Israeli forces in the Gaza Strip, Army...
  15. MK254

    Kubwa la magaidi ya HAMAS lilitumia gari ya misaada kutorokea Gaza Kusini

    Liliacha vijana waendelee kujifia, ila sasa wengi wanajisalimisha tena wakivuliwa nguo na kubaki uchi... Hamas's leader in the Gaza Strip Yahya Sinwar speaks during a meeting in Gaza City, on April 30, 2022. (Mahmud Hams/AFP) Hamas leader Yahya Sinwar fled northern Gaza at the beginning of the...
  16. MK254

    Picha: Jinsi magaidi ya HAMAS yanajisalimisha yakiwa uchi huku yamenyanyua bunduki

    Ndio imekua sharti sasa, kama hautaki kuuawa wakati unajisalimisha, lazima uvue nguo kisha unyanyue bunduki yako..... An apparent Hamas member with his hands up hands over an assault rifle after surrendering to troops in northern Gaza's Jabaliya, on December 7, 2023. (Social media: used in...
  17. sky soldier

    Heri nusu shari kuliko shari kamili: Magaidi wa Hamas wanaendelea kuweka silaha chini na kujisalimisha kwa jeshi la Israel.

    Utaratibu ni ule ule, lazima wavue nguo zote (kasoro boxer) kabla ya kuomba kujisalimisha, Ni hatua za kiusalama kwa tahadhari dhidi ya mabomu ya kujitoa muhanga yanayoshonwa kwenye nguo. They did rejoice on 7th October right?
  18. Webabu

    Netanyahu na baraza la vita walia vibaya kwenye maziko ya General Gal,mtoto wa waziri aliyeuliwa na Hamas

    Japo wameshaua wapalestina zaidi 20 ukiunganisha na wale walio chini ya kifusi hata hivyo kifo cha askari mmoja wa cheo cha juu kumewahuzunisha sana viongozi wa Israel akiwemo kamanda mkuu wa vita baina yake na wanamgambo wa Hamas. Baba yake meja Gal huku akilia na kukumbatia jeneza la mwanawe...
  19. MK254

    Video: Wapalestina watumia mawe kujaribu kupigana na HAMAS waliokua wanaiba chakula cha misaada

    Hali imekua mbaya, Wapelestina na magaidi ya HAMAS waanza kugombea chakula cha misaada, kwenye hii video jameni maskini Wapalestina wanatumia mawe kupambana na magaidi yaliyojihami kwa bunduki. Wafuasi wa HAMAS humu JF tafuteni namna ya kuwafikishia chakula waache kutesa watu...
  20. Webabu

    Wakazi wa Ashkelon na Sderot ndani ya Israel wasema Hamas hawawezekani

    Sauti za mamia ya maroketi kutoka Gaza kila siku na miripuko angani ya Iron dome zinazojaribu kuyaharibu angani zimewakera sana wakazi wa miji ya Ashkelon na Sderot ambayo iko jirani na Gaza. Hali hizo ambazo zinaendelea baada jeshi la Israel kuingia Gaza na baada ya kurejelewa kwa vita...
Back
Top Bottom