Wanakumbi.
Siku kumi zilizopita, kiongozi mkuu wa kila siku wa Israeli, Yedioth Ahronoth, alichapisha habari zilizopatikana kutoka kwa idara ya urekebishaji ya wizara ya ulinzi. Mkuu wa idara hiyo, Limor Luria, aliripotiwa kusema kuwa zaidi ya wanajeshi 2,000 wa IDF wameandikishwa kuwa walemavu...
Leo ndio amekurupuka na kuanza kuwa mkali dhidi ya HAMAS na kulaani walichokifanya na kuamuru waachie mateka. Nakumbuka jamaa alikua analalamika lalamika Israel kuua Wapalestina lakini hakua analaani HAMAS.
Israel kamatieni hapo hapo piga.......
=======================
UN Secretary-General...
Utafiti wa Khalil Shikaki,mpalestina mwenye ofisi zake Ramallah ameweka wazi utafiti wake unaobainisha kuwa idadi kubwa ya wapalestina wanaunga mkono maamuzi ya Hamas kupambana na Israel.
Kwa mujibu wa utafiti huo ambao umefanyika pande zote za Palestina,jumla ya 72% ya waliohojiwa wamesema...
Hili hapa ni agano la HAMAS, ambalo linasema uislamu utaifuta Israel, kwa kifupi HAMAS hawana haja na maelewano au kuishi pamoja na Wayahudi kwa amani au hata ujirani kwa amani ila kuwafuta Wayahudi kama ambavyo wanaamini dini yao imewaagiza.
Hivyo kwa asiye muislamu na unasema unawaunga mikono...
Siku za karibuni Marekani imejifanya ina huruma na wapalestina na huku anapeleka silaha na anahimiza Israel iendeleze kazi yake.
Kuanzia raisi Biden ,Blinke mpaka wairi wa ulinzi Lord Austin wote wmejifanya wana huruma na kurudia ziara za mazungumzo ya siri na Israel.Wakiibuka hadharani wanasema...
Hivi kwa anayejua atusaidie kuelewa, baada ya HAMAS kuteka hao watu, walitoa sharti gani mwanzo ili kuwaachia, maana naona sasa wamekubali yaishe almradi Israel iache mapigo zaidi, na hii ni baada ya Israel kuua Wapalestina 20,000 na kuifanya Gaza kuwa shamba.
Je sharti la mwanzo la HAMAS kabla...
Hawa hapa wameshawahishwa kwa mabikira....
The IDF has successfully targeted four out of seven senior Hamas brigade commanders, the Israeli military's Arabic spokesperson Avichay Adraee wrote Thursday on X.
"The IDF continued to dismantle Hamas's Gaza brigades," Adraee wrote...
Hamas inasema kuwa makundi ya Wapalestina yamepinga matarajio ya kuachiliwa zaidi kwa mateka hadi Israel ikubali kumaliza vita Gaza.
Katika taarifa ya Kiarabu iliyosambazwa kwenye Telegram, Hamas ilisema: "Kuna uamuzi wa kitaifa wa Palestina kwamba kusiwe na mazungumzo kuhusu wafungwa au...
Huu ndiyo ulio ukweli mchungu. Ikumbukwe;
1. Israel anajinasibu kupambana na HAMAS akisema hana taabu na wapalestina huku wahanga wakiwa wapalestina; hadi West Bank ambako hakuna HAMAS.
3. Kila vita vinapotaka kusimama, maafisa wazito wazito wa Marekani huenda Israel na vita hurundima upya kwa...
Nimeshangaaa kuona baadhi ya watu wanashea habari na picha za uongo kuwa kijana molel alijiunga na jeshi la isael, watu Hawa wasio na akili wamekuwa wakituma picha zilizoeditiwa kiasi Cha Mimi kuzifanyia uchunguzi nikabaini Ni upotoshaji, lakini nikajiuliza wanapata faida gani kufanya hivyo? Au...
NAFTAL BENET anahojiwa sasahivi kwenye kipindi cha hard talk BBC anasema yeye mwenyewe kama komando alishiriki vita ya 2002 na kuwateketeza magaidi.
Pia anasema waaipoipiga HAMAS sasa na kuvunja vunja magaidi ya kiislamu basi kuna siku yatazilipua LONDON NA NEW YORK.
Na mwisho amemalizia kwa...
Akiongea na waandishi wa habari,Netanyahu amesisitiza kuwa mpaka malengo waliyojiwekea yakamilike ambayo moja wapo ni kutokomeza kundi la hamas,netanyahu ameongeza kuwa hamas wanapelekewa moto wa jehanamu na pia wanaowasaidia.
============================
Israel will continue its war against...
To all of you inventing and spreading calumnies against Joshua Mollel:
1. You are suckers.
2. You are all stupid people.
3. You are all idiots.
And if you believe everything that is being spread around by these people, then you are also a sucker, a stupid person, and an idiot all in one bag...
Yaani watu wenu wameuawa takriban 20,000 huku majengo yenu yameporomoshwa mumebaki kama mji wa mazombi, mnaachia mateka almradi kupata afueni kwa wiki moja, kiasha mnaendelea kupigwa na kuuawa, niliuliza hili swali humu na kama kawaida magaidi ya humu yote yakasema HAMAS wana akili na wanajua...
Picha tafakuri - sehemu ya wanajeshi wa Israel wakiombeoeza msiba wa mwenzao- tazama kwa umakini rangi za wanajeshi husika.
Kumekua na hamaki na sitofahamu nyingi sana baada ya clip ya mauaji ya Mtanzania anaefahamika kama Molel kusambaa mitandaoni.
Katika clip husika,wauaji mwanzoni...
Hamas pamoja na kuendelea na vita kwa mwezi wa tatu bado wako makini vichwani mwao kuhusiana na hadaa zozote dhidi yao.
Rais Isaac Hezrog wa Israel akizungumza na mabalozi wa nchi 85 jana aliwaahidi kwamba nchi yake inaendelea na mazungumzo ili kuongeza kiwango cha misaada inayoingia Gaza na...
Nimelia sana hadi machozi yameisha. Nimekuja kuamini kuwa Hamas ni magaidi na wanapaswa kuangamizwa, nimejitahidi kuulizia kama kuna connection kwenda kusaidia kuwaangamiza Hamas lakini nimekosa.
Naomba serikali itoe tamko kama Hamas ni magaidi au la! Maana naona nchi imetulia kama hamna...
Hapo vip!!
Bila shaka tunajua dini za Israel,kinachoshangaza kuna watu ambao ni wapumbavu,wanajaribu kuaminisha watu yakwamba waliomua kijana Joshua Mollel ni wasrael..wakati wauwaji wanasema Allah akbaru..Allah akibaru
NB,Musrael ana IQ kubwa hawezi kumuuwa tu mtu ovyo ovyo.Amehalalishiwa...
Naandika moyo wangu ukiwa unavuja damu juu ya vifo vya kikatili vilivyowatokea watanzania Clemence na Joshua.
Namuomba Mungu aendelee kuzikumbatia familia zao na kuwapa faraja kuu.
Nimemsikiliza moja ya ndugu wa Joshua akielezea namna serikali ambavyo haikuipa uzito suala ya vijana hawa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.