hamas

  1. Richard

    Israeli yaelekea kushindwa kuwamaliza na kuwateketeza kundi la Hamas kama walivyoahidi

    Israeli yaelekea kushindwa kuwamaliza kwa kuwaua wapiganaji wa kundi la Hamas kama walivyoitangazia dunia. Ni siku 90 (miezi mitatu) imepita tangu Israeli iingize majeshi yake ya ardhini ndani ya Ukanda wa Gaza huku wizara ya afya ya Gaza ikisema kuwa wapalestina wapato 22,000 wamepoteza maisha...
  2. FaizaFoxy

    Rais wa Marekani akiri Hamas haiwezi kumalizwa.

    John Kirby, akiwa hapo jumba jeupe akijibu maswali ya waandishi wa habari kwa niaba ya Joe Biden, amekiri moto wa Hamas ni mkali na hawawezi kabisa kuzima, sio leo sio kesho. Kukiri huko kumewashtuwa sana serikali ya israel. Mengine jionee mwenyewe:
  3. Webabu

    Hamas wafanikiwa kupigana nyuma ya mstari wa mbele wa IDF. Watumia droni kufanya upelelezi

    Hili tukio kiuhalisia wa vita vikali vinavyoendelea ni dogo lakini tunalitaja kwa uzito kwa sababu linatokea kaskazini ya Gaza ambako kwa muda mrefu tumeelezwa kuwa eneo hilo liko kwenye mzingiro na kwamba Hamas wote wamefurushwa. Msomaji anaweza akajiuliza kama ni hivyo Hamas wametokea wapi na...
  4. KING MIDAS

    Je, ni kweli Israel ilipiga na kuteka mataifa ya Kiarabu kwa siku sita? Sasa inashindwa nini kuwamaliza kikundi kidogo cha Hamas?

    Vita vya Siku Sita, pia vinajulikana kama Vita vya Juni, 1967 kati ya nchi za Kiarabu na Israeli, au Vita ya Tatu vya Waarabu na Israeli, vilipiganwa kati ya 5 na 10 Juni 1967 kati ya Israeli na Jordan, Syria, na Misri. Uhusiano kati ya Israeli na majirani zake haukuwekwa sawa baada ya Vita vya...
  5. Carlos The Jackal

    ISAREL yamuua Saleh Al-Arouri, Makamo Mwenyekiti wa Magaidi ya Hamas ,alikua kajificha Nchini Lebanon!!

    Waisrael wenzangu, lile Gaidi namba mbili la HAMAS lilokua mafichoni Nchini Lebanon , limeuliwa Leo Mara baada ya Ndege vita isokua na Rubani kuingia anga la Beirut Lebanon na Kuachilia kombora ambalo limemuacha Gaidi akiwa vipande vipande. Sambamba naye, wameuliwa magaidi mengine Matano...
  6. MK254

    HAMAS waondoa sharti la IDF kuondoka Gaza, wakubali basi hata wapewe wafungwa

    Juzi hapa walisema hata iweje hamna kukubali chochote kisichohusu Israel kuondoka Gaza, ila Israel wakasema hamna kitu kama hicho na kwanza wakaongeza mapigo. HAMAS sasa wanasema basi sawa jameni wapewe wafungwa wao tu wataachia mateka 40 ======================== Hamas negotiators have waived...
  7. Webabu

    Hamas walivyozivuruga sherehe za mwaka mpya Israel. Mvua ya makombora kutoka Gaza yawatoa mbio na kuwanyamazisha washerehekeaji

    Wakati saa ikisoma sifuri baina ya 2023 na 2024 mara Hamas wakaanza kurusha makombora kwa mtindo wao ule wa kama mvua ambapo Iron Dome huwa zinashindwa kujua ianze na lipi kati ya mengi yanayokuja. Sauti za ving'ora zilizofuata hazikuwa ni zile za kuukaribisha mwaka mpya bali za kuwaonya watu...
  8. MK254

    Wapalestina 21,822 hawajavuka mwaka, kisa uchokozi wa HAMAS kwa Wayahudi

    Gaza imebaki ukiwa, magofu na damu kote, yote haya yangeepukika kama msingewaua watoto wa Wayahudi eti mnatekeleza maagizo ya dini ya kufuta jamii ya Wayahudi. ============ GAZA, Dec. 31 (Xinhua) -- The number of Palestinian deaths due to Israeli attacks on the Gaza Strip has risen to 21,822...
  9. MK254

    HAMAS wamesakamwa hadi wamebakia kurusha roketi moja moja tena kwa kujificha sana

    Hawa hawa waliokua wanarusha mamia na maelfu ya rockets, wamesalia kurusha roketi moja kwa siku tena kwa kujificha sana maana kila wakifyatua, hapo ilipotokea panasambaratishwa kwa majibu ya Israel. Wamefifia maana kuna siku zinapita hawajarusha chochote, wamepoteana na kusakamwa...
  10. MK254

    Israel waingia ndani zaidi, wateka makao makuu ya ujasusi ya HAMAS

    IDF wanaendelea kutembeza kichapo ndani kwa ndani.... The IDF said troops of the 7th Armored Brigade had advanced further in southern Gaza, while raiding Hamas sites in Khan Younis, including the headquarters of the terror group’s intelligence division in the city. The intelligence...
  11. B

    Baba wa Joshua aomba serikali ya Tanzania iongee na nchi rafiki za HAMAS ili waachie mwili wa mwanae

    29 December 2023 Kilimanjaro International Airport Tanzania BABA WA JOSHUA AOMBA SERIKALI YA TANZANIA IONGEE NA NCHI RAFIKI ZA KUNDI LA HAMAS BABA MZAZI WA JOSHUA MOLLEL AMWAGA MACHOZI, AREJEA TANZANIA BILA MWILI WA MWANAE ALIYEUWAWA NA HAMAS https://m.youtube.com/watch?v=DTeLiUa7QVs Mzee...
  12. comte

    Kijana wa Kisrael aandika barua kugoma kujiunga na jeshi la nchi yake kupigana na Hamas. Hii imekaaje?

  13. Webabu

    Shaka imezidi kuongezeka kuwa Israel haitoweza kuifuta Hamas

    Wachambuzi mbali mbali wa kivita akiwemo raisi wa Ufaransa wamesema lengo la Israel kuifuta Hamas ni miongoni mwa malengo dhaifu ya vita vinavyoendelea Gaza. Raisi huyo baada ya kushuhudia hali ya vita inavyojikokota amesema wakati umefika kwa mamlaka ya Israel kutoa maelezo ya wazi kuhusu vita...
  14. Ngongo

    AL JAZEERA ni kituo cha HAMAS

    Utoaji wake wa habari umeegemea upande mmoja wa kupendelea kikundi cha kigaidi cha HAMAS. Al Jazeera ni kituo cha habari cha hovyo.
  15. Ritz

    Israel inawasihi China kusaidia mateka waachiwe na Hamas

    Wanaukumbi. Maneno mengi majingambo ya Netanyahu na wenzake wamekimbilia China kuomba msaada wa mateka wake huko Gaza, Hamas wao wapo kimya wanatoa kichapo tu huko Gaza. 🇮🇱🇨🇳 ISRAEL PLEADS CHINA TO HELP FREE HOSTAGE Netanyahu has reportedly asked Xi to assist in freeing Israeli hostage Noa...
  16. Webabu

    Yahya Sinwar baada ya kuwaponyoka Israel aibuka na kusema Hamas imeshaua zaidi ya elfu askari wa IDF

    Kiongozi mkazi wa Hamas ndani ya Gaza ameibuka kwa mara ya mwanzo tangu mashambulizi ya oktoba 7 na kusema jeshi lake linapigana vita vikali na ambavyo havijawahi kutokea. Matamko yake hayo yamekuja kwa njia ya maandishi na kuonesha ni matamko ya muda unaoendelea ametoa matamko kuashiria...
  17. Allen Kilewella

    Vita kati ya Hamas na Israel ni kati ya dini na dini au ni kati ya Taifa na Taifa??

    Nikiangalia michango ya watu humu JF, nashindwa kuelewa kama hii Vita kati ya Hamas na Israel ni Vita ya kidini ama ni Vita kati ya Taifa na Taifa!!?? Nani hasa anayejua hii vita inahusu nini??? Hii vita inahusiana Vipi na vita kati ya Wafilisti na waisrael?? Uislam na Ukristo unahusikaje na...
  18. B

    HAMAS yatuma salamu za Christmas kwa wakristo

    1. Hapa chini ni salamu za Christmas kwenda Kwa nduguze wakristo: 2. Ama kwa hakika ukitaka kumwua nyani usimwangalie usoni. 3. Ukitaka kumwamgamiza mtu mtafutie jina baya. 4. Mbowe, Slaa, Mwabukubusi na kina Mdude waliitwa magaidi "to justify the end." 5. Ningali na scan kutafuta salamu...
  19. FaizaFoxy

    Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu amekiri moto wa Hamas ni mkali

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amekiri kuwa vita vya Gaza vinawagharimu sana wakati idadi ya vifo vya wapiganaji wa IDF ikiongezeka katika ardhi ya Palestina iliyozingirwa. Matamshi ya Netanyahu yamekuja baada ya IDF kutangaza kwamba wanajeshi 14 wa Israel waliuawa mwishoni mwa wiki...
  20. MK254

    Video: Kubwa la HAMAS bwana Hassan Atresh lapigwa shaba na kuuawa

    Hawa wanaisha hadi basi tu.... An Israeli fighter jet successfully assassinated Hamas leader Hassan Atrash, the IDF and Shin Bet announced on Saturday. The assassination took place in the Rafah area in southern Gaza. Atrash was responsible for the trade, production, and equipping of the...
Back
Top Bottom