hamas

  1. J

    Hamas wajibu sababu ya kuteka na kuua raia wa kigeni: Inatuma ujumbe taifa haramu la Israel sio salama kuingia

    Kundi la Hamas limejibu kuhusu shutma mbalimbali zinazotolewa kwa kundi hilo kuwa limeua raia wa kigeni ambao hawahusiki na mgogoro wake na Israel Hamas wamejibu tuhuma hizo kwa kusema kuwa raia wa kigeni kuuawa kunatuma ujumbe kwa mataifa mengine kuwa taifa haramu la Israel sio salama na raia...
  2. Ritz

    Kama Hamas wanaamini katika Uislamu wanawezaje kumuua mtu wanayehisi ni Al-Shabaab (Muislamu)?

    Wanaukumbi. #JoshuaMollel: 👉🏽Ukitazama video mmoja ya wanaoaminika kuwa wauaji anamuuliza Joshua kwa Lugha ya kiarabu kwamba yeye ni mmoja wa kundi la kigaidi la “Al-Shabaab”? Nina maswali: 1) Kama Hamas wanaamini katika Uislamu wanawezaje kumuua mtu wanayehisi ni Al-Shabaab (Muislamu)? 2)...
  3. adriz

    Nawalaumu sana Hamas, Serikali ya Israeli pamoja na wale wanaowaunga mkono

    Moja kwa moja.. 1. Kwa nini nawalaumu Hamas ? Sikatai ukweli kwamba Raia wa Palestine wameishi kwa mateso miaka mingi chini ya utawala wa Wazayuni,wakiuwawa kunyimwa haki za msingi nk na nakubali kwamba wanayo haki ya kupambana katika kujikomboa na madhila wanayopitia. Ninapowapinga ni njia...
  4. Mto Songwe

    Watanzania Joshua na Clemence walitekwa na Hamas au waliuawa na Hamas Oktoba 7?

    Maswali yetu na tafakuri yetu yaweza kuwa msaada kupata mwanga kuhusu vifo vya ndugu zetu wawili hawa wa Kitanzania. Tuanze na taarifa ya mwanzo ya mkasa huu wa hawa ndugu zetu hii hapa⤵️ Israel yawatambua Watanzania wanaoshikiliwa mateka na Hamas 30 Oktoba 2023 Na Yusuf Jumah BBC Swahili...
  5. ngungwangungwa

    Ushauri: Serikali imfukuze Balozi wa Palestina nchini

    Ukiangalia ile video ya mauaji ya kijana mdogo kabisa wa Kitanzania ambaye alikuwa anajitetea kwa kujieleza kuwa ni Mtanzania, lakini ukiacha utetezi wake, wauaji walijua fika kuwa yule siyo Muisrael kulingana na wajihi wake na rangi yake. Ukatili aliofanyiwa Joshua hauvumiliki.. Haiwezekani...
  6. MK254

    HAMAS waiba chakula cha misaada, njaa mbaya jamaa wanateseka kwenye mahandaki

    Dunia inapiga makelele kwamba watoto wanakuafa kwa njaa, ila kidogo kinachoachiwa kipite yaani HAMAS wanakivizia na kupeleka kwenye mahandaki..... https://www.timesofisrael.com/liveblog-december-17-2023/
  7. Msitari wa pambizo

    Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono

    Niliwahi kusema hapa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki...
  8. Webabu

    Hamas wameigeuza mitaa ya Gaza kuwa tando la vifo kwa askari wa Israel

    Shirika la habari la Reuters limegundua kuwa wanamgambo wa Hamas wameweza kuigeuza mitaa ya Gaza iliyobomolewa kuwa ni mtego na tando la kuwaua askari wa Israel. Idadi ya askari wa IDF waliothibitishwa na Israel yenyewe kufa katika vita hivi tayari imeshakuwa ni mara mbili zaidi ya vile...
  9. MK254

    IDF wavamia makazi ya viongozi wa HAMAS na kugundua mahandaki kadhaa

    Kweli haya mapanya buku ya HAMAS yalijiandaa kwa muda mrefu na sidhani kama kuna taifa lolote dunia hii limekumbana na changamoto ya aina hii, yaani tangu umbwaaji wa dunia haijatokea binadamu wakajiandaa kama namna haya mazombi yalikua yamejipanga, hata mahandaki ya Vietnam hayakua hivi...
  10. Z

    Vita Kati ya Israel na Hamas ni matokeo ya makosa ya Umoja wa mataifa, Israel, Palestine na warabu

    Mwanadamu hajawahi taka kutumia akili ndiyo maana ya matatizo yanayoikumba Dunia . Vita Kati ya Israel na hamas (Palestina) ni Moja wapo ya matatizo ya kutotaka kutumia akili.nitatoa sababu za kwa nini akili inatakiwa itumike kumaliza vita hii. 1. Umoja wa mataifa ulifanya makosa 1948 wakati...
  11. Webabu

    Rasmi,sasa Israel yaomba kufanya mazungumzo kusitisha vita vyake na Hamas

    Baada ya tetesi za karibu wiki leo mjumbe wa ngazi za juu wa Israel kutoka shirika la ujasusi la Mossad amemfuata waziri mkuu wa Qattar ili kuangalia uwezekano wa kusitishwa vita kwa mara nyengine. Misri kwa upande wake imejifanya inajua siri zaidi na kuamua kuzitoa hadharani kwa kusema sasa...
  12. Nanyaro Ephata

    Joshua Mollel has been held hostage by Hamas, creating an unimaginable nightmare for his loved ones

    In the face of uncertainty and distress, our hearts go out to Joshua Mollel and his family. Since October 7th, Joshua has been held hostage by Hamas, creating an unimaginable nightmare for his loved ones. The rumors surrounding his potential demise, coupled with the inability to locate his body...
  13. Webabu

    Hamas warusha makombora 6 nyumbani kwa Netanyahu

    Hali isiyotarajiwa imetokea mapema jana baada ya makombora sita ya masafa marefu kurushwa kutoka Gaza kuelekekea jiji la Jeusalem ambako ndiko ziliko nyumba mbili za waziri mkuu wa Israe. Benjamin Netanyahu. Kwa hofu ya vitu kama hivyo Netanyahu inajulikana alizihama nyumba zake hizo mwanzoni...
  14. MK254

    Ndoto ya Mtanzania aliyechinjwa na HAMAS ilikua kuanzisha kilimo biashara akirudi nyumbani

    Dogo alisomea ukulima pale Morogoro kisha akapata fursa ya kwenda kuongeza elimu na maarifa Israel, yeye ndiye mtoto wa kwanza kwenye familia yenye watoto watano, ndoto yake ilikua akirudi nyumbani afanye ukulima biashara ila magaidi ya kidini yalikua na mawazo mengine. Mashabiki wa hayo magaidi...
  15. M

    HAMAS: Tumewaangamiza askari 36 wa Kizayuni katika saa 72 zilizopita

    Dec 15, 2023 03:51 UTC Abu Obeidah, Msemaji wa Brigedi za Al-Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ametangaza kuwa Mujahidina wa brigedi hizo wamewaangamiza askari 36 wa utawala wa Kizayuni katika medani tofauti za mapigano katika Ukanda wa Gaza ndani ya...
  16. MK254

    Picha: HAMAS wakusanywa kama mifugo, huku Netanyahu akiamrisha waendelee kujisalimisha

    Wengi wanaona isiwe tabu, hawana haja na mabikira ya kule akhera.... Israel’s Prime Minister Benjamin Netanyahu on Sunday called for Hamas militants to lay down their arms, saying the Palestinian Islamist group’s end was near, as the war in the Gaza Strip raged more than two months after it...
  17. MK254

    Hatimaye mkuu wa HAMAS asema wako tayari kuitambua Israel almradi yaishe

    Haijaeleweka nini kimesababisha jamaa abadilishe msimamo ghafla...... In shift, a top Hamas official floats Israel recognition In an interview with Al-Monitor, senior Hamas official Mousa Abu Marzouk suggested the militant group would adhere to the Palestine Liberation Organization’s stance on...
  18. sky soldier

    Pumzi inakata na hakuna mapumziko: Magaidi wengi zaidi wa Hamas wanaendelea kujisalimisha kunusuru uhai wao

    Hamas wameingia cha kike, Nafasi pekee ya cease fire waiiyopewa wakaivunja na sasa hakuna tena kurudi nyuma, Ni mwendo mdundo. Haya yote yanaendelea huku viongozi wakuu wa Hamas na familia zao wakiwa salama na kuishi maisha ya kifahari nchini Qatar. Kumbuka Oct 07,2023 walisherehekea wakati...
  19. MK254

    Video: Magaidi 70 ya HAMAS yaliyokua ndani ya hostpitali yajisalimisha na bunduki zao

    Jamaa wameamua isiwe tabu IDF airs clip of gunmen surrendering in northern Gaza hospital, says 70 handed themselves in https://twitter.com/i/status/1735253223751946703
  20. Eli Cohen

    Yaani Joshua na Clemence wamefariki ila ni kama hakuna kilichotokea. Are we Hamas sympathisers?

    Hawa ndio Watanzania waliotekwa na magaidi wa Hamas Hatimae hamas wamefanya kile wanachoweza vizuri, unyama na ukatili. Madogo wamekufa, assets za taifa katika kilimo zimepotea ila maisha yanaendelea ni kama hakuna kilichotokea. Vinavyotrend ni misso missondo, walioenda dubai, mademu wa...
Back
Top Bottom