Sawa kuzidiwa ni kawaida lakini hiyo haiondoi ukweli kwamba sisi na nyie wote ni maskini tena wa kutupwa,Tupo karne ya 21 sasa lakini nashangaa nchi yenu yenye atleast ardhi yenye rutuba kuliko nchi nyingi za kiarabu zenye jangwa njaa kwenu ni agenda muhimu ya kuongelewa kiasi ambacho hata wagombea wenu huwa wanahaidi kutokomeza njaa katika kampeni zenu haya ni maajabu ya karne aisee..Kama ulikuwa hujui "Food insecurity " ni moja ya indicator ya umaskini huwezi kujiita wewe ni tajiri una elimu,sijui uwezo mkubwa wa kijeshi halafu njaa huwa inakupiga mpaka kwenye mbavu kabisa haya kuleni hizo vifaru na ndege za kivita sasa mnazojitutumua nazo,jeshi lenu mnaloliongelea hapa kwanza limejaa propaganda mission za uokoaji kidogo kama zile za Westgate mnaishia kuiba mikate huku wahuni watatu wakiikalisha Nairobi nzima,na kama Tanzania ambayo ni ya kumi kwa uchumi imara Africa inatajwa kama maskini wa kutupwa basi nchi zote Africa zimeoza haiwezekani nchi iliyopo topTen inatajwa ni maskini wa kutupwa kama mnavyoeneza propaganda wenyewe wakenya..mnadeka eti nchi yetu nusu ni jangwa tupu wakati kuna wenzenu nchi nzima ni jangwa tu na still hawaliilii kama nyie na wanawasaidia chakula kweli karne hii nyie wa kusaidiwa Chakula!!??..Mnashindwa hata na Eritrea, Ethiopia,Djibouti maana sijawahi kusikia njaa kwenye maeneo haya..Nyie ni wa kusaidiwa na UAE kweli nchi ambayo ni jangwa mnatia aibu aisee
View attachment 2062504
View attachment 2062507