Nyerere na Tanzania vinaenziwa Marekani kwa namna ya kipekee

Leo uchumi wetu ni mara mbili yenu, hebu waza hilo likuingie, kainchi kadogo ambapo nusu yake ni kame tupu kamewazidi mara mbili kiuchumi, kielimu, kijeshi na kila kitu, nyie liinchi lote hilo lenye madini ya kumwaga bado mnatajwa kwenye maskini wa kutupwa. Ujamaa uliwalemaza kabisa na kuwafanya muwe wavivu wanaotia huruma.
Sawa kuzidiwa ni kawaida lakini hiyo haiondoi ukweli kwamba sisi na nyie wote ni maskini tena wa kutupwa,Tupo karne ya 21 sasa lakini nashangaa nchi yenu yenye atleast ardhi yenye rutuba kuliko nchi nyingi za kiarabu zenye jangwa njaa kwenu ni agenda muhimu ya kuongelewa kiasi ambacho hata wagombea wenu huwa wanahaidi kutokomeza njaa katika kampeni zenu haya ni maajabu ya karne aisee..Kama ulikuwa hujui "Food insecurity " ni moja ya indicator ya umaskini huwezi kujiita wewe ni tajiri una elimu,sijui uwezo mkubwa wa kijeshi halafu njaa huwa inakupiga mpaka kwenye mbavu kabisa haya kuleni hizo vifaru na ndege za kivita sasa mnazojitutumua nazo,jeshi lenu mnaloliongelea hapa kwanza limejaa propaganda mission za uokoaji kidogo kama zile za Westgate mnaishia kuiba mikate huku wahuni watatu wakiikalisha Nairobi nzima,na kama Tanzania ambayo ni ya kumi kwa uchumi imara Africa inatajwa kama maskini wa kutupwa basi nchi zote Africa zimeoza haiwezekani nchi iliyopo topTen inatajwa ni maskini wa kutupwa kama mnavyoeneza propaganda wenyewe wakenya..mnadeka eti nchi yetu nusu ni jangwa tupu wakati kuna wenzenu nchi nzima ni jangwa tu na still hawaliilii kama nyie na wanawasaidia chakula kweli karne hii nyie wa kusaidiwa Chakula!!??..Mnashindwa hata na Eritrea, Ethiopia,Djibouti maana sijawahi kusikia njaa kwenye maeneo haya..Nyie ni wa kusaidiwa na UAE kweli nchi ambayo ni jangwa mnatia aibu aisee

94f8c935717f0dca0cc4f8c2049facc1.png

c2c886326b0f7f70c92918a25f47b451.png
 
View attachment 2062504

View attachment 2062507
Wivu na chuki ndivyo vinavyomsumbua, lakini akisikia kwamba Tanzania imezuia wakenya kuja Tanzania au ndege zao kutua Tanzania, yeye ndio wakwanza kulialia kuhusu ujirani mwema, anajua vizuri Sana nguvu ya Tanzania katika ukanda huu, sema wivu na chuki ndio vimentawala huyo jamaa
 
Hao wote umewataja Ethiopia, Eritrea wote mpaka nyie tumewazidi kiuchumi.
Fahamu kainchi ketu ni kadogo na nusu yake ni kame tupu, hivyo tunalazimika kununua chakula nje maana pia jeuri ya hela tunayo.
 
Mmewazidi kiuchumi wa kwenye makaratasi lakini wenzenu Hawana "Food insecurity" kwenye nchi zao kumbuka Food insecurity ni moja ya indicator ya poverty!!! Hamna vita so food insecurityinatoka wapi??? Mtasingizia nusu jangwa mbona wenzenu nchi zenye majangwa kama Libya na Misri walishaachana na ishu za kutesekea chakula karne ya 20 huko??..Nyie ni wazembe wakubwa ukanda huu hata kulima mnashindwa mngekuwa mnajiweza mngefanya hata Technological agriculture kama wenzenu wa Libya na Misri ila hata hiyo mmeshindwa na jeuri ya kununua chakula cha kutosha hmna ndio mpaka nchi kama UAE( ina jangwa asilimia 90) wanawapa msaada wa chakula..Niliwahi kutembelea kibera nusu nilie jinsi umaskini ulivyotamaraki maeneo hayo wanaishi kama mifugo wale watu lakini wanaringia uchumi wa makaratasi
 
Wivu na chuki ndivyo vinavyomsumbua, lakini akisikia kwamba Tanzania imezuia wakenya kuja Tanzania au ndege zao kutua Tanzania, yeye ndio wakwanza kulialia kuhusu ujirani mwema, anajua vizuri Sana nguvu ya Tanzania katika ukanda huu, sema wivu na chuki ndio vimentawala huyo jamaa
Kenya na Tanzania aisee hawachekani hata kidogo sema tu ndio vile kidogo atleast Tanzania watu wanaishi kwenye uhalisia hawana shida ndogondgoo kama njaa, kama wenzetu majirani ila haka kajamaa kanapenda kujitutumua kama humjui unaweza dhani kwamba Kenya ni bonge la nchi kumbe ni tafsiri sahihi ya shithole country in Africa
 
Huyo asikusumbue hata wakenya wenzake wanamjua alivyo.
 
Umeishiwa sasa, tafuta mtu akuelimishe kuhusu kipindi Karl Marx anaandika kuhusu Ujamaa, hata Tanganyika haikua imebuniwa na mzungu, enzi hizo mlikua mnaishi kwenye makundi ya makabila bila nchi.
Ni dhahiri hata maana ya ujamaa hujui, jiulize kwanini auitwi socialism bali African socialism, mbona ninyi msiitwe African capitalism?
 
Mmewazidi kiuchumi wa kwenye makaratasi lakini wenzenu Hawana "Food insecurity" kwenye nchi zao kumbuka Food insecurity ni moja ya indicator ya poverty!!! Hamna vita so food insecurityinatoka wapi??? Mtasingizia nusu jangwa mbona wenzenu nchi zenye majangwa kama Libya na Misri walishaachana na ishu za kutesekea chakula karne ya 20 huko??..Nyie ni wazembe wakubwa ukanda huu hata kulima mnashindwa mngekuwa mnajiweza mngefanya hata Technological agriculture kama wenzenu wa Libya na Misri ila hata hiyo mmeshindwa na jeuri ya kununua chakula cha kutosha hmna ndio mpaka nchi kama UAE( ina jangwa asilimia 90) wanawapa msaada wa chakula..Niliwahi kutembelea kibera nusu nilie jinsi umaskini ulivyotamaraki maeneo hayo wanaishi kama mifugo wale watu lakini wanaringia uchumi wa makaratasi

Uchumi wetu ni service based maana hatuna raslimali kama ninyi au hata hao unashobokea, kama hukulijua Libya has the largest proven oil reserves in Africa.
Kainchi kadogo kama Kenya ambapo nusu ya ardhi yake ni kame na hakana raslimali zozote kanaategemea watu kujituma, inatulazimu kununua chakula maana jeuri ya hela tunayo, na ndio unaona tunawazidi nyie kiuchumi mara mbili pamoja na nchi yenu kuwa kubwa karibia mara mbili yetu na ina rotuba nzuri kona yote na madini ya kumwaga, ila umaskini uliokubuhu.
 
Ni dhahiri hata maana ya ujamaa hujui, jiulize kwanini auitwi socialism bali African socialism, mbona ninyi msiitwe African capitalism?

Hamna kikubwa ila mlichofanya ni copy paste ya socialism kisha mkaipa jina ujamaa na mkaongeza mbwembwe ambazo ndio zilisababisha umaskini ambao unawatesa hadi leo, ila falsafa yenyewe chimbuko lake ni hao waliovumbua mfumo wenyewe karne za kitambo.
 
Kenya na Tanzania aisee hawachekani hata kidogo sema tu ndio vile kidogo atleast Tanzania watu wanaishi kwenye uhalisia hawana shida ndogondgoo kama njaa, kama wenzetu majirani ila haka kajamaa kanapenda kujitutumua kama humjui unaweza dhani kwamba Kenya ni bonge la nchi kumbe ni tafsiri sahihi ya shithole country in Africa

Kwa taarifa yako mnajaza sna hawa watu kwetu, nyie ndio nchi pekee inayozalisha omba omba na kuwatuma huku. Tumezungukwa na mataifa wanaopigana kila siku lakini huoni omba omba wao wakija kuwa kero huku.

Sasa tofauti ya Ujima na Ujamaa ni gani?

Sasa nyie kwenye historia na uchumi mlifundishwa nini?

Kwenye historia kuna kitu kinaitwa 1. materials production and social organization.
2. Modes of production

Kwenye economics kuna kitu kinaitwa
1. economic systems

All in all kabla ya slavery kuna
1. communalism; a crude mode of production where people lived together and solely depended on nature.

2. Ujamaa is translated as Socialism.
 
Uchumi wetu ni service based maana hatuna raslimali kama ninyi au hata hao unashobokea, kama hukulijua Libya has the largest proven oil reserves in Africa.
Kainchi kadogo kama Kenya ambapo nusu ya ardhi yake ni kame na hakana raslimali zozote kanaategemea watu kujituma, inatulazimu kununua chakula maana jeuri ya hela tunayo, na ndio unaona tunawazidi nyie kiuchumi mara mbili pamoja na nchi yenu kuwa kubwa karibia mara mbili yetu na ina rotuba nzuri kona yote na madini ya kumwaga, ila umaskini uliokubuhu.
Mbona unakimbia kiini cha hoja,na ulivyo mkavu halafu eti unajisifia kununua chakula wakati economically high prices on purchasing of food stuffs can lead to low purchasing power as the Households increasing spending for other essential hence poverty!!??..Hoja ni kwamba pamoja na hizo blahblah za sevice based economy and other shits!!je mmefanikiwa kutoka kwenye lindi la umaskini!!??..Na kama mmefanikiwa kwanini indicators za poverty huwa zinawaandama sana nchini kwenu kama Food insecurity,poor housing,insufficient water supply(tena hapa nilishangaa sana kukuta vyoo vya Kenya hamna maji) utajiri gani mnaozungumzia nyie wenzetu
 
Sasa nyie kwenye historia na uchumi mlifundishwa nini?

Kwenye historia kuna kitu kinaitwa 1. materials production and social organization.
2. Modes of production

Kwenye economics kuna kitu kinaitwa
1. economic systems

All in all kabla ya slavery kuna
1. communalism; a crude mode of production where people lived together and solely depended on nature.

2. Ujamaa is translated as Socialism.
Ujamaa naelewa ni socialism kwa kiingereza. Ila Ujima ni nini kwa kiingereza?
 
Mbona unakimbia kiini cha hoja,na ulivyo mkavu halafu eti unajisifia kununua chakula wakati economically high prices on purchasing of food stuffs can lead to low purchasing power as the Households increasing spending for other essential hence poverty!!??..Hoja ni kwamba pamoja na hizo blahblah za sevice based economy and other shits!!je mmefanikiwa kutoka kwenye lindi la umaskini!!??..Na kama mmefanikiwa kwanini indicators za poverty huwa zinawaandama sana nchini kwenu kama Food insecurity,poor housing,insufficient water supply(tena hapa nilishangaa sana kukuta vyoo vya Kenya hamna maji) utajiri gani mnaozungumzia nyie wenzetu

Service based economy ina maana watu wanajituma licha ya kukosa raslimali, na ndio maana hatutajwi kwenye mataifa maskini wa kutupwa kama nyie hapo, raslimali zote hizo lakini ukata hadi mnatia huruma.
Jeuri ya hela tunazozalisha kwa kujituma ndio inatuwezesha kununua chakula, sio lazima tulime, limeni nyie tununue sisi, acheni uzembe.
 
Kati ya Service based economy na product based economy ipi inajustify kujituma kwa watu wa nchi husika!!??..tumia ubongo kufikiria we Mkenya..Kenya na Tanzania zote ni middle economy countries usituletee data zako za mwaka 1945..World Bank imeshaiweka Tanzania katika list ya Middle income countries hata uongee mboyoyo na ngendembwa zako humu hakuna mtu duniani atakuelewa kwa sababu ukweli upo wazi sanasana watakuona chizi tu, idadi ya mamilionea wengi pia Tanzania kuliko kenya inajustify wapi ambapo angalau kuna unafuu wa maisha..Siku mkiboresha maisha ya wakazi wenu kuwa kutoka kwenye mabanda ya nguruwe kama haya(kusema kweli mimi maisha haya sijawahi kuona Tanzania😪😪) ndiyo mje mtutambie kwamba mna uchumi mkubwa kama Wamisri na South Africa...

View attachment 2062782

Tanzania hii moja ambayo imetajwa ndani ya mataifa maskini yanayozongwa na madeni, halafu nchi yetu kuwa service based economy ina maana tuko productive kiasi cha kusababisha GDP yetu iwe mara mbili yenu.
 
Back
Top Bottom