MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Ni 28% ya wakenya ndio wapo kwenye miji ambapo ndipo penye shughuli nyingi zinazohusu service sector, kama GDP yenu zaidi ya 78% imetokana na sector hiyo basi ukae ukijua zaidi ya 70% ya population ya Wakenya hawachangii chochote cha maana kwenye GDP
Na kwa maana hiyo zaidi ya 70% ya population ya Wakenya inachangia only 22% kwenye GDP 😂😂😂😂
Upo unakesha kusema Watanzania wavivu 😂😂😂🙌🙌🙌
View attachment 2063633
Usichokijua, Kenya ni kainchi kadogo na asilimia kubwa ni kame tupu, hivyo tunaishi eneo ndogo la nchi, kwa hivyo service sector yetu imezagaa na kupenya mpaka vijijini, tunajituma kote. Vijana wengi hawategemei ukulima wa jembe, informal sector inazidi kuajiri wengi wetu.
Sio kama nyie nchi yote hiyo (yaani mithili ya uunganishe Rwanda, Uganda na Kenya ndio zitoshane naa ukubwa huo wenye rotuba nzuri kote), na mna kila aina ya raslimali na mumezaliana kote lakini kainchi ketu kanawazidi mara mbili kiuchumi....huwa mnatia huruma sana hehehehe