Nyerere na Tanzania vinaenziwa Marekani kwa namna ya kipekee

Ni 28% ya wakenya ndio wapo kwenye miji ambapo ndipo penye shughuli nyingi zinazohusu service sector, kama GDP yenu zaidi ya 78% imetokana na sector hiyo basi ukae ukijua zaidi ya 70% ya population ya Wakenya hawachangii chochote cha maana kwenye GDP

Na kwa maana hiyo zaidi ya 70% ya population ya Wakenya inachangia only 22% kwenye GDP 😂😂😂😂

Upo unakesha kusema Watanzania wavivu 😂😂😂🙌🙌🙌

View attachment 2063633

Usichokijua, Kenya ni kainchi kadogo na asilimia kubwa ni kame tupu, hivyo tunaishi eneo ndogo la nchi, kwa hivyo service sector yetu imezagaa na kupenya mpaka vijijini, tunajituma kote. Vijana wengi hawategemei ukulima wa jembe, informal sector inazidi kuajiri wengi wetu.
Sio kama nyie nchi yote hiyo (yaani mithili ya uunganishe Rwanda, Uganda na Kenya ndio zitoshane naa ukubwa huo wenye rotuba nzuri kote), na mna kila aina ya raslimali na mumezaliana kote lakini kainchi ketu kanawazidi mara mbili kiuchumi....huwa mnatia huruma sana hehehehe
 
Sector gani zinachangia kwa kiasi kikubwa kwenye GDP na zimeajiri kiasi gani cha population?
 
Wewe si ndiye naona unateseka kuleta mapicha, mbona hili haujalijua
Karibia asilimia 40% ya Wakenya wameajiriwa kwenye service sector, wengine wameajiriwa na ukulima ila sio kama ukulima wenu wa kimaskini maskini, wetu ni wa kutumia akili maana ardhi ni ndogo, kwa mfano tunazalisha maua, majani chai n.k. Aina ya ukulima unaotupea jeuri ya hela.

Mkitulia muache uzembe mnaweza kwenda mbali sana na kuwa kwenye ligi ya akina SA. Muache hizi aibu za kushindwa na viinchi vidogo vidogo kama Kenya.
Japo kwa huyu mama naona mnaweza maana amedhamiria kweli, sema nyie ni wale wale wazembe tu.
 
Service sector ipi? Mbona unaongea shallow sana au sababu elimu ndogo? Service sector ipi? Kilimo ndio service sector? Mnaongoza kwenye kilimo cha chai na cut flowers tu na vyote hivi ni Mzungu mwenyewe anafanya kwa zaidi ya 90%

Ninyi wengine wote ni wababaishaji kwenye slums za Nairobi tu wengine wanaishi kwa nguvu ya remittances kutoka kwa ndugu zao
Screenshot_20211231-133122.png
 
View attachment 2063848

Mkuu una moyo sana kubishana na debe tupu huyu Mai(mu)na, ambalo haliachi kutika.
Hajui kitu kuhusu service sector based economy, lkn bado anaongea kuhusu hilo kana kwamba anatokea Singapore. Wakati nchi yao kuna sehemu mpaka wa leo haifikiki.

Nyerere alikua na nia njema wakati anaanzisha ujamaa kwa Watanzania, ila labda hakueleweka au hata mwenyewe hakuuelewa vizuri huo mfumo kabla kuupapatikia, ukasababisha kama taifa watu wazembee na kukwamishana kwa kutegemeana na kuwa maskini mpaka leo hii hawajatoka....mataifa aliyoiga kutoka kwao wako vizuri kiuchumi, ila na wao waliutelekeza, hata China waliashapokea ubepari kitambo.

Halafu Nyerere hakubuni Kiswahili, kilikuwepo hata kabla hajazaliwa, tumshukuru Mwarabu na jamii zetu za Pwani maana hao ndio walihusika kwenye kukibuni.

Sema Nyerere alifanya vizuri kukifanya lugha rasmi ya Tanzania, ila nao Watanzania wakaganda bila kujiongeza wakabaki wamekwama kwenye lugha moja hiyo, wengine wakatelekeza hata lugha zao za asili, unakuta mbaba kabisa mtu mzima hajui hata salamu kwa lugha yake ya asili, huo ni utumwa.

Hii "Kwanzaa" ndio leo naiskia, naona ilianzishwa na Mmarekani mweusi kwao huko kama mbadala wa Krisimasi kwa Mwafrika.......
Mi sion kama alifanya vzur,kujifanya ujanja eti hatutak mambo ya kizungu ndo yametupelekea kuendelea kuwa masikin zaid

Lugha ya kiswahili ipo kati ya sababu kuu zinazochangia umasikin tanzania.

Kutokana na hii lugha kutulemaza tumeshndwa hata kutoka nje ya nchi,wanaotoka n asilimia chache sana
 
Service sector ipi? Mbona unaongea shallow sana au sababu elimu ndogo? Service sector ipi? Kilimo ndio service sector? Mnaongoza kwenye kilimo cha chai na cut flowers tu na vyote hivi ni Mzungu mwenyewe anafanya kwa zaidi ya 90%

Ninyi wengine wote ni wababaishaji kwenye slums za Nairobi tu wengine wanaishi kwa nguvu ya remittances kutoka kwa ndugu zao
View attachment 2063848

Naona umekurupuka kujibu bila kusoma nilichokiandika, nimesema service sector imeajiri karibia asilimia 40% ulichokifanya ni copy pasting ya mapicha yanayosema hicho hicho nilichokisema, unahangaika sana kutafuta mapicha. Ukulima tunaofanya licha ya ardhi ndogo unaajiri asilimia 53% ya watu wetu, jameni tungekua na liinchi kama lote lenu Afrika ingetukoma, sema hupewi vyote, unapewa ardhi unanyimwa ubongo, au unyimwe ardhi upewe ubongo.

Anyway wacha nikuache maana umeishiwa unajirudia rudia tu, huu uzi ulianzisha kishabiki kwa kusudi la kubeza ila mpaka hapo nimewatuliza maana huwa napenda kuweka facts sio hayo mauongo ya kudanganya utadhani Nyerere kaumba dunia, unakuta hata mtu akitaka amfuatilie na kumkubali ila unakumbana na haya mauongo mara Nyerere ndiye chimbuko la Kiswahili, mara ndiye muasisi wa Ujamaa mpaka mnakera.....
Kwaheri kuna uzi huku nafuatilia nikijichekea sana, burudani hadi raha Bongo tukitaka maendeleo kwel, tumkodi mzungu mmoja atuongoze kwa miaka kumi, asepe
 
Umesema services sector imeajiri wakenya wengi zaidi wakati kiuhalisia ni agriculture sector yenye watu 54% na wanachangia 33% kwenye GDP, hakuna reflection ya kilimo cha kisasa kwenye hizi perimeters.

Bado mnakufa na njaa na tegemezi kwa Tanzania

Hiyo 33% ni kazi ya Mzungu kwenye maua na chai.
 
Mi sion kama alifanya vzur,kujifanya ujanja eti hatutak mambo ya kizungu ndo yametupelekea kuendelea kuwa masikin zaid

Lugha ya kiswahili ipo kati ya sababu kuu zinazochangia umasikin tanzania.

Kutokana na hii lugha kutulemaza tumeshndwa hata kutoka nje ya nchi,wanaotoka n asilimia chache sana

Low IQ
 
Mkuu nakusifu kwa moyo wako wa kipekee. Yaani unatoa fact za primary level of production (agriculture) inavyoajili watu na kuchangia kwenye GDP. Yeye anakomaa na service sector ambayo hata mchango wake haueleweki.
 
Kingine kuhusu kushuka Kwa uchumi wa Tanzania ni kutokana na kupigana vita ya Uganda na Kenya mkaongoza uchumi baada ya kugoma kutoa mgawo Sawa wa faidi baada ya kuvunjwa shirikisho la kwanza la Afrika mashariki.. tofauti na hapo Tz tulikuwa on Top kwenye uchumi East Africa

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Brother nimekubali jinsi unavyowapa funzo watoto wa harambee
 
Sawa kuzidiwa ni kawaida lakini hiyo haiondoi ukweli kwamba sisi na nyie wote ni maskini tena wa kutupwa,Tupo karne ya 21 sasa lakini nashangaa nchi yenu yenye atleast ardhi yenye rutuba kuliko nchi nyingi za kiarabu zenye jangwa njaa kwenu ni agenda muhimu ya kuongelewa kiasi ambacho hata wagombea wenu huwa wanahaidi kutokomeza njaa katika kampeni zenu haya ni maajabu ya karne aisee..Kama ulikuwa hujui "Food insecurity " ni moja ya indicator ya umaskini huwezi kujiita wewe ni tajiri una elimu,sijui uwezo mkubwa wa kijeshi halafu njaa huwa inakupiga mpaka kwenye mbavu kabisa haya kuleni hizo vifaru na ndege za kivita sasa mnazojitutumua nazo,jeshi lenu mnaloliongelea hapa kwanza limejaa propaganda mission za uokoaji kidogo kama zile za Westgate mnaishia kuiba mikate huku wahuni watatu wakiikalisha Nairobi nzima,na kama Tanzania ambayo ni ya kumi kwa uchumi imara Africa inatajwa kama maskini wa kutupwa basi nchi zote Africa zimeoza haiwezekani nchi iliyopo topTen inatajwa ni maskini wa kutupwa kama mnavyoeneza propaganda wenyewe wakenya..mnadeka eti nchi yetu nusu ni jangwa tupu wakati kuna wenzenu nchi nzima ni jangwa tu na still hawaliilii kama nyie na wanawasaidia chakula kweli karne hii nyie wa kusaidiwa Chakula!!??..Mnashindwa hata na Eritrea, Ethiopia,Djibouti maana sijawahi kusikia njaa kwenye maeneo haya..Nyie ni wa kusaidiwa na UAE kweli nchi ambayo ni jangwa mnatia aibu aisee

View attachment 2062504

View attachment 2062507
Ma.mae..hapa Wakenya watapita kimya kimya..

Fuso limeleta msaada wa mahindi kutoka UAE hadi Ikulu ya Kenya..what a shame.
 
Hizo porojo za kujificha nyuma ya vita vya Kagera ndio mojawapo wa kinachowakwamisha, tizama hapa mwaka tulioanza kuwatupa kiuchumi

2795325_gdp.jpg
Mwaka 1966 East African Currency Board was Abolished.. kutokana na kila nchi kuanzisha Central Bank yake.. Kutokana na makao makuu ya Bank kuwa Kenya.., Kenya ilizuia faida kubwa zaidi kiasi ambacho nchi nyingine wanachama zililalamika.

Vita ya kumtoa Idd Amin madarakani ilitakiwa ilitakiwa Kenya pia wapigane maana nao walichokozwa lakini wazee mkaa ufyata mkia wanaume tukaandika historia ya kumng'oa jamaa madarakani maana hatupendi dharau[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hapo ndo ulikuwa mwanzo wa anguko letu kiuchumi.. mpaka pale tulipopotea kabisa tukijifanya tuna adopt ubepari Kwa kubinafsisha viwanda vyetu miaka ya 1995-2005

Kwa kumalizia graph yako imeanzia mwaka 1989..

Wakati Collapse ya East African community ilikuwa 1977..

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
View attachment 2065274
 
Kwanza huyo Idi Aamin kiherehere chenu tu, maana mlimchkoza kwa kuhifadhi waasi wake akina Museveni, maelfu ya waasi wa Uganda mlikua mnawahifadhi na kuwatunza, huo ni uchokozi mkubwa sana sema historia zenu huwa hamgusii huko, mnaanzia pale kwenye uvamizi wa Kagera. Hivyo hampaswi kulialia eti ndi chanzo chenu cha umaskini.
 
Mi sion kama alifanya vzur,kujifanya ujanja eti hatutak mambo ya kizungu ndo yametupelekea kuendelea kuwa masikin zaid

Lugha ya kiswahili ipo kati ya sababu kuu zinazochangia umasikin tanzania.

Kutokana na hii lugha kutulemaza tumeshndwa hata kutoka nje ya nchi,wanaotoka n asilimia chache sana
Huo sasa ni uzwazwa.. linganisha Kwa wachina

Back
Top Bottom