Nyerere na Tanzania vinaenziwa Marekani kwa namna ya kipekee

Hawa jirani zetu bwana huwa wanacheka sana wabongo wasipoongea kiingereza ila wakisikia tu kiswahili kimetajwa na bwana zao huko nje utasikia chetu hicho[emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38]wanavyokigombea sasa na kuweka bendera zao utasema wanaweza hata kuongea kwa ufasaha

Inaitwa kuchangamkia fursa, ukizembea hapo kwenye shamba la bibi utaliwa kila kitu, vyuo vinavyofunza Kiswahili kule Japan, China na kote vimejaa Wakenya, maana sisi hatugandi kwenye lugha moja, unajifunza Kiswahili na kuboresha Kingereza chako pia ili fursa za dunia zisikupite....nyie hapo Kingereza chenu cha ze ze ze nani atawapa nafasi ya kuwafunza Kiswahili, maana mwisho wa siku kabla unifunze lugha yako, lazima tutafute namna ya kuwasiliana, na lugha ya dunia kwa sasa ni Kingereza.
 
Leo uchumi wetu ni mara mbili yenu, hebu waza hilo likuingie, kainchi kadogo ambapo nusu yake ni kame tupu kamewazidi mara mbili kiuchumi, kielimu, kijeshi na kila kitu, nyie liinchi lote hilo lenye madini ya kumwaga bado mnatajwa kwenye maskini wa kutupwa. Ujamaa uliwalemaza kabisa na kuwafanya muwe wavivu wanaotia huruma.
Unajua uchumi wa Uganda ni mkubwa mara 2 kuliko uchumi wa North Korea kwa GDP ya Mzungu?
 
Leo uchumi wetu ni mara mbili yenu, hebu waza hilo likuingie, kainchi kadogo ambapo nusu yake ni kame tupu kamewazidi mara mbili kiuchumi, kielimu, kijeshi na kila kitu, nyie liinchi lote hilo lenye madini ya kumwaga bado mnatajwa kwenye maskini wa kutupwa. Ujamaa uliwalemaza kabisa na kuwafanya muwe wavivu wanaotia huruma.
'Ujamaa ulitufanya tuwe wavivu'

Hivi unajua concept ya ujamaa kweli?
Unajua kwenye vijiji vya ujamaa ni mambo gani yaliokua yanafanyika?
 
Inaitwa kuchangamkia fursa, ukizembea hapo kwenye shamba la bibi utaliwa kila kitu, vyuo vinavyofunza Kiswahili kule Japan, China na kote vimejaa Wakenya, maana sisi hatugandi kwenye lugha moja, unajifunza Kiswahili na kuboresha Kingereza chako pia ili fursa za dunia zisikupite....nyie hapo Kingereza chenu cha ze ze ze nani atawapa nafasi ya kuwafunza Kiswahili, maana mwisho wa siku kabla unifunze lugha yako, lazima tutafute namna ya kuwasiliana, na lugha ya dunia kwa sasa ni Kingereza.

Zee zee ze MK254--- ndio hivyo?!😀
 
Leo uchumi wetu ni mara mbili yenu, hebu waza hilo likuingie, kainchi kadogo ambapo nusu yake ni kame tupu kamewazidi mara mbili kiuchumi, kielimu, kijeshi na kila kitu, nyie liinchi lote hilo lenye madini ya kumwaga bado mnatajwa kwenye maskini wa kutupwa. Ujamaa uliwalemaza kabisa na kuwafanya muwe wavivu wanaotia huruma.
Bado mnakufa kwa njaa, nchi imejaa madeni hadi watoto wanaozaliwa wanadaiwa, bado mnauwana Kama wanyama wa porini kwa sababu za ukabila wenu, nchi imesambsratika kwa misingi ya ukabila na hakuna usalama Wala Amani, hadi Leo bado mnategemea chakula cha misaada toka nchi za waarabu na china.

Tanzania ndio kidume ukanda huu. Soko lote tumelikamata, Tanzania ndio mzalishaji na muuzaji wa bidhaa zote muhimu kwenda nchi zote katika ukanda huu. ndio sababu Kenya mnalazimisha madhirikiano na Tanzania kwasababu bila Tanzania uchumi wenu unasambaratika.
 
'Ujamaa ulitufanya tuwe wavivu'

Hivi unajua concept ya ujamaa kweli?
Unajua kwenye vijiji vya ujamaa ni mambo gani yaliokua yanafanyika?
Huyo ana wivu na chuki kwa Tanzania kwasa5 tunawszidi kila eneo, ila ndiye mtu aliyepo mstari wa mbele kulaximisha mahusiano na Tanzanian kwa sababu hakuna nchi yoyote majirani na Kenya ambayo wanaelewana nayo kwasababu ya ukorofi na upumbavu wao, Sasa hivi uchumi wao unasambaratika wanaelekeza chuki na machungu yao Tanzania.
Jana alichukia Sana kuona Wamarekani wanamuenzi Nyerere na Ujamaa, hizi ni hasira za kutaka japo kushusha na kupoteza thamani ya Tanzania. Watu duniani kote wanakubali na kuthamini thamani ya Nyerere na siasa za Ujamaa, vipi mkenya anayeishi kwenye slums bila chakula Wala choo anakosoa kuona Nyerere na Ujamaa vinakubalika?
 
Nyerere alikua na nia njema wakati anaanzisha ujamaa kwa Watanzania, ila labda hakueleweka au hata mwenyewe hakuuelewa vizuri huo mfumo kabla kuupapatikia, ukasababisha kama taifa watu wazembee na kukwamishana kwa kutegemeana na kuwa maskini mpaka leo hii hawajatoka....mataifa aliyoiga kutoka kwao wako vizuri kiuchumi, ila na wao waliutelekeza, hata China waliashapokea ubepari kitambo.
Kwahiyo Kenya ni TAJIRI?

Aiseee!!!
Halafu Nyerere hakubuni Kiswahili, kilikuwepo hata kabla hajazaliwa, tumshukuru Mwarabu na jamii zetu za Pwani maana hao ndio walihusika kwenye kukibuni.
Nani kasema Nyerere alibuni Kiswahili ?
 
Inaitwa kuchangamkia fursa, ukizembea hapo kwenye shamba la bibi utaliwa kila kitu, vyuo vinavyofunza Kiswahili kule Japan, China na kote vimejaa Wakenya, maana sisi hatugandi kwenye lugha moja, unajifunza Kiswahili na kuboresha Kingereza chako pia ili fursa za dunia zisikupite....nyie hapo Kingereza chenu cha ze ze ze nani atawapa nafasi ya kuwafunza Kiswahili, maana mwisho wa siku kabla unifunze lugha yako, lazima tutafute namna ya kuwasiliana, na lugha ya dunia kwa sasa ni Kingereza.
Ila njaa, ukabila, kuuwana wakati wa uchaguzi. Slums, rushwa na wanasiasa kujilimbikizia Mali na kuwaacha wananchi wengi wakitaabika ndio vimewashinda kuvichangamkia ili kuviondosha sivyo?
 
Huyo ana wivu na chuki kwa Tanzania kwasa5 tunawszidi kila eneo, ila ndiye mtu aliyepo mstari wa mbele kulaximisha mahusiano na Tanzanian kwa sababu hakuna nchi yoyote majirani na Kenya ambayo wanaelewana nayo kwasababu ya ukorofi na upumbavu wao, Sasa hivi uchumi wao unasambaratika wanaelekeza chuki na machungu yao Tanzania.
Jana alichukia Sana kuona Wamarekani wanamuenzi Nyerere na Ujamaa, hizi ni hasira za kutaka japo kushusha na kupoteza thamani ya Tanzania. Watu duniani kote wanakubali na kuthamini thamani ya Nyerere na siasa za Ujamaa, vipi mkenya anayeishi kwenye slums bila chakula Wala choo anakosoa kuona Nyerere na Ujamaa vinakubalika?
Ni kweli kabisa, michango yake mingi imejaa mihemko na hisia zaidi ya uhalisia anaonekana na chuki za wazi dhidi ya kila zuri linalotokea Tanzania au sifa nzuri atayopewa mtanzania

Ni kawaida kuona Watanzania wanatoa sifa kwa mambo Kenya inayofanya vizuri lakini jukwaani hapa hutoona mkenya anatoa sifa kwa chochote kinachohusu Tanzania, huyu jamaa ndio kinara wa kudoesha jambo lolote zuri lakini utashangaa pia yupo desperate kulazimisha uhusiano na Tanzania

Nimejua anapenda sana mahusiano baina ya Tanzania na nchi yake lakini anataka mahusiano na Tanzania isiojielewa na sio Tanzania iliopo, anachekesha na kutia huruma kwa pamoja 😂😂😂😂
 
Ni kweli kabisa, michango yake mingi imejaa mihemko na hisia zaidi ya uhalisia anaonekana na chuki za wazi dhidi ya kila zuri linalotokea Tanzania au sifa nzuri atayopewa mtanzania

Ni kawaida kuona Watanzania wanatoa sifa kwa mambo Kenya inayofanya vizuri lakini jukwaani hapa hutoona mkenya anatoa sifa kwa chochote kinachohusu Tanzania, huyu jamaa ndio kinara wa kudoesha jambo lolote zuri lakini utashangaa pia yupo desperate kulazimisha uhusiano na Tanzania

Nimejua anapenda sana mahusiano baina ya Tanzania na nchi yake lakini anataka mahusiano na Tanzania isiojielewa na sio Tanzania uliopo, anachekesha na kutia huruma kwa pamoja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nadhani Sasa unamjua vizuri sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
😅😅😅 Anakwambia ujamaa ulifanya Watanzania kujibweteka na kuwa wavivu wakati ujamaa ulileta Watanzania kufanya kazi pamoja kwenye mashamba makubwa ya ujamaa, viwanda vya ujamaa (bila muwekezaji kutoka ulaya)

Kipindi cha ujamaa Tanzania iliongoza dunia kwa zao la katani, pyrethrum, kahawa, pamba, cocoa, nazi, ndizi, sesame na mazao ya chakula

Mpaka leo Tanzania inalisha huu ukanda wote hiyo yote ni legacy ya ujamaa lakini jamaa anasema ujamaa ulitufanya wavivu (meanwhile wanakufa njaa na 80% tegemezi kwa Tanzania produces) 😂😂

Nembo ya BoT ilinakshiwa na mkonge sababu Tanzania iliongoza ukanda huu kiuchumi sababu ya zao la mkonge enzi za ujamaa

images (1).png
 
'Ujamaa ulitufanya tuwe wavivu'

Hivi unajua concept ya ujamaa kweli?
Unajua kwenye vijiji vya ujamaa ni mambo gani yaliokua yanafanyika?

Pitia huu uzi hapa chini uone Watanzania wasio wanafiki wanavyojadili huo mfumo wa hovyo uliowakwamisha hadi leo....

Huwezi kuongelea ujamaa kwa siasa za ccm na chadema, hiyo hatua peke yake ni upungufu wa akili, ujamaa ni uchumi na kazi ujamaa ni kuja pamoja kwa lengo la kujitegemea ujamaa ni muafrika kufanya zaidi ya Mzungu bila kuwa tegemezi na kuwa mnyonyaji.

Umri wako bado mdogo sana, ukikua nitafute.
 
Huwezi kuongelea ujamaa kwa siasa za ccm na chadema, hiyo hatua peke yake ni upungufu wa akili, ujamaa ni uchumi na kazi ujamaa ni kuja pamoja kwa lengo la kujitegemea ujamaa ni muafrika kufanya zaidi ya Mzungu bila kuwa tegemezi na kuwa mnyonyaji.

Umri wako bado mdogo sana.

Dhamira ya ujamaa ilikua nzuri ila kama nilivyosema aidha hamkuuelewa huo mfumo au hamkuwa watu sahihi kuutumia, kila nikipitia nadharia nyingi za Watanzania, wengi wanakiri huo mfumo uliwachelewesha sana na masalia yake ndio sababu kuu ya umaskini wenu leo hii, na mpaka ufutike kabisa mtaendelea kuchelewa.
Mataifa kama China yaliutelekeza na ndio maana leo wanafukuzia Marekani balaa.

Sio kila Mtanzania anayepingana na huo mfumo yupo Kichadema na Kiccm, chukua muda wako kusoma bila uchama utawaelewa, check hii hapa Madhara ya ujamaa bado yanalitafuna Taifa
 
Pitia huu uzi hapa chini uone Watanzania wasio wanafiki wanavyojadili huo mfumo wa hovyo uliowakwamisha hadi leo....

Wewe una matatizo ya akili sio bure, kwahiyo watu wanaotoa mawazo tofauti/against ya serikali hao ndio wapo sahihi na unawatumia Kama rejea yako?, Wakenya ambao wanaotoa mawazo yao kupinga serikali ya Kenya ni zaidi ya 80% ya wakenya wote, huko mnasema ni "freedom of Expression", wewe umeona wapi watu wote wakapendezwa na serikali iliyopo madarakani.
 
Dhamira ya ujamaa ilikua nzuri ila kama nilivyosema aidha hamkuuelewa huo mfumo au hamkuwa watu sahihi kuutumia, kila nikipitia nadharia nyingi za Watanzania, wengi wanakiri huo mfumo uliwachelewesha sana na masalia yake ndio sababu kuu ya umaskini wenu leo hii, na mpaka ufutike kabisa mtaendelea kuchelewa.
Mataifa kama China yaliutelekeza na ndio maana leo wanafukuzia Marekani balaa.

Sio kila Mtanzania anayepingana na huo mfumo yupo Kichadema na Kiccm, chukua muda wako kusoma bila uchama utawaelewa, check hii hapa Madhara ya ujamaa bado yanalitafuna Taifa
"hamkuuelewa huo mfumo au hamkuwa watu sahihi kuutumia"

Ujamaa ni zao la Nyerere mwenyewe, hatukukielewa vipi kitu tulichokiunda wenyewe?
 
Inaitwa kuchangamkia fursa, ukizembea hapo kwenye shamba la bibi utaliwa kila kitu, vyuo vinavyofunza Kiswahili kule Japan, China na kote vimejaa Wakenya, maana sisi hatugandi kwenye lugha moja, unajifunza Kiswahili na kuboresha Kingereza chako pia ili fursa za dunia zisikupite....nyie hapo Kingereza chenu cha ze ze ze nani atawapa nafasi ya kuwafunza Kiswahili, maana mwisho wa siku kabla unifunze lugha yako, lazima tutafute namna ya kuwasiliana, na lugha ya dunia kwa sasa ni Kingereza.
Wakenya mnaweza kufanya chochote kile ili mpate pesa?
 
Soma historia wacha kubwatuka hovyo, haya madude umeyakuta yameundwa. Jifunze kuukubali ukweli kama ulivyoukuta, hata ukificha kichwa ardhini hautaufuta huo ukweli.

Mwarabu alipokuja akabaka mababu zetu kwa kuwabeba kwenda utumwani, humo humo akachangia kwenye kubuni lugha ya Kiswahili kwa kuchanganya Kiarabu chake na lugha za Wabantu wetu wa Pwani na pia akachomekea dini yake ya Uislamu huko huko Pwani.
Neno Swahili limetoholewa kutoka kwa neno la Kiarabu sawāḥilī maana yake "Pwani".

Kwa hivyo hatuna budi ila kumshukuru, binafsi sijapenda maana aliwabaka sana wazee wetu lakini ndivyo ilivyo, hamna tofauti na Mzungu ambaye pia alibaka mababu zetu na kuchomekea Ukristo. Ni ukweli mchungu unauma, lakini inabidi kuukubali hamna namna, kama vile unatumia reli aliyojenga Mkoloni, ukipewa historia namna Waafrika waliuawa kwenye ujenzi wake hata unaweza ukachukia kutumia huo usafiri.

Unapotelekeza lugha yako ya asili ya Kisukuma na kuvaa milegezo hapo Tandale, muhimu pia ukajua historia ya chochote unachoshobokea.
Ndio maana nasema una maradhi sugu ya kushindwa kufikiri!

Jambazi alievamia nyumbani kwako, akapora akaua, akabaka n.k, hata kama alidondosha cheni ya dhahabu wakati anaondoka mkaiokota mkaiuza, mkanunua chakula n.k HUWEZI KUMSHUKURU...labda uwe mgonjwa wa akili kabisa
 
Pitia huu uzi hapa chini uone Watanzania wasio wanafiki wanavyojadili huo mfumo wa hovyo uliowakwamisha hadi leo....

Kama wewe unatumia mawazo ya watu wa mitaani(mitandaoni) Kama rejea yako, angalia wasomi Hawa wa Oxford University walivyoponda siasa za Kibepari za Kenya jinsi zilivyodhulumu na kusambaratisha uchumi wa Kenya
 
Back
Top Bottom