Wanaharakati wanaopigania haki za wapalestina wametoa uchambuzi ukifafanua juu ya uharamu wa bandari inayoendelea kujengwa na Marekani eneo la Gaza kwa kisingizio cha kupeleka misaada.
Mshangano wa mwanzo wa wanaharakati hao ni kuwa Marekani imepeleka malori na mashine nzito za ujenzi zipatazo...
Matumaini ya kupatikana nafuu kwa wapalestina karibia milioni 2 na nusu wanaoangamia kwa vita na njaa yameanza kupatikana.
Katika mazungumzo ya kusitisha vita baina ya Israel na Hamas kila upande umelegeza masharti yake ili kufikiwa kwa lengo hilo.
Kwa mujibu wa taarifa zinazovuja kutoka kikao...
Mojawapo wa maombi ya HAMAS kwenye mazungumzo ya amani ni kwamba viongozi wake wataihama Gaza na wasiuawe popote watakapokwenda, wahakikishiwe uhai wao.
Hilo ombi ni ngumu kutekelezeka maana Myahudi ukimwaga damu yake subiri lazima alipe, wao hutumia sheria za Musa, yaani jicho kwa jicho, kwamba...
Mfadhili mkubwa wa Israel,Marekani baada ya kuona madhara kwa pande zote ya vita vya Gaza,ghafla imebadili mwelekeo na kupeleka azimio baraza la usalama la Umoja wa mataifa linalotaka vita hivyo visitishwe haraka.
Katika azimio lililopelekwa baraza hilo mwezi Februari kikwazo ilikuwa ni Marekani...
Katibju mkuu wa umoja wa mataifa, Antonio Guterres kwa mara nyengine amewaambia viongozi wa jumuiya ya Ulaya wazitumie sheria za kimataifa kwa hali ya usawa. Yale wanayoona ni sawa au kuyapinga kwa Ukraine na sehemu tofauti iwe hivyo hivyo kwa Gaza.
==========
BRUSSELS (AP) — European Union...
Taarifa zinazotolewa na vyomba kadhaa vya habari vinatoa picha ambayo si nzuri kwa Israel ikiwa ni mwezi wa tano tangu vita vianze.
Mfano mapigano makali yameripotiwa kaskazini ya Gaza ambapo pande zote mbili zimepata hasara.Vita hivyo vimepiganwa karibu na hospitali ya Alshifaa eneo ambalo...
Muda mrefu ilielezwa kuwa Gaza ndio gereza kubwa la wazi duniani lililowafungia watu karibu milioni 2.5
Baada ya hilo mshauri wa mambo ya nje wa jumuiya ya Ulaya,Joseph Borell amesema eneo hilo pia linapaswa kuitwa ni kaburi la sheria walizojiwekea binadamu.
Uchaguzi wake wa jina hilo bila...
Ndege isiyo na rubani au droni imedondoshwa leo kwenye jiji la Gaza ambalo jeshi la Israel lilitangaza zamani kulidhibiti eneo hilo.
Habari hizo zimetolewa na msemaji ya kundi la Alquds ambalo ni tawi la kijeshi la harakati za Islamic jihad.
Droni hiyo kwa mujibu wa aljazeera iliyowanakili...
Waziri wa Mambo ya nje wa Afrika Kusini Naledi Pandor amesema kuwa raia wa taifa hilo wanaopigania Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) huko Gaza watakamatwa watakaporejea nchini humo, shirika la habari la AP linaripoti.
“Tayari nimeshatoa taarifa ya kuwatahadharisha wale ambao ni wa Afrika Kusini...
Wale wanaotaka Palestina irejeshwe, nawajuza kuwa Palestina haijawahi kuwapo kwenye sura ya dunia.
1. Kabla ya Israel kuwekwa pale mwaka 1948 kulikuwa na utawala wa kikoloni wa Uingereza (British Mandate), hii haikuwa Taifa la Palestina
2. Kabla ya Ukoloni wa Mwingereza mwaka 1917 kulikuwa...
They made their world so hard
Everyday we got to keep on fighting
They made their world so hard
Everyday the people are dying
For hunger and starvation - lamentation
But read it in Revelation
You will find your redemption
And then you give us the teachings of his majesty for we no want...
Katika historia ya dunia hakujawahi kuwepo utulivu .Ni vita tu kwa mitindo tofauti kulingana na muda.
Vita hivyo viko vya aina mbili.Vile vya kiuchumi na maslahi ya kidunia ambavyo hupiganwa na mashetani wawili wote wenye malengo ya kidunia.
Vita vya aina ya pili ni vya kidini ambavyo hupiganwa...
Mchezaji wa soka wa Palestina, Mohammed Barakat, aliuawa Jumatatu wakati shambulio la angani la Israeli lilipogonga nyumbani kwake katika mji wa kusini mwa Gaza wa Khan Younis.
Nyumba yake ya familia ililengwa na mfululizo wa mabomu ya Israeli yaliyorushwa siku ya kwanza ya mwezi wa kufunga wa...
Watu wanakufa sasa kwa njaa Gaza na kuna malori ya misaada kwa mamia kwenye mipaka ya Gaza ambayo yameshindwa kuingia huko kikwazo ikiwa ni ruhusa ya Israel.
Marekani kwa kujionesha kuwahurumia wanaokaribia kufa njaa imekuwa ikidondosha misaada michache ya michache ya chakula na sasa imesema...
Jeshi la Israel limekamilisha ujenzi wa barabara mpya inayopita katitaki ya eneo la kaskazini mwa Gaza kutoka mashariki hadi magharibi mwa eneo hilo. Haya ni kwa mujibu wa picha za satelaiti zilizodhibitishwa na kitengo cha uchunguzi cha BBC verify.
Jeshi hilo limeiambia BBC kuwa linajaribu...
Inashangaza kuona Saudi Arabia inayosifika kuwa nchi tajiri ya kiarabu kuona kiasi pekee walichochangia ni dola milioni 133 tu kuisaidia Gaza.
Saudi Arabia imebarikiwa mafuta, visima vingi vinamilikiwa na wanafamilia wa kifalme na ndugu zao (royal family), huonyesha ufahari wao kwa kutumia...
Kila nikianza kuwahurumia hawa watu halafu nikutane na habari kama hizi najikuta natamani wapigwe tu, yaani miundo mbinu yote hii ilijengwa wakishuhudia kimya kimya, walikusudia kuiona Israel ikifutwa, sasa hivi wao wanafutwa.
=========================
Four kilometers long: IDF destroys...
Haya yamesemwa na Waziri mkuu mstaafu Ehud Barak:
1. Kumbe mabomu ya vifaru Waisrael wanapewa na Mmarekani.
2. Mabomu ya ndege, Jamaa wanapewa na Mmarekani
3. Mabomu ya iron dome jamaa wanapewa na mmarekani.
4. Kulindwa kwenye maamuzi ya kimataifa ya UN
5. Na pia kumbe wanategemea walindwe...
Mv Rubymar iliyopigwa na Houth mnamo Februari 18 mwaka huu tayari imezama kabisa
DUBAI, United Arab Emirates — A ship attacked by Yemen’s Houthi rebels has sunk in the Red Sea after days of taking on water, officials said Saturday, the first vessel to be fully destroyed as part of their...
Israeli settlers build symbolic house on Gaza border
Wakazi wa asili wa Kiyahudi wanataka kujenga nyumba zao mpakani mwa Mji wa Gaza,
Wakazi wa Israel wameiomba Serikali yao kulisimamia bila kikomo eneo la Mkoa wa Gaza na Serilaki ijenge makazi ya kudumu kwa ajili ya Waislam mara tu vita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.