Madaktari na watu wa afya kwenye eneo la Gaza wameshughulika sana kufukua makaburi ya halaiki baada ya vikosi vya Israel kuondoka maeneo ya mahospital waliyokuwa wakiyakalia.
Hali ni ya kutisha na kusikitisha sana baada ya watu waliokuwa wanatafuta ndugu zao kugundua maiti wengi wakiwa na...
1. Gaza ni kaeneo kadogo ka size ya kinondoni, ilala au temeke huko; kigamboni, bagamoyo, Pemba au Mafia ni kukubwa mno kuliko Gaza.
2. Vi kinondoni, ilala, au temeke huko ni vi mikoa vya kipolisi tu ambapo kamanda Muliro mguu wake mmoja hauenei.
3. Israel leo mwezi wa 6+ anapigana kwa...
Maandamano yanayoambukizika ya vyuo vikuu maarufu nchini Marekani yameanza kuihofisha serikali kuu ya nchi hiyo.
Nguvu zimetumika kuwatawanya wanafunzi wa chuo kikuu cha Columbia baada ya spika wa bunge wa Marekani.bwana Johson kutembelea eneo hilo kuwataka watawanyike bila mafanikio...
Taarifa za karibuni kabisa kutoka Gaza zinasema kiongozi mkuu wa Hamas,Yahya Sinwar hivi karibuni ameweza kukagua vikosi vya wapiganaji wake maeneo tofauti ya Gaza.
Alifanya hivyo kwa kujitokeza juu ya ardhi na wala sio kwenye mahandaki.
Mbali na hivyo, kiongozi huyo ambaye mara moja Israel...
Yapo mambo mengi ambayo yametoa picha ya namna Israel na Marekani wanavyoshirikiana kimkakati ili kuhakikisha Israel inaitawala Gaza na Palestina yote bila upinzani.
Ni kweli Israel ilikuwa na nia ya kuipiga Iran kwa nguvu kubwa na kuleta madhara zaidi lakini kwa kushauriana na Marekani na...
Kwa mara ya kwanza tangu kuundwa kwa Taifa la Israel mnamo 1948, serikali ya Marekani ambayo imekuwa mshirika mkuu wa siasa na harakati za Israel pale Mashariki ya Kati, imeeleza kusudio lake la kuweka vikwazo kwa kikosi maalumu cha Jeshi la IDF kilichofanya oparesheni zake upande wa ukingo wa...
Tangu Iran iishambulie Israel haijafika wiki moja.
Ndani ya muda kwa hasira ilizokuwa nazo Israel na namna ilivyovuliwa nguo hadharani tayari imejaribu kutaka kurudisha kipiga lakini hatimae ikashindikana.Sasa inatarajiwa itakuwa siku ya Jumatatu ijayo.
Katika kipindi hicho cha ndani ya wiki...
Kisa cha vikosi vilivyokwenda Entebe nchini Ugana kuokoa mateka wa Israel ni maarufu sana katika historia za kishujaa ulimwenguni na kusimulia ubora wa kivita wa Israel.
Vikosi kama hivyo vimesambazwa kote Gaza lakini havijaweza kufanya lolote na imeripotiwa makamanda wake kadhaa wameuliwa na...
Napata wasiwasi kwanini dunia inatumia nguvu nyingi kuishawishi Israel isishambulie Iran, kipi wanachokijua tusichokua na habari nacho, maana kama tujuavyo Israel ni wazee wa mipango ya kimya kimya, hawapigi makelele kuhusu wanachotaka kukifanya, tunashtukia wamefanya.
Kwa mfano kipigo...
Vifijo vimerindima ndani ya maeneo ya Gaza baada ya Iran kuamua kuipiga Israel kulipiza kisasi shambulio la Israel dhidi yake huko Syria.
Baadhi ya waliohojiwa jimboni humo wamesema kwa muda mrefu wamekuwa wakipigwa huku majirani zao wakikaa kimya.Kama sasa wataanza kuingilia kati kuipiga...
Wanaukumbi.
⚡️Hamas wamebadili namna ya kupigana vita sasa hivi wanapigana vita vya kuvizia vimejipanga vyema kiasi kwamba walitega kamera kwenye maeneo ya kuua wanajeshi wa IDF na kujua ni wapi askari wanakwenda kutembea na mizinga itaingia wapi na ni jengo gani kwa askari watakimbilia...
Duniani kote kila Bara kuna mapigano yanayoendelea huku kukiwa na ushawishi sifuri kwenye kusitisha hizo vita. Ninasema mapigano kwa sababu sehemu kubwa ya mapambano hayo yametokana na ushawishi wa makundi yanayolenga kufaidika na vita hizo. Kinachoendelea Ukraine na Urusi ni vita kamili kwa...
Tuliambiwa watapiga ndani ya masaa 48, Israel ikasema thubutu. Sasa naona wameufyata na kuja na mengine.
Msichokijua nyie wavaa makobaz ni kwamba Israel ilipiga hao makamanda wa Iran ikijua inachokifanya na huyo kubwa gaidi lenu Iran amekua makini sana kutonasa kwenye huo mtego...
Ukielezea kuhusu Israel utasikia kila mtu akizungumzia six days war, operation Entebbe na covert operation ambazo walifanya pale middle east.
Watu inabidi waelewe hizo story zilipendwa, ni kama miaka ile wazee wetu wanakuambia Peugeot 504 ni gari inakimbia sana, au 90's tunasikia Land Cruiser...
Mwanzilishi wa shirika la kutoa misaada ya chakula la WCK, Jose Andres amesema kuuliwa kwa wafanyakazi wa shirika lake ilikuwa ni kitendo cha makusudi kilichofanywa na jeshi la Israel.
Katika mahojiano aliyofanya na redio moja ya Israel mwanzilishi huyo amesema magari matatu yalikuwa yakitoka...
Israeli parliament passes law paving the way for Al Jazeera closure
Prime Minister Benjamin Netanyahu promises to use the law to shutter local operations of Al Jazeera.
Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu has promised to “act immediately to stop” Al Jazeera’s operations in the country...
Imeelezwa kuwa kiongozi wa Israel,Benjamin Netanyahu anatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa ngiri muda wowote kuanzia kesha.
Kesho hiyo hiyo mwanasheria mkuu wa serikali anatarajiwa kusaini sheria ya kuwalazimisha wayahudi wa msimamo mkali kuingizwa jeshini kwa lazima.
Mayahudi wa mrengo huo pamoja...
Hawa ni baadhi tu ya watoto wanaoendelea kufa njaa na kiu mbele ya ulimwengu wakati vyakula vimejaa mpakani mwa Gaza
https://www.aljazeera.com/program/newsfeed/2024/3/27/videos-of-malnourished-children-show-gazas-forced-starvation-crisis
Makombora kadhaa yamerushwa nchini Israel kutoka Gaza katika namna inayoiumiza kichwa mbabe huyo wa dunia.
Maeneo yaliyopigwa ikiwa ni karibu ya mwezi wa sita tangu vita vianze ni pamoja na Ashdod na Isderot. Habari hizo kutoka kwa kundi la Alqassam zimethibitishwa na Israel yenyewe pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.