gaza

  1. JanguKamaJangu

    80% watoto wa Gaza wana Ugonjwa wa sonona

    Watoto wanne kati ya watano wa Ukanda wa Gaza wanatatizo la msongo wa mawazo, huzuni na hofu ambayo imewatawala kwa miaka 15 waliyozungukwa na zuio la Israeli Ripoti ya Shirika la Save the Children imeeleza hayo baada ya kufanya utafiti wa zuio hilo ambalo lilianza Juni 2007. Watoto 800,000 wa...
  2. beth

    Israel yafanya mashambulizi ya anga Gaza

    Israel imeanzisha mashambulizi ya anga dhidi ya maeneo lengwa ya Hamas katika ukanda wa Gaza. Taifa hilo limefanya hivyo baada ya maputo ya moto kurushwa kuelekea upande wake. Kwa mujibu wa huduma ya zimamoto ya Israel, maputo kadhaa ya moto yalirushwa kutoka upande wa Gaza na kusababisha...
  3. Mlaleo

    Kiwanda Kipya cha Drone Mpya kwa jina la Gaza Chalipuka

    Ule Mlipuko uliotokea Nchini Iran wiki iliyopita imefahamika ni kiwanda cha Drone mpya za Iran zilizopewa jina la ''GAZA'' kazi ambayo ni copy ya Drone ya Marekani na Drone ya Israel kwa Pamoja... Mlipuko ambao uliwajeruhi karibu watu tisa kiwandani hapo. Kiwanda hicho kinatengeneza vifaa vya...
  4. sky soldier

    Shangwe na furaha yatanda Gaza baada ya pande mbili kukubaliana kutuliza mapigano

    Hakika ni shangwe iliyojaafuraha kwa upande wa Palestina huko Gaza, Kinachosherekewa hapa ni "Thanks to God, some of us are still alive" Wananchi wa Gaza waliishi kwa hofu sana maana kifo kilikuwa nje nje pale maisha yao yalipofanywa kuwa ngao, Hamas waligeuza mitaa na nyumba zenye raia wema...
  5. sky soldier

    Hii ndio silaha kuu ya Hamas (Magaidi wa Palestina) inayowaumiza vichwa Israel

    Silaha kuu wanayotumia Magaidi wa Palestina (HAMAS) ni raia wema na makazi yao, Ni ngumu sana kupigana na mtu anaetumia maisha ya raia wema kama ngao. Pale Israel napopanga shambulizi huwa inatumia rasilimali nyingi, muda mwingi na maandalizi ya umakini ili kupunguza maafa kwa raia wema pindi...
  6. stakehigh

    Watanzania tunajifunza nini kwa yanayoendelea Israel na Gaza?

    - Kiukweli kabisa nmekua impressed na ule mfumo wa (IRON DOME) wa israel, na nadhani izi siasa za ajira ifike sehem ziwe na mwisho sasa, haiwezekani kila mwaka ombi kubwa la wasomi linakuaga ni ajira tu wakati kuna opportunities nyingi sana kwenye elimu unayopata peke yake. - Ni tuseme kwamba...
  7. Sam Gidori

    Anadolu Agency yatoa Ofisi zake za Gaza kwa Al Jazeera na AP

    Shirika la Habari linalomilikiwa na Serikali ya Uturuki, Anadolu Agency (AA) limetoa kibali cha kutumiwa kwa ofisi zake katika mji wa Gaza kwa Mashirika ya Habari ya Al Jazeera na Associated Press (AP) baada ya ofisi zao kuharibiwa na shambulio la kombora la Israel siku ya Jumamosi...
  8. Bulamba

    Nini kifanyike kumaliza mgogoro wa Israel na Palestine?

    KWA wale wataalamu wa siasa za kimataifa tunaomba kujuzwa kwa lugha nyepesi kiini cha mgogo wa GAZA baina ya Israel and Palestine uliozuka tena juzi na kupelekea zaidi wapalestina 174 kuuwawa wakiwamo watoto 47? Nini kifanyike kumaliza mzozo huu? Nani wa kulaumiwa? Nini nafasi ya jamii ya...
  9. 2019

    Machafuko Gaza: Ulaya sasa 'Kimeumana Rasmi'

    Mpaka tunaingia mitamboni miji hii kinawaka sasa 1. Paris 2. London 3. Berlin Jana ilikua New York na pia Lebanon kunawaka moto kati ya polisi na waandamanaji wanaopinga uonevu wa Israel kwa Palestina
  10. Sam Gidori

    Video: Kombora la Israel lilivyoangusha jengo la ofisi za Al Jazeera

    Mashambulizi ya makombora katika eneo la Gaza yanaingia siku ya sita mfululizo, huku idadi ya vifo ikiongezeka kufikia watu 140, wakiwamo watoto 39. Israel imeendelea kutumia makombora kushambulia majengo marefu katika eneo la Gaza, ikilenga jengo la ofisi za Shirika la Habari la Al Jazeera na...
  11. TheDreamer Thebeliever

    Kwanini dunia haitaki kujihusisha na yanayotokea Gaza?

    Habari wadau..! Nimewaza hivi kwa nn dunia haitaki kujihusisha na yanayotokea huko Gaza..? Binafsi toka nazaliwa nimekuwa nikisikia Gaza mpaka nakuwa mtu mzima na watoto na watoto wanaelekea kupata nao watotot bado wimbo ni Gaza . Je kwa nini dunia haitaki kabisa kujihusisha wala kutafuta...
  12. Upepo wa Pesa

    JWTZ badilikeni, dunia ya sasa hakuna vita ya kuvunja matofali kwa kichwa!

    Nimekua nikifuatilia vita ya Israel na Hamas huko ukanda wa gaza. Ninachoshangaa hamna ngumi wala kareti ni makombora yanavurumushwa angani kama mvua! Hiyo ni moja, mbili.. Nimevutiwa jinsi Israel inavyotumia "engineering na science" kulinda nchi yake... kombora zinarushwa kutoka gaza ila...
  13. Sam Gidori

    Gaza: Mashambulizi ya makombora yaendelea, Idadi ya vifo vya Wapalestina yafikia 122

    Mashambulizi ya maroketi yameendelea siku ya Ijumaa kati ya Israel na Palestina, huku idadi ya vifo na majeruhi pamoja na uharibifu wa mali vikiongezeka. Israel imeendelea kufanya mashambulio katika ukanda wa Gaza ikipuuzia wito wa Jamii ya Kimataifa wa kusitisha mashambulizi, ikisababisha vifo...
  14. M

    Myahudi alivyowachezea akili jana Hamas jana kwa kuwadanganya anaingia Gaza

    Inakuwaje wanajamvi! Jeshi takatifu la Israel IDF Jana liliwadanganya Hamas litaingia Gaza kwa kikosi chake cha ardhini. HAMAS wakaingia kwenye maandaki yao kuwasubiri kuwaambush. Ndipo hapo jeshi teule likawashushia vitu vizito kadhaa vyenye ncha butu vikigusa ardhi tu vinalipuka paah kwa...
  15. U

    Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu had a phone call with US President Joe Biden who expressed support for Israel

    "My expectation and hope is this will be closing down sooner than later, but Israel has a right to defend itself," Biden told reporters at the White House after the conversation. Netanyahu, however, followed the conversation by saying that Israel would continue to carry out airstrikes in Gaza...
  16. sky soldier

    Hii picha ina ukweli wowote kwa kinachoendelea Gaza Israel

    Hamas,fatah na Palestine organisation siraha zao huziweka kwenye makazi ya watu,hata wakitaka kufanya mashambulizi,rocket launcher zao huzifyaturia kwenye makazi ya watu wengi,Ili watu hao na makazi yatumike kama ngao dhidi ya Israel,wao hutegemea wakiwaweka Raia wakawaida mbele,Israel...
  17. Sam Gidori

    Wapalestina 36 wauawa katika mashambulio ya roketi ya Israel

    Mamlaka katika eneo la Gaza zimesema takriban Wapalestina 36, wakiwamo watoto 10 wamefariki kutokana na mashambulio ya maroketi kutoka Israel, huku wengine 250 wakijeruhiwa siku ya Jumatano. Mashambulizi haya ni ya hivi karibuni zaidi yanayoongeza mvutano ulioanza baada ya Hamas kuvitaka...
  18. K

    Taifa la Israel halina uhalali wa kumiliki Gaza

    Israel haina mamlaka juu ya Gaza wala Jerusalem wala West bank. Israel ilivamia tu maeneo hayo ya Palestine toka miaka ya 1960s. Palestine ilikuwepo na kihistoria ilitawaliwa na Uingereza. Je, Taifa la Israel lilitawaliwa na nani? Maana ijulikanavyo kuna jamii ya wana wa israel ila hakuna na...
Back
Top Bottom