Raisi Biden haonekani kuwa tofauti na mtangulizi wake raisi Trump.Wote hawachagui lipi la kusema na wakati wa kuyasema maneno yao.
Japo taarifa za kukataliwa kutua katika baadhi ya nchi za kiarabu alizopanga kuzitembelea anazo na bado alipotua Israel maelezo yake hayakuwa ya kutuliza hasira...
Wanaukumbi.
The American Wall Street Journal: “The bomb that was dropped on Baptist Hospital was an American MK-84,” which can only be deployed by a plane that hamas dont have any.
Gaza's health ministry spokesman said an Israeli air strike on Tuesday killed hundreds of people at a hospital in...
Jeshi la Israel kupitia ukurasa wao wa mtandao wa X wameweza kukanusha taarifa juu ya shambulio la kombora lililoangukia Hospitali huko mjini Gaza na kuua zaidi ya watu 500 na kujeruhi wengine kadhaa.
Jeshi hilo limesema, shambulio hilo halikufanywa na Israel bali ni kundi la Kigaidi lenye...
Kuhamisha watu milioni moja sio kazi rahisi kihivyo, ukizingatia wote hawa wanateseka bure na hawakuyataka haya, majengo yao yote yanasambaratishwa na kuwa mashamba na magofu, na wanaenda kuteseka kwenye baridi na mahangaiko mengine, kwa kifupi HAMAS na mashetani mnaowaabudu kisa dini mkae...
Hadi nimeogopa, Israel kwa kweli sio ya kuchokozwa, kha! Yaani wakazi wa Palestina wataikumbuka hii miaka 100 ijayo, jinsi walivyoponzwa na magaidi ya kidini.
Na hapo bado wanasema kuna operesheni, wajuvi wa mambo mtujuze nini kingine kimebaki cha kupigwa hapa...Hadi misikiti imesambaratishwa...
Wengi wamehojiwa na kusema kwa walivyopokewa yaani hawajaona upendo kama huo kwa muda mrefu.
Hongereni sana Wakristo kwenye hilo kanisa, waonyesheni inawezekana kuishi na watu bila kuwachinja kwa jina Mungu, na kwamba dini inapaswa kuwa kitovu cha amani na utulivu.....
=========================...
Historia inaonesha wayahudi wa Israel kila waliposhambuliwa na wanamgambo wa Hamas walilipiza kisasi papo kwa papo bila kusubiri.
Nini kilichwafanya safari hii "wajipange" kwa muda mrefu na huku wanadai kuwa watu wao wengi wametekwa?
Jibu ni jepesi sana; Hamas ndiyo walioshambulia na katika...
Mtoto wa kiume kiongozi wa kundi la Hamas anayeitwa Mosab Hassan Youssef, amekuja wazi na kuonesha kutopendezwa na mienendo ya Kundi la Hamas, kitu ambacho kilipelekea kubadili dini na kuwa Mkristo na sasa anaishi kwa Amani. Mosab Hassan Youssef aliandaliwa kuwa kiongozi atakayerithi uongozi wa...
Hamas wanategesha mabomu kwenye magari yanayohamisha watu Gaza kaskazini, Hamas hawaoni taabu kuua wapalestina kwa lengo la kutengeneza propaganda kuwasingizia Israel ndio wanafanya haya mashambulizi
Katoka hali ya kushangaza Rais wa Israel bwana Isaac amenukuliwa akisema kila mtu anaeishi Gasa ni mhalifu bila kujali ni rais ama wanamgambo wa Hamas hadi pale itakapokuja kuthibitishwa tofauti hivyo jeshi la Israel halitaacha mtu yeyote kwa sababu wote ni wahalifu.
Binafsi hua najua kisheria...
Tatizo lilopo Palestina ni la muda mrefu kutokea kwenye unyakuzi wa maeneo yaliyokuwa ya wapalestina kufanywa taifa la Israel. Pia unyakuzi wa maeno zaidi ulioendelea kufuatia vita mbali baina yao 1967 na 1973.
Duniani kote watu wanaandamana kupinga ulipizaji kisasi wa Israel kwa wapalestina...
Israel inataka kufanya operesheni ambayo haijashuhudiwa siku nyingine, wanajeshi 300,000 watafanya uvamizi ambao utahusu kufagia choko choko zote za huo ukanda. Raia waliamrishwa wahamie Kusini ili atakayebaki hapo ataonwa kama mpiganaji, hivyo itamhusu.
Kitu wengi wasichokifahamu, hao...
Nakumbuka miaka 3 nyuma dunia ilishuhudia (COVID) HOMDA ambayo ilitaka dunia kujifungia kwa lengo la kuharibu uchumi wake "planned stories" siwezi kukataa hundred percent kwamba ugonjwa haukuwepo na haujaua!laa hasha ila its determined effects was totally wrongly.
Imagine Ugonjwa huu uliuwa...
Umoja wa Mataifa (UN) umedai kuwa umejulishwa na Jeshi la Israel kuwa Wakazi wa Gaza Kaskazini wanatakiwa kuwa wameondoka eneo hilo ndani ya Saa 24.
UN imesema jambo hilo ni gumu kutekelezeka kwa kuwa idadi hiyo ni nusu ya watu wote waliopo Gaza.
Israel imekuwa ikijiandaa kwa mashambulizi ya...
Mataifa ya Ulaya na Marekani hayawezi kuja na msimamo wenye kauli ya kuitaka Israel kuacha mashambulizi wala mataifa ya Waarabu hayawezi kukiambia kikundi cha Hamas kuja na kauli ya kutaka wafanye mazungumzo ya amani kwa kuwa hata wao wangeguswa kama ilivyoguswa Israel na Gaza wangefanya kitu...
Hakuna haja ya salamu.
Hali imezidi kuwa mbaya kwa upande wa Palestina baada ya kuanzisha mashambulizi Israel. Waisrael wameendelea kumimina mabomb maeneo mbalimbali ya palestina hasa huko GAza na kuleta hali ya Umauti Mauti kwa wakazi wa eneo hilo.
Wapalestina wengi wameonekana wakisikitishwa...
Imefichuliwa: CBC Inawataka Waandishi wa Habari Kutowaita (Terrorist)magaidi wa Hamas, Tahadhari dhidi ya Kusema 2005 Iliondoka ukanda wa Gaza
nada.
Imefichuliwa: CBC Inawataka Waandishi wa Habari Kutowaita (Terrorist)magaidi wa Hamas, Tahadhari dhidi ya Kusema 2005 Iliondoka ukanda wa Gaza...
Shambulio la anga la Israel la mapema alfajiri limemuua kamanda mkuu wa kundi la Islamic Jihad (PIJ) na wanamgambo wengine wawili mjini Gaza.
Ndege ya kivita ilishambulia ghorofa ya tano ya jengo la makazi la Hamad , karibu na Khan Younis kusini mwa eneo hilo.
Siku ya Jumatano wanamgambo huko...
Katika wiki hii peke yake jumla ya wapalestina 24 wameshauliwa huko Gaza na ukanda wa magharibi kutokana na mashambulizi mazito kutoka ndege za Israel.Chanzo cha mashambulizi hayo si kitu cha kutafitiwa kwani mataifa ya Palestina na Israel huwa daima yako vitani.
Kwa kujua wapalestina wote...
Watoto wanne na Wanamgabo kadhaa wa Palestina wameuawa katika mashambulizi ya mabomu yaliyotokea Ukanda wa Gaza ikiwa ni siku ya pili tangu kuanza kwa mashambulizi kutoka kwa vikosi vya Israel.
Israel imeonya kuwa mashambulizi yake hayo yanaweza kuendelea kwa muda wa wiki moja, ambapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.