Wanaukumbi
IDF ilipoteza udhibiti kamili kaskazini mwa Gaza. Maeneo makubwa yamerudi chini ya udhibiti wa All -Qassam.
Kaskazini ilikuwa chini ya udhibiti wa Hamas kila wakati, habari za uongo kuhusu ushindi kutoka kwa Waisraeli zinashangaza wakati ukweli unapikwa kila siku, hakuna lengo moja...
Wanakumbi.
Taarifa za hivi punde kutoka kwa Hamas zinadai kuwa mateka wawili kati ya watatu walioonyeshwa kwenye video yao ya awali wamekufa kutokana na mashambulizi ya Israel huko Gaza.
Wanajeshi wa Israel kutoka kitengo cha 36 baada ya kuondolewa Ukanda wa Gaza wameshangilia sana wengine...
Katika maadhimisho ya siku mia za vita kati ya Israel na Hamas waziri mkuu wa Israel ameiamrisha Misri ifunge mpaka wake na Gaza na kuiachia Israel kudhibiti eneo lote linalounganisha Gaza na nchi hiyo ya kiarabu.
Kipande hicho cha ardhi ambacho Israel kinakiita Philadelphi Corridor kina urefu...
1. Mambo yenda yakiongezwa, si white house, mabakabaka, tiss ya huko, nk wataonyesha hadharani kutoridhika kwao na mambo yalivyo.
2. Hii sasa ni serikalini, kwamba mambo lukumba lukumba!
3. Kwamba kitanuka vilivyo huko kuelekea anniversary day 100 ya uvamizi wa Israel Gaza.
4. Mahsusi...
Huku kesi dhidi ya Israel iliyofunguliwa ICJ na Afrika kusini ikinguruma kule Gaza ya kaskazini wananchi wameanza kurudi majumbani mwao kutoka kila upande walikokimbilia
Hayo yanatokea wakati hakuna hata lengo moja la vita lililowekwa na Israel ambalo limetimizwa.
Zaidi ya hayo kuna hali...
Mjumbe wa baraza la mapinduzi la Yemen,Mohammed Ali Houth amejibu azimio la Umoja wa mataifa linaloitaka kuacha kushambulia meli kwenye bahari nyekundu.
Akijibu azimio hilo,kiongozi huyo wa Houth amesema hawatoacha mashambulizi yao mpaka hapo Marekani itakapoacha kuiunga mkono Israel katika...
Wanakumbi.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Anthony Blinken wakati wa mkutano wake na maafisa wa baraza la mawaziri la vita:
Kawambua haiwezekani kuiondoa Hamas Gaza katika hali yake sasa Israel wamerudi Qatar tena hali tete Gaza.
Baraza la mawaziri la vita la Israel liliwekwa Jumatano...
Katika vita vya Gaza vinavyoelekea ukingoni baada ya hasara kubwa, tumeshuhudia mambo mengi sana na mengi ya hayo ni ya kushangaza mno.
Binafsi kuna kitu nilikiona na nikajaribu kukifungulia uzi. Lakini mamodi wa JF kwa kuwaendekekeza akina Imeloa na Yoda na MK254 na Kinyungu na wenzao...
Katika hali ambayo hakuitegemea, bwana Joe Biden kajikuta akibananishwa na wapenda haki kanisani:
https://www.bbc.com/news/av/world-us-canada-67886694
Kwamba kalazimika kukiri kuwa hata yeye kukereka na kuwa anapambana na Natenyahu, usiku na mchana akimtaka aondoke Gaza?
Kwa hakika yahitaji...
Miezi mitatu mbele tangu shambuliao la kihistoria la Hamas hapo oktoba 7 mwaka 2023, kwa mara ya mwanzo Israel imekiri kwamba vita vimebadilika.
Msemaji wa jeshi la Israel katika mhojiaano na gazeti la New York times amedhihirisha hali hiyo ya mshangao.
Msemaji wa Jeshi la Israel, Daniel...
Watu waliishi kila siku wakijiandaa kuifuta Israel, badala wajenge viwanda vya kusaidia jamii wao wanajenga vya makombora ya kuelekeza Israel, jameni hawa wana bahati sana maana wangekua na ujirani na mtu asiyejali kama Mrusi mbona wangekoma, Mrusi angewapiga carpet bombing bila kuchambua watoto...
Wanaukumbi.
Hamas ilitoa video ya wanajeshi wa kike wa Israel waliokamatwa kwenye uwanja wa mapambano Gaza.
Walisimamia machapisho ya uchunguzi ambapo waliendesha bunduki za mashine zinazodhibitiwa kwa mbali.
Walikamatwa baada ya kambi yao ya kijeshi kuzidiwa na wapiganaji wa Hamas, na...
Israeli inasema uongozi wa Hamas umesambaratishwa Gaza kaskazini Msemaji wa jeshi Daniel Hagari amewaambia waandishi wa habari kwamba wanamgambo wa Kipalestina sasa wanaendesha shughuli zao katika eneo hilo "bila ya makamanda".
Vikosi vya Ulinzi vya Israel (IDF) sasa vinalenga kuisambaratisha...
Ikiwa miezi mitatau imetimia tangu vita vianze kati ya Israel na Palestina na bila mshindi kupatikana, wafuatiliaji wa vita hivyo wana nafasi ya kuchagua wa kupewa nishani baada ya kumalizika kwa vita vyenyewe.
Kwa mtazamo wangu nishani ya mwanzo itawaendea Hamas kwa kuchukua maamuzi magumu na...
Ifahamike Israel imekua ikitengeneza na kuuza mizinga ya kisasa yenye uwezo wa maangamizi makubwa sana na pia uwezo wa kusafiri masafa marefu ikiwemo ICBM.
Sasa hapo Gaza wamekumbwa na changamoto ambayo haijawahi kutokea duniani, inapigana na adui aliyejificha nyuma ya watoto na akina mama...
Rwanda ni nchi ndogo ki eneo lakini ina raia 13,000,000.
Ukubwa wa jeshi la Rwanda ni kwamba Ina active personnel 33,000
Jeshi 33000 lenye serikali imara ni ngumu Sana ku-invade.
Tujifunze Vita ya Israel na Hamas. Israel pamoja nakuwa na jeshi Bora na zana bora za kivita, lakini mpaka sasa...
Hili tukio kiuhalisia wa vita vikali vinavyoendelea ni dogo lakini tunalitaja kwa uzito kwa sababu linatokea kaskazini ya Gaza ambako kwa muda mrefu tumeelezwa kuwa eneo hilo liko kwenye mzingiro na kwamba Hamas wote wamefurushwa.
Msomaji anaweza akajiuliza kama ni hivyo Hamas wametokea wapi na...
Kuna mazungumzo “ya siri” kati ya Netanyahu na Congo DRC ili kuweza kuwahamishia raia wa Gaza huko pamoja na nchi nyingine za Africa.
Kaazi kweli kweli daah!
https://www.thedailybeast.com/israel-in-secret-talks-to-resettle-palestinians-in-congo-report-says
#Israel has announced that it will withdraw thousands of its forces from #Gaza as they face pressure from the #US to shift toward a more low-intensity war.
Juzi hapa walisema hata iweje hamna kukubali chochote kisichohusu Israel kuondoka Gaza, ila Israel wakasema hamna kitu kama hicho na kwanza wakaongeza mapigo. HAMAS sasa wanasema basi sawa jameni wapewe wafungwa wao tu wataachia mateka 40
========================
Hamas negotiators have waived...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.