Wakati saa ikisoma sifuri baina ya 2023 na 2024 mara Hamas wakaanza kurusha makombora kwa mtindo wao ule wa kama mvua ambapo Iron Dome huwa zinashindwa kujua ianze na lipi kati ya mengi yanayokuja.
Sauti za ving'ora zilizofuata hazikuwa ni zile za kuukaribisha mwaka mpya bali za kuwaonya watu...
Habari ndo hiyo kwamba baadhi ya vikosi vya wanajeshi wa Taifa teule la Mungu, vitaanza kupunguzwa kutoka uwanja wa vita huko Gaza ili kulinda uchumi wa Taifa la Mungu...
Wanaukumbi.
The Israeli military says it will withdraw five combat brigades taking part in the ground invasion of Gaza so troops can “gain strength” for future battles
===============
Jeshi la Israel limesema litaondoa vikosi vitano vya kijeshi vilivyoshiriki katika uvamizi wa ardhini huko Gaza...
Baada ya Salam. Ndugu zetu Watanzania wenzetu kwanza tunaomba Dua zenu.
Huku Katavi Kuna mauaji sana mpaka inatisha. Karibia Kila wiki kuna mtu anauwawa kwa kuchomwa na visu.
Kunakikundi kinaitwa "DAMU CHAFU" hiki ni kikundi cha mauaji hatari sana.
Leo kupitia Azam TV nimeona taarifa ya...
Toka Israel ianze mashambulizi dhidi ya Gaza taifa pekee ambalo Rais wake alijitokeza na kulaani mashambulizi ya Israel huko Gaza ni Rais wa Afrika Kusini tu. Hakuna rais wa nchi ya kiarabu amewahi kutoka hadharani akaikemea Israel ukiachana na Rais wa Uturuki.
South Afrika wameenda hatua moja...
CONFIRMED: Israel planning to dislocate all 2.3 million Palestinians from the Gaza Strip so that it can be turned into a luxury beach front Resort
26 DECEMBER 2023
Advertisements are now appearing in Israeli publications touting "Gaza 2030" showing the entire Gaza Strip as a luxury beach front...
The only way to solve the current war between GAZA and ISRAEL ,is to join the western bank (new Palestine) to Gaza(old Palestine) and form one country. The problem in this is that there is a false belief that JERUSALEM is the capital of the Palestine according to Muslims .Jerusalem was the...
1. Binadamu mwenye kauli anaweza vipi kuyanyamazia ya Gaza?
2. Kwamba watoto na wanawake wale, kwa hatia ipi Yarabi?
3. Natenyahu yuko njia moja:
4. Joe Biden ni Suala la muda tu.
5. Kwa hakika ikawakumbe wote, hata walioamua kuufyata makwetu Kenya na Uganda huku.
Ndani ya Gaza kuna makundi kadhaa yanayopigana dhidi ya Israel kwa lengo moja la kuitetea Palestina na kuulinda masjid al aqsa.
Kila kundi lina wapiganaji wake na hazina ya silaha.Kuna vikundi ya kisunni na mkubwa wao ni Hamas.Kuna vikundi vya mlengo wa kishia wakiongozwa na al qassam brigade...
1. Alikiri beberu mwenye vita vyake, uwepo wa mazungumzo makini kuelekea vita kusita na wafungwa kubadilishwa:
2. HaIna shaka kuwa #1 ni pamoja na mbinyo kutokea nyumbani:
3. Ni wajinga peke yao wenye kuiona faida ya vita ambayo matokeo yake ni vifo zaidi:
4. HAMAS na mwenzake Islamic...
1. Kwa imani ya kikristo, uwepo wa dunia na vyote vilivyomo umejengeka kutokea katika kitabu cha Mwanzo.
2. Kwa mujibu wa kitabu hicho binadamu aliumbwa siku ya sita baada ya awali kuumbwa mbingu na nchi.
3. Kwamba hapo #2; day 1: kuliumbwa nuru katika giza; day 2: kukaumbwa mbIngu day 3...
1. Joe Biden ametimba Camp David kinafiki kwa mapumziko ya Christmas; masikitiko yake kulikoni Iran hajichanganyi Gaza?
2. Kwenye simu yake na Natenyahu kabla ya kuelekea mapumzikoni, amempa Natenyahu baraka zote: "kazi iendelee, Mungu si Athumani."
3. Kwake yeye, kila shambulizi dhidi ya...
1. Tangia jumatatu hadi jana ijumaa, ndiyo hatimaye azimio limepitishwa lenye kuwa na yote aliyoyataka beberu mwenye vita vyake Gaza.
2. Kwamba limepitishwa azimio kumtaka HAMAS kuwaachia mateka wote na bila masharti yotote ili kuweka mazingira mazuri ya hatimaye vita kusita!
3. #2 hapo...
Baraza la mji wa Bethelehem mahali alipozaliwa Yesu a.s limepiga marufuku kabisa kusherehekea krismas kwa nia ya kuwaunga mkono wapalestina wanaouliwa na mayahudi kila leo.
Kuonesha nia safi katika hilo wamebomoa mapambo yote yenye dalili ya furaha katika mji huo.Zaidi wamebadili picha ya Yesu...
Wanaukumbi…
Wanajeshi wa Kikosi cha 13 cha Brigedi ya Golani katika jeshi la Israeli washerehekea kutoroka kwao kutoka Gaza(Jeshi la Israeli liliondoa Brigedi ya Golani kwa sababu ya idadi kubwa ya vifo vyao) - Idhaa ya 12 ya Israeli
===============
Soldiers of the 13th Battalion of the Golani...
Kumbe jumuiya ya kimataifa ilitaka kuitumia Oman kwa maslahi yake pekee bila kuzingatia athari nyengine.Jambo la kufurahisha ni kuwa katika mazungumzo baina yao ikiwajumuisha wanamgambo wa Houth,Oman imejitenga na harakati hizo.
Kwa mujibu wa msemaji mmoja wa Oman ambaye hakutaka kujitokeza...
Huu ndiyo ulio ukweli mchungu. Ikumbukwe;
1. Israel anajinasibu kupambana na HAMAS akisema hana taabu na wapalestina huku wahanga wakiwa wapalestina; hadi West Bank ambako hakuna HAMAS.
3. Kila vita vinapotaka kusimama, maafisa wazito wazito wa Marekani huenda Israel na vita hurundima upya kwa...
Mbali na askari wa jeshi la Israel wanaouliwa vitani na Hamas kuna adui wao wengine wanaowatesa kichini chini .Maabadui hao wengine ni viumbe visivyoonekana ambavyo huwakumba wale wanaopata majeraha katika vita hivyo vinavyoendelea kwa mwezi wa tatu sasa.
Viungo vya askari hao huathiriwa na...
Wapiganaji wa Al-Qassam (H@M@S)wakilenga wanajeshi 10 wa Israel waliojificha nyuma ya kifaru.
Source TRT
Source Aljazeera
Pamoja na kusaidiwa na Nchi za Magharibi kubomoa maghorofa, kupiga mahospitali, mashule, kuuwa wasio na hatia, waandishi wa habari (Journalists), walimu, watoto, wamama...
Hii ni habari njema sana kwa kila mpenda haki, usawa, uhuru au demokrasia.
Kwamba, bunduki zinyamaze sasa. Kila mtu akazike wafu wake, wafungwa wabadilishwe ya kuwa somo kila mtu kajifunza:
Nani mwenye ubavu wa kupiga veto leo?
Kwani nani hana kumbukumbu za mateka wale watu? Vipi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.