Nyerere na Tanzania vinaenziwa Marekani kwa namna ya kipekee

Nyerere na Tanzania vinaenziwa Marekani kwa namna ya kipekee

Mkuu eliakim,wote tumesoma O'Level humu,wote tumesoma Kiswahili Form One,tumesoma topiki ya Historia ya Kiswahili

Ukipigwa swali sasa hivi,sehemu possible ya Kiswahili kilipoanzia,japo kuna alot of contestation utafeli maana hakuna neno Tanzania humo

Na Kiswahili ulipata A From One I presume!

Still sababu una uzalendo uchwara umekujaa kichwani utasema ni "Tanzania" na hilo ni kosa sio jibu sahihi na unajua,ila basi tu!

Kutokujua kwako kiini cha kiswahili, hakupotezi maana na ukweli wa kuwa, huwezi kuongelea chimbuko na ukuzi wa kiswahili bila kuitaja Tanzania na mwal. Nyerere.
Ukiandika historia ya hivyo ndg yangu, inakuwa haina ukweli wala kukamilika.
Ni sawa kuandika historia ya chimbuko na kukua kwa reggae music bila kutaja the rastafarianism, wailers, Bob Marley, Jamaica, Ethiopia (Afrika). Hiyo historia itakuwa haijatimia.
 
Ujamaa naelewa ni socialism kwa kiingereza. Ila Ujima ni nini kwa kiingereza?
Ujima ni neno lilioanzishwa na Nyerere, wazungu hawana hilo neno, ila elewa kwamba Ujima ni mfumo wa kimaisha wa zamani ambapo familia zilikua zikiishi ktk vikundi vidogo vidogo na wanazalisha chakula kwa ajili ya kupata chakula cha familia, Ujima is a primitive means of communal life.
 
Ujima ni neno lilioanzishwa na Nyerere, wazungu hawana hilo neno, ila elewa kwamba Ujima ni mfumo wa kimaisha wa zamani ambapo familia zilikua zikiishi ktk vikundi vidogo vidogo na wanazalisha chakula kwa ajili ya kupata chakula cha familia, Ujima is a primitive means of communal
Sawa nimeelewa sasa.
 
Service based economy ina maana watu wanajituma licha ya kukosa raslimali, na ndio maana hatutajwi kwenye mataifa maskini wa kutupwa kama nyie hapo, raslimali zote hizo lakini ukata hadi mnatia huruma.
Jeuri ya hela tunazozalisha kwa kujituma ndio inatuwezesha kununua chakula, sio lazima tulime, limeni nyie tununue sisi, acheni uzembe.

Story za kibera ndiyo unakuja nazo hapa, ukidhania wote ni wajinga.

Hiyo level ya service based economy (tertiary level of production) hamjaifikia bado. Afrika nzima hamna nchi ambayo iko katika tertiary level of economy. Wengi wako kwenye primary level of economy or production, huku wachache kama RSA ndiyo wako kwenye secondary level of economy.

Unavyosema service based economy, you talk about a very sophisticated economy. Most of matured economy ziko kwenye hii level. Ndiyo ambao wana very strong base of capital markets and banking systems which mobilise and rise money to finance projects anywhere in this world. Hata baadhi ya nchi kutoka kwenye emerging markets zinaenda kupata fedha kwenye debt markets za huko. Hata Kenya inaenda mara nyingi kukopa kwenye debt market ya huko vide EuroBond.

Hivyo Kenya bado iko kwenye primary level of economy, wanalima maua, maparachichi, chai na kuuza nje.

For more insight nenda bongo ukasome a very useful program inaitwa economic diplomacy.
 
Uchumi wetu ni service based maana hatuna raslimali kama ninyi au hata hao unashobokea, kama hukulijua Libya has the largest proven oil reserves in Africa.
Kainchi kadogo kama Kenya ambapo nusu ya ardhi yake ni kame na hakana raslimali zozote kanaategemea watu kujituma, inatulazimu kununua chakula maana jeuri ya hela tunayo, na ndio unaona tunawazidi nyie kiuchumi mara mbili pamoja na nchi yenu kuwa kubwa karibia mara mbili yetu na ina rotuba nzuri kona yote na madini ya kumwaga, ila umaskini uliokubuhu.
Unajua maana ya service based economy?
Service economy ni uchumi unaofuata baada ya manufacturing economy kukomaa kwenye nyanja zote za uzalishaji kwenye Taifa, ninyi hata toothpick manufacturing technology ni kitendawili halafu mnajiita service economy? 😂😂😂😂🙌🙌🙌

Screenshot_20211230-174439.png
 
Unajua maana ya service based economy?
Service economy ni uchumi unaofuata baada ya manufacturing economy kukomaa kwenye nyanja zote za uzalishaji kwenye Taifa, ninyi hata toothpick manufacturing technology ni kitendawili halafu mnajiita service economy? 😂😂😂😂🙌🙌🙌

View attachment 2062932

Aksante sana mkuu. Nadhani ule upuuzi wa mtu anatokea kibera eti naye anajiona yuko kwenye tertiary level of economy utaisha kuanzia sasa.
 
naona unajikombeleza sana kwenye Kiswahili wakati hata sio lugha yako

kiswahili ni mali ya waswahili wa pwani originally,nyie ni adopters...

badala ujivunie kichagga chenu cha mababu zako unajikombeleza lugha ya wengine unaacha yako eti Nyerere alisema

uselesss

na chanzo cha kiswahili sio Tanzania,Tanzania ni adaptor on steroids

wewe sio Mswahili wa kuzaliwa wewe ni mchagga wa kuzaliwa ni mswahili wa kujipendekeza

Labda twende taratibu,
Pwani ni nchi gani?
 
Tanzania hii moja ambayo imetajwa ndani ya mataifa maskini yanayozongwa na madeni, halafu nchi yetu kuwa service based economy ina maana tuko productive kiasi cha kusababisha GDP yetu iwe mara mbili yenu.
Hujajibu hoja kwa nini mnaishi kwenye mabanda ya nguruwe? Mwenye uchumi mzuri anaishi kwenye mabanda Kama nguruwe?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
nani amekwambia Kiswahili kilianza juzi 60's wakati kuna kitu kinaitwa "nchi"?

hivi mkuu ulisoma topiki ya "Historia ya Kiswahili" ukiwa Kitado cha Kwanza au uliruka madarasa?

Kwa hiyo pwani ilianza 60's?
 
Pwani ilianza milenia na milenia iliyopita

Wakati costerian inhabitants wanaanza kuishi hapo and their contact with foreign arabic and indian civilizations over the centuries,Swahili culture and language was born there....

Kulikua hakuna kitu kinaitwa Tanzania au Kenya..those are 1960's creations just jana tu

Swahili people and their culture ni born and made along the Swahili coast

wewe ni born mchagga,wewe sio Mswahili by birth wala hujui utamaduni asilia wa Mswahili...unazungumza Kiswahili sababu umekumbana nacho kama language tool

Hujui hasa Uswahili,hujui utamaduni asilia wa Mswahili,wewe sio ancestrally Mswahili...wewe ni Mchagga unaejitahidi kuji-Swahilicize uonekane wa maana kumbe huna lolote,Mswahili wa kuzungumza sio wa damu na utamaduni

Kuja hapa na kujifanya wewe ni Mswahili wa kila kitu ni vichekesho...Kiswahili ni mojawapo wa lugha 350 Tanzania

Haya Mswahili wa kuzungumza,na unachozungumza sio lafudhi sahihi,lafudhi sahihi ni ya matamshi ya Kiswahili cha Kimakunduchi Zanzibar sio hicho chako cha lafudhi ya Moshi au Dar es Salaam inayosema "tureteeni maendereo" and blah blah

Hold your horses nyie Waswahili bandia

Twende taratibu, je sehemu kubwa ya pwani iliyokuwa kiini cha kiswahili iko ndani ya Tanzania?
Mind you, Eastern Afrika pwani starts from Djibouti to all the way Sofala to Durban South Afrika.
 
Pwani ilianza milenia na milenia iliyopita

Wakati costerian inhabitants wanaanza kuishi hapo and their contact with foreign arabic and indian civilizations over the centuries,Swahili culture and language was born there....

Kulikua hakuna kitu kinaitwa Tanzania au Kenya..those are 1960's creations just jana tu

Swahili people and their culture ni born and made along the Swahili coast

wewe ni born mchagga,wewe sio Mswahili by birth wala hujui utamaduni asilia wa Mswahili...unazungumza Kiswahili sababu umekumbana nacho kama language tool

Hujui hasa Uswahili,hujui utamaduni asilia wa Mswahili,wewe sio ancestrally Mswahili...wewe ni Mchagga unaejitahidi kuji-Swahilicize uonekane wa maana kumbe huna lolote,Mswahili wa kuzungumza sio wa damu na utamaduni

Kuja hapa na kujifanya wewe ni Mswahili wa kila kitu ni vichekesho...Kiswahili ni mojawapo wa lugha 350 Tanzania

Haya Mswahili wa kuzungumza,na unachozungumza sio lafudhi sahihi,lafudhi sahihi ni ya matamshi ya Kiswahili cha Kimakunduchi Zanzibar sio hicho chako cha lafudhi ya Moshi au Dar es Salaam inayosema "tureteeni maendereo" and blah blah

Hold your horses nyie Waswahili bandia
Mkuu mimi sioni hata unachobishania ni nini nadhani tu umeamua kuweka ligi kama kawaida yako inapotajwa Tanzania hutakagi kuappreciate angalau hata kwa asilimia chache tu..unapotaja Kiswahili huwezi kuacha kuizungumzia Tanzania kama vile unapozungumzia English(Kiingereza) utaonekana mwehu sana ukiacha kuitaja England(United Kingdom of Great Britain and northern Ireland) japokuwa kiingereza hakijaanzia uingereza..Yes kiingereza hakijaanzia England na fun fact about this ni kwamba English Originated from West Germany and it was first shifted to England in 5th and 6th centuries lakini popote pale huwezi kuiongelea English bila kuitaja England kwa sababu wao ndio influencers wa hiyo lugha kama ilivyo kwa Tanzania na influencing yake katika kiswahili..Wakati nchi nyingine zilizokuwa waanzilishi wa kiswahili kama Congo,Kenya,Comoro na nyinginezo za mwambao wanakurupukia lugha za kigeni Mwalimu Nyerere alikiheshimisha kiswahili kwa kukifanya kuwa Lugha ya taifa miongoni mwa lugha za kigeni zilizokuwepo kama English na zile Indigenous languages kama Kisukuma na Kinyamwezi n.k..wakati wenzetu Kenya waliamua kuchukua Kiingereza,Congo wakakimbilia kifaransa na lugha za asili kama Lingala na Kikasai Kiswahili kikabaki kinaongelewa jimbo la kivu tena nayo ni kutokana na influence ya Tanzania hasa baada ya Tanzania kuamua kutumia kiswahili,ule mwingiliano wa kibiashara baina ya watu wa jimbo la Kivu(hasa mjini Goma) na watu wa mipakani Tanzania kama kigoma ikasababisha Kiswahili kukua jimbo la Kivu...Trust me bila juhudi za Nyerere Kiswahili kingekuwa kimeshasahulika Africa hakuna ambaye angekipa kipaumbele maana hata hao Wakenya hawakipendi Kiswahili kiviiile ushahid tunao humu hata kwenye hii forums..Nakubaliana na wewe kwamba Kiswahili is not our mother's tongue lakini since hii ni Lingua Franca yetu hapa Tanzania hatuna haja ya kujivunia Kiswahili maana hata waingereza Kiingereza sio Mother's tongue yao lakini hiyo haiwanyimi haki ya kujiita waingereza
 
Mkuu TADPOLE
Aksante kwa andiko lako. Limenifundisha vitu vingi sana.
Binafsi nimepata conclusion ya kiini na ukuaji wa kiswahili.
Aksante sana.
 
Bado mnakufa kwa njaa, nchi imejaa madeni hadi watoto wanaozaliwa wanadaiwa, bado mnauwana Kama wanyama wa porini kwa sababu za ukabila wenu, nchi imesambsratika kwa misingi ya ukabila na hakuna usalama Wala Amani, hadi Leo bado mnategemea chakula cha misaada toka nchi za waarabu na china.

Tanzania ndio kidume ukanda huu. Soko lote tumelikamata, Tanzania ndio mzalishaji na muuzaji wa bidhaa zote muhimu kwenda nchi zote katika ukanda huu. ndio sababu Kenya mnalazimisha madhirikiano na Tanzania kwasababu bila Tanzania uchumi wenu unasambaratika.
Ushaona ubishani wa watoto barabara ya lami wamekaa wanashindana Lile gari langu, hilo languu, lile kule la baba yangu.

Ndicho mnachofanya na huyo mkenya sijui mganda hapa ..
 
Nyerere alikua na nia njema wakati anaanzisha ujamaa kwa Watanzania, ila labda hakueleweka au hata mwenyewe hakuuelewa vizuri huo mfumo kabla kuupapatikia, ukasababisha kama taifa watu wazembee na kukwamishana kwa kutegemeana na kuwa maskini mpaka leo hii hawajatoka....mataifa aliyoiga kutoka kwao wako vizuri kiuchumi, ila na wao waliutelekeza, hata China waliashapokea ubepari kitambo.

Halafu Nyerere hakubuni Kiswahili, kilikuwepo hata kabla hajazaliwa, tumshukuru Mwarabu na jamii zetu za Pwani maana hao ndio walihusika kwenye kukibuni.

Sema Nyerere alifanya vizuri kukifanya lugha rasmi ya Tanzania, ila nao Watanzania wakaganda bila kujiongeza wakabaki wamekwama kwenye lugha moja hiyo, wengine wakatelekeza hata lugha zao za asili, unakuta mbaba kabisa mtu mzima hajui hata salamu kwa lugha yake ya asili, huo ni utumwa.

Hii "Kwanzaa" ndio leo naiskia, naona ilianzishwa na Mmarekani mweusi kwao huko kama mbadala wa Krisimasi kwa Mwafrika.......
Umetoa mambo mazuri ambayo hata mimi nimeyaunga mkono mpaka kwenye hii sentesi; "wengine wakatelekeza hata lugha zao za asili, unakuta mbaba kabisa mtu mzima hajui hata salamu kwa lugha yake ya asili, huo ni utumwa." Hapa umeharibu kidogo.

Mambo ya lugha za unabila achana nazo na wala usiwe na mawazo hayo. Ukabila sio kitu kizuri kwa taifa ambalo bado halijaendelea kiuchumi.
 
Wote ni wajenzi kwanini tunyang'anyane fito? Kiswahili ni chetu sote, afrika ni yetu sote, tuachane na mipaka ya wakoloni. Sisi sote ni ndugu.
 
Back
Top Bottom