Nyerere na Tanzania vinaenziwa Marekani kwa namna ya kipekee


Kutokujua kwako kiini cha kiswahili, hakupotezi maana na ukweli wa kuwa, huwezi kuongelea chimbuko na ukuzi wa kiswahili bila kuitaja Tanzania na mwal. Nyerere.
Ukiandika historia ya hivyo ndg yangu, inakuwa haina ukweli wala kukamilika.
Ni sawa kuandika historia ya chimbuko na kukua kwa reggae music bila kutaja the rastafarianism, wailers, Bob Marley, Jamaica, Ethiopia (Afrika). Hiyo historia itakuwa haijatimia.
 
Ujamaa naelewa ni socialism kwa kiingereza. Ila Ujima ni nini kwa kiingereza?
Ujima ni neno lilioanzishwa na Nyerere, wazungu hawana hilo neno, ila elewa kwamba Ujima ni mfumo wa kimaisha wa zamani ambapo familia zilikua zikiishi ktk vikundi vidogo vidogo na wanazalisha chakula kwa ajili ya kupata chakula cha familia, Ujima is a primitive means of communal life.
 
Sawa nimeelewa sasa.
 

Story za kibera ndiyo unakuja nazo hapa, ukidhania wote ni wajinga.

Hiyo level ya service based economy (tertiary level of production) hamjaifikia bado. Afrika nzima hamna nchi ambayo iko katika tertiary level of economy. Wengi wako kwenye primary level of economy or production, huku wachache kama RSA ndiyo wako kwenye secondary level of economy.

Unavyosema service based economy, you talk about a very sophisticated economy. Most of matured economy ziko kwenye hii level. Ndiyo ambao wana very strong base of capital markets and banking systems which mobilise and rise money to finance projects anywhere in this world. Hata baadhi ya nchi kutoka kwenye emerging markets zinaenda kupata fedha kwenye debt markets za huko. Hata Kenya inaenda mara nyingi kukopa kwenye debt market ya huko vide EuroBond.

Hivyo Kenya bado iko kwenye primary level of economy, wanalima maua, maparachichi, chai na kuuza nje.

For more insight nenda bongo ukasome a very useful program inaitwa economic diplomacy.
 
Unajua maana ya service based economy?
Service economy ni uchumi unaofuata baada ya manufacturing economy kukomaa kwenye nyanja zote za uzalishaji kwenye Taifa, ninyi hata toothpick manufacturing technology ni kitendawili halafu mnajiita service economy? 😂😂😂😂🙌🙌🙌

 

Aksante sana mkuu. Nadhani ule upuuzi wa mtu anatokea kibera eti naye anajiona yuko kwenye tertiary level of economy utaisha kuanzia sasa.
 

Labda twende taratibu,
Pwani ni nchi gani?
 
Hujajibu hoja kwa nini mnaishi kwenye mabanda ya nguruwe? Mwenye uchumi mzuri anaishi kwenye mabanda Kama nguruwe?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
nani amekwambia Kiswahili kilianza juzi 60's wakati kuna kitu kinaitwa "nchi"?

hivi mkuu ulisoma topiki ya "Historia ya Kiswahili" ukiwa Kitado cha Kwanza au uliruka madarasa?

Kwa hiyo pwani ilianza 60's?
 

Twende taratibu, je sehemu kubwa ya pwani iliyokuwa kiini cha kiswahili iko ndani ya Tanzania?
Mind you, Eastern Afrika pwani starts from Djibouti to all the way Sofala to Durban South Afrika.
 
Mkuu mimi sioni hata unachobishania ni nini nadhani tu umeamua kuweka ligi kama kawaida yako inapotajwa Tanzania hutakagi kuappreciate angalau hata kwa asilimia chache tu..unapotaja Kiswahili huwezi kuacha kuizungumzia Tanzania kama vile unapozungumzia English(Kiingereza) utaonekana mwehu sana ukiacha kuitaja England(United Kingdom of Great Britain and northern Ireland) japokuwa kiingereza hakijaanzia uingereza..Yes kiingereza hakijaanzia England na fun fact about this ni kwamba English Originated from West Germany and it was first shifted to England in 5th and 6th centuries lakini popote pale huwezi kuiongelea English bila kuitaja England kwa sababu wao ndio influencers wa hiyo lugha kama ilivyo kwa Tanzania na influencing yake katika kiswahili..Wakati nchi nyingine zilizokuwa waanzilishi wa kiswahili kama Congo,Kenya,Comoro na nyinginezo za mwambao wanakurupukia lugha za kigeni Mwalimu Nyerere alikiheshimisha kiswahili kwa kukifanya kuwa Lugha ya taifa miongoni mwa lugha za kigeni zilizokuwepo kama English na zile Indigenous languages kama Kisukuma na Kinyamwezi n.k..wakati wenzetu Kenya waliamua kuchukua Kiingereza,Congo wakakimbilia kifaransa na lugha za asili kama Lingala na Kikasai Kiswahili kikabaki kinaongelewa jimbo la kivu tena nayo ni kutokana na influence ya Tanzania hasa baada ya Tanzania kuamua kutumia kiswahili,ule mwingiliano wa kibiashara baina ya watu wa jimbo la Kivu(hasa mjini Goma) na watu wa mipakani Tanzania kama kigoma ikasababisha Kiswahili kukua jimbo la Kivu...Trust me bila juhudi za Nyerere Kiswahili kingekuwa kimeshasahulika Africa hakuna ambaye angekipa kipaumbele maana hata hao Wakenya hawakipendi Kiswahili kiviiile ushahid tunao humu hata kwenye hii forums..Nakubaliana na wewe kwamba Kiswahili is not our mother's tongue lakini since hii ni Lingua Franca yetu hapa Tanzania hatuna haja ya kujivunia Kiswahili maana hata waingereza Kiingereza sio Mother's tongue yao lakini hiyo haiwanyimi haki ya kujiita waingereza
 

Mkuu TADPOLE
Aksante kwa andiko lako. Limenifundisha vitu vingi sana.
Binafsi nimepata conclusion ya kiini na ukuaji wa kiswahili.
Aksante sana.
 
Ushaona ubishani wa watoto barabara ya lami wamekaa wanashindana Lile gari langu, hilo languu, lile kule la baba yangu.

Ndicho mnachofanya na huyo mkenya sijui mganda hapa ..
 
Umetoa mambo mazuri ambayo hata mimi nimeyaunga mkono mpaka kwenye hii sentesi; "wengine wakatelekeza hata lugha zao za asili, unakuta mbaba kabisa mtu mzima hajui hata salamu kwa lugha yake ya asili, huo ni utumwa." Hapa umeharibu kidogo.

Mambo ya lugha za unabila achana nazo na wala usiwe na mawazo hayo. Ukabila sio kitu kizuri kwa taifa ambalo bado halijaendelea kiuchumi.
 
Wote ni wajenzi kwanini tunyang'anyane fito? Kiswahili ni chetu sote, afrika ni yetu sote, tuachane na mipaka ya wakoloni. Sisi sote ni ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…