Kinachoendelea Maandamano Nchini Kenya, Machi 20, 2023
Asali gani ya kumlambisha Odinga?
Odinga hana njaa. Odinga na wajaluo wenzake wanataka urais, pesa wanazo tena nyingi sana.
Kama pesa wanazo wanalalamika kitu gani kuwa maisha ni magumu si wadai tu Huo uraisi?
 
Cha muhimu wasililizwe, maana Mh. Ruto alisema amawaruhusu kuandamana kila siku yeye atawapa ulinzi hivyo asijifiche awasikilize na kutekeleza wanachotaka kilichopo ndani ya uwezo wake.
 
Cha muhimu wasililizwe, maana Mh. Ruto alisema amawaruhusu kuandamana kila siku yeye atawapa ulinzi hivyo asijifiche awasikilize na kutekeleza wanachotaka kilichopo ndani ya uwezo wake.
watu wana mawe hao- hao wanataka kusikilizwa kweli?
 
Wao waandamane ila wasiharibu Mali za Raia kama wanamaanisha Maandamano ya Amani.

Unaiita ya Amani alafu Unachoma moto maduka ya watu??.
 
Unaifahamu nguvu ya Raila Odinga kweli? William Ruto ndiyo ana uwezo wa kumuua? Kama alishindwa Daniel Arap Moi, basi futa kabisa kichwani mwako jambo hilo kutokea.
Kukariri si vizuri juzi Tanzania hapa watu cha moto walikiona.
 
watu wana mawe hao- hao wanataka kusikilizwa kweli?
Kwani waasi waliokuwa wanateka Meli na kudai fidia kwanini walikua wanasikilizwa na walikuwa na silahaa? Au ujapitia somo la diplomasia? Mengine hayahitaji ujuaji.
 
Kwani waasi waliokuwa wanateka Meli na kudai fidia kwanini walikua wanasikilizwa na walikuwa na silahaa? Au ujapitia somo la diplomasia? Mengine hayahitaji ujuaji.
walisikilizwa wapi- waulize kilichowapata wasomali na utekaji wao wa meli- wamekufa kama kuku
 
Kwani waasi waliokuwa wanateka Meli na kudai fidia kwanini walikua wanasikilizwa na walikuwa na silahaa? Au ujapitia somo la diplomasia? Mengine hayahitaji ujuaji.
 
Kiukweli kwa siasa za Upinzani Tanzania bado sana na labda ndio sababu Rais Samia alisema haoni Dhamira kwenye nyuso zao

Leo nilikuwa namwangalia Raila naina dhahiri dhamira ya kile.anachokipigania hata kama atafeli

ACT Wazalendo jifunzeni siasa Kenya

Mlale unono!
 
Lowasa nyuma yake palikua na wafanyabiashara wa kihindi,kiajemi,kiarabu,tangu 1995,walitaka kuigeuza nchi yetu shamba la bibi,ndiyo maana lowasa akiutaka urais walau kwa miaka miwili,maana wafanyabiashara wakiitamani bandari
Haya yanayoendelea yana tofauti gani na yale ya Lowasa?
 
Frqd8uwWAAA7U22

BAD LOSER
 
Back
Top Bottom