Hakuna maandamano ya amani ya watu kushika silaha za jadi huku wakitaka kuelekea Ikulu. Vyombo vya usalama Kenya viendelee mbele na kazi. 🙏🙏🙏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sufuria haiogopi motoKiukweli kwa siasa za Upinzani Tanzania bado sana na labda ndio sababu Rais Samia alisema haoni Dhamira kwenye nyuso zao
Leo nilikuwa namwangalia Raila naina dhahiri dhamira ya kile.anachokipigania hata kama atafeli
Itakuwa umbwa koko hiyo na isiyofuatilia au kumfahamu huyu Kenyan Politics LegendKuna umbwa moja imesema odinga kajificha.
Soma juu huko utakutana na neno yake mukuu.Itakuwa umbwa koko hiyo na isiyofuatilia au kumfahamu huyu Kenyan Politics Legend
Raia wanafanya makosa ili wakosene na watu wa usalamaRaia wanalazimisha vyombo kutumia Nguvu za ziada
Kikiwashwa hapo ni mayowe tu
😂😂 Wakenya ni WATU na Nusu!Kuna afande mmoja alikula gwala moja ya dunia kutoka kwa raia wa kunya hadi suruali akaiokotea magotini....😜😜😜
Hizi akili hivi huwa mnawaza nini mpaka mnaandika hiviChaguo la mabeberu lilikuwa ni Odinga sema Mungu aliingilia kati, mabeberu wanataka kupindua meza
Unatamani lakini huwezi kuingia barabarani. Magufuri alipokuwa anawatwanga risasi wapinzani ninyi mlijificha ndaniKiukweli kwa siasa za Upinzani Tanzania bado sana na labda ndio sababu Rais Samia alisema haoni Dhamira kwenye nyuso zao
Leo nilikuwa namwangalia Raila naina dhahiri dhamira ya kile.anachokipigania hata kama atafeli
ACT Wazalendo jifunzeni siasa Kenya
Mlale unono!
Moto is underway to you! It is a matter of time!Kiukweli kwa siasa za Upinzani Tanzania bado sana na labda ndio sababu Rais Samia alisema haoni Dhamira kwenye nyuso zao
Leo nilikuwa namwangalia Raila naina dhahiri dhamira ya kile.anachokipigania hata kama atafeli
ACT Wazalendo jifunzeni siasa Kenya
Mlale unono!
😂😂😂 Labda warudi CUF ngangari!Moto is underway to you! It is a matter of time!
Barabarani nikafanye nini?!!Unatamani lakini huwezi kuingia barabarani. Magufuri alipokuwa anawatwanga risasi wapinzani ninyi mlijificha ndani
SAsa ujui mambo ya nyuma ya paziaHizi akili hivi huwa mnawaza nini mpaka mnaandika hivi
Kinana yuko jikoni ujueKiukweli kwa siasa za Upinzani Tanzania bado sana na labda ndio sababu Rais Samia alisema haoni Dhamira kwenye nyuso zao
Leo nilikuwa namwangalia Raila naina dhahiri dhamira ya kile.anachokipigania hata kama atafeli
ACT Wazalendo jifunzeni siasa Kenya
Mlale unono!
kama kura zilirudiwa,sijui kuna kipi tena kingine!Wakenya wanataka nn?
Wanataka Raia awe Rais ?
Au wanataka nn?.
Hata uwiano wa kura ni tofauti Ruto 504 % na Raila.49%Lkn tuende mbele na kurudi nyuma. Ni kwamba kenya democracy yao iko juu sana ya Tz labda nyakati hizi za Raisi Samia. Lkn ingekuwa Tanzania ya awamu ya tano kwa maandamano hayo ya kenya yawe kwa Magufuri, watu wengi wangepoteza maisha leo. Maana yule mtu alikuwa Mungu mtu.
Kwani Rais huwa sio raia?[emoji848]Wakenya wanataka nn?
Wanataka Raia awe Rais ?
Au wanataka nn?.