Raia wanalazimisha vyombo kutumia Nguvu za ziada
Kikiwashwa hapo ni mayowe tu
 
Unatamani lakini huwezi kuingia barabarani. Magufuri alipokuwa anawatwanga risasi wapinzani ninyi mlijificha ndani
 
Moto is underway to you! It is a matter of time!
 
Kinana yuko jikoni ujue
 
Lkn tuende mbele na kurudi nyuma. Ni kwamba kenya democracy yao iko juu sana ya Tz labda nyakati hizi za Raisi Samia. Lkn ingekuwa Tanzania ya awamu ya tano kwa maandamano hayo ya kenya yawe kwa Magufuri, watu wengi wangepoteza maisha leo. Maana yule mtu alikuwa Mungu mtu.
 
Hata uwiano wa kura ni tofauti Ruto 504 % na Raila.49%

Magufuli 84% na Lisu 13%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…