Kama pesa wanazo wanalalamika kitu gani kuwa maisha ni magumu si wadai tu Huo uraisi?Asali gani ya kumlambisha Odinga?
Odinga hana njaa. Odinga na wajaluo wenzake wanataka urais, pesa wanazo tena nyingi sana.
watu wana mawe hao- hao wanataka kusikilizwa kweli?Cha muhimu wasililizwe, maana Mh. Ruto alisema amawaruhusu kuandamana kila siku yeye atawapa ulinzi hivyo asijifiche awasikilize na kutekeleza wanachotaka kilichopo ndani ya uwezo wake.
Hao ni kuvunja miguuu kama JPM alivyowaambia CDM...jaribuni ahiiiiiiiwatu wana mawe hao- hao wanataka kusikilizwa kweli?
Zumaridi tunaambiwa ni mfalme 😝😝😝Huku bongo mmebaki tu kumshabikia Zumaridi shenziii kabisa..Kenya Kuna wanaume haswaaa..
Kukariri si vizuri juzi Tanzania hapa watu cha moto walikiona.Unaifahamu nguvu ya Raila Odinga kweli? William Ruto ndiyo ana uwezo wa kumuua? Kama alishindwa Daniel Arap Moi, basi futa kabisa kichwani mwako jambo hilo kutokea.
Kwani waasi waliokuwa wanateka Meli na kudai fidia kwanini walikua wanasikilizwa na walikuwa na silahaa? Au ujapitia somo la diplomasia? Mengine hayahitaji ujuaji.watu wana mawe hao- hao wanataka kusikilizwa kweli?
Siasa za Kenya ni tofauti kabisa na siasa za Tanzania. Kwa Kenya, akiongea Raila! Wameongea Wajaluo.Kukariri si vizuri juzi Tanzania hapa watu cha moto walikiona.
Wacha tushuhudie.Siasa za Kenya ni tofauti kabisa na siasa za Tanzania. Kwa Kenya, akiongea Raila! Wameongea Wajaluo.
walisikilizwa wapi- waulize kilichowapata wasomali na utekaji wao wa meli- wamekufa kama kukuKwani waasi waliokuwa wanateka Meli na kudai fidia kwanini walikua wanasikilizwa na walikuwa na silahaa? Au ujapitia somo la diplomasia? Mengine hayahitaji ujuaji.
Kwani waasi waliokuwa wanateka Meli na kudai fidia kwanini walikua wanasikilizwa na walikuwa na silahaa? Au ujapitia somo la diplomasia? Mengine hayahitaji ujuaji.
Haya yanayoendelea yana tofauti gani na yale ya Lowasa?Lowasa nyuma yake palikua na wafanyabiashara wa kihindi,kiajemi,kiarabu,tangu 1995,walitaka kuigeuza nchi yetu shamba la bibi,ndiyo maana lowasa akiutaka urais walau kwa miaka miwili,maana wafanyabiashara wakiitamani bandari
Aiseee Askari wa Kenya wapo so friendly yaani askari wa Tanzania aonge na wewe na kukushika kichwa hivi?. Hapo lazima sura iwe kama kokoto 🤣🤣 ukifika central kichapo kinazidi