russia

  1. Allen Kilewella

    Russia yasema Makombora yaliyopelekwa na Uingereza Ukraine ni uchokozi na itachochea vita kusambaaa.

    Waziri wa Ulinzi wa Urusi kasema kitendo cha Uingereza kupeleka makombora yake yenye uwezo wa kupiga umbali wa kilomita 250, ni kitendo kikubwa cha kichokozi na kinaweza kuchochea vita hiyo kusambaa. Urusi imetishia kutumia kila njia kuzima jaribio lolote la kutumiwa makombora hayo yakiwa...
  2. Allen Kilewella

    Uchambuzi wa akili na mitazamo ya wanaoiunga Mkono Ukraine au Russia,

    Kufanya uchambuzi (Profilling) wa aina ya watu wanaoshiriki kwenye upande mmoja au mwingine wa vita ni jambo la msingi sana kwenye kujua aina ya vita na hatima ya vita. Kwenye medani ya vita kuna msemo usemao "ama mpigane vita ndipo mjadiliane au mjadiliane ili msipigane". Russia na Ukraine...
  3. F

    Kinachoendelea kati ya Russia na Ukraine ndo kitazaa World War III (WW3)

    Tangu Putin atangaze Special Military operational yake Feb 2022 dhidi ya Ukraine, wengi waliamini kuwa huo ndo ulikuwa mwanzo wa vita kuu ya tatu (World War III) hasa Marekani na NATO walipoweka wazi kuwa wataisaidia silaha Ukraine ili iweze kujilinda dhidi ya mvamizi (Russia). Marekani...
  4. HERY HERNHO

    Urusi yapendekeza makao makuu ya UN yaondolewe Marekani na kuhamishiwa nchi nyingine

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema pendekezo la kuhamisha makao makuu ya Umoja wa Mataifa kutoka New York hadi nchi nyingine ni wazo zuri na linafaa kuzingatiwa. Sergei Lavrov, ambaye yuko mjini New York, amewaambia waandishi wa habari kando ya mkutano usio rasmi wa Baraza la Usalama la...
  5. Titicomb

    Russia kupeleka mbolea bure nchini Kenya

    Wakati MK254 akimtukana na kumshambulia Rais Putin kila siku, yeye aamua kumjibu kwa vitendo kwa kupeleka mbolea bila malipo nchini Kenya na gharama za usafiri italipia Russia yenyewe ili kuwakomboa na njaa wakenya wanaoteseka na njaa kali. Nasema hivi UUNGWANA NI VITENDO. Russia to deliver...
  6. Zacht

    Nyaraka za siri za US zimevuja : Russia jammed US Smart bombs

    Nyaraka hizo za siri za pentagon zilizovuja zimeonyesha hali ya vita Ukraine hasa kwa upande wa maendeleo ya silaha za marekani zilizokuwa uwanja wa vita. Nyaraka hizo zimeeleza kuwa Russia ime-jammed mabom yanayo ongozwa na GPS (Smart bombs) pamoja na guided rockets zinazotumia mfumo wa GPS ...
  7. Zacht

    Kamikaze drone ya Russia imeharibu mzinga hatari wa marekani

    Kamikaze drone ya mrusi lacent kamikaze drone imeendelea kuwa pasua kichwa kwa majeshi ya Ukraine kwa ufanisi wake mkubwa. Kamikaze hio Imeharibu mzinga huo unafahamika kama M109 self-propelled howitzer uliokuwa na masaada mkubwa kabisa katika uwanja wa vita kwa upande wa Ukraine, uliotolewa...
  8. I

    Sarafu ya Russia yashuka thamani dhidi ya dola ya Marekani

    Kushuka kwa bei ya mafuta na hofu kuhusu safari za mtaji kulisaidia kusukuma ruble ya Urusi hadi kiwango chake dhaifu dhidi ya dola ya Marekani katika mwaka mmoja siku ya Jumatatu, hatua ya hivi punde zaidi katika kile ambacho kimekuwa mabadiliko makubwa ya bahati ya sarafu hiyo. Ruble...
  9. I

    Putin akiri vikwazo kuanza kuiumiza Russia

    Rais Vladmir Putin amekiri kwamba vikwazo vya nchi za Magharibi vilivyolenga kuinyima njaa Kremlin ya fedha kwa ajili ya uvamizi wake Ukraine vinaweza kuleta pigo kwa uchumi wa Urusi. "Vizuizi visivyo halali vilivyowekwa kwa uchumi wa Urusi vinaweza kuwa na athari mbaya katika muda wa kati,"...
  10. njia_ya_msalaba

    Urusi imeonesha Afrika ndiyo msingi wa dunia kwa sasa

    RUSSIA IMEONESHA AFRICA NDIYO MSINGI WA DUNIA KWA SASA Mafahali wawili wanaposhindana wanyonge hupita salama ndugu zangu utaona Rais Putin kwa sasa ameikumbatia sana Africa kama moja ya msingi mkuu wa uchumi wa Russia hii ni kudhihirisha kuwa Africa ni dude kubwa lililolala lililotumi na...
  11. HERY HERNHO

    ICC yaingiwa na wasiwasi baada ya Urusi kusema itaipiga na makombora ya Hypersonic

    ICC ina wasiwasi na 'vitisho' vya Urusi juu ya kibali cha Putin Wasi wasi huo unakuja baada ya Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev kutishia kuipiga mahakama ya uhalifu wa kivita kwa makombora ya hypersonic. ========= The International Criminal Court (ICC) has expressed concern over...
  12. L

    Vikwazo zaidi vilivyowekwa na nchi za Magharibi dhidi ya Russia vyaondoa uwezekano wa suluhisho la amani la mgogoro

    Wataalam wa China wamesema, hatua za karibuni za nchi za Magharibi za kuendelea kuitenga na kuongezea vikwazo Russia zinaondoa uwezekano wa mazungumzo ya amani, na badala yake, zitasababisha umwagaji damu zaidi katika mgogoro kati ya Russia na Ukraine. Wataalam hao wametoa kauli hiyo baada ya...
  13. mitale na midimu

    Mafunzo ya maisha niliyojifunza katika vita vya Ukraine na Russia

    1: Uwe makini kuhakiki kila move ya maisha yako. Kuna watu wako tayari kukutumia hata kama ukifa ila wao mambo yao yaende. Ukraine anatumiwa na US/NATO. 2: Jifunze kuchukua hatua mapema kwa gharama ndogo kuliko kusubiri umechelewa na kupata hasara kubwa isiyolipika. Kumbuka 80/20 Rule. Russia...
  14. B

    Lavrov wa Urusi awavunja mbavu wajumbe G20 India

    Kwa kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake. Katikati ya uhasama usiothamini tena maisha ya watu wengine, Urusi iliingizana G20 mkutanoni na kichekesho cha mwaka: Kumbe Urusi inapambana kuisimamisha vita iliyoanzishwa na Ukraine dhidi yake. 🤣🤣 Kwamba huo haswa ndiyo uelewa wa akina...
  15. Mathanzua

    United Nations votes to demand Russia exit Ukraine Immediately

    23 FEBRUARY 2023 The United Nations, meeting in New York, has voted to DEMAND Russia withdraw from Ukraine "immediately and Unconditionally." The vote was 141 in favor, 7 opposed, with 32 abstaining. The same UN that indefinitely delayed the meeting about the Nord Stream pipeline being...
  16. L

    Wakati China inapanga kutoa mpango wa amani kuhusu mgogoro kati ya Russia na Ukraine, Marekani na wenzake wanapanga kuchochea

    Kwenye mkutano wa usalama ulipofanyika hivi karibuni mjini Munich, Ujerumani, suala la mgogoro kati ya Russia na Ukraine limeonekana kugubika mkutano huo, na kuufanya uonekane kuwa ni mkutano wenye ajenda ndogo tu inayohusu mgogoro huo, na sio kuangalia suala la usalama kwa ujumla wake kwa...
  17. ASIWAJU

    China kuipatia silaha Russia dhidi ya Ukraine

    Taarifa inasema kuwa China ina mpango wa kumpatia msaada wa kisilaha Russia dhidi ya Ukraine. Taarifa: - China is considering giving Russia weapons and ammunition for the Ukraine war, US secretary of state Anthony Blinken has said. Mr Blinken told CBS News that Chinese companies were already...
  18. T

    Kikosi hatari cha majasusi na makomando watakaoiangusha Serikali ya Russia

    Dunia inaenda kwa kasi sana na leo nimeona nije na huu Uzi ambao huenda ukawa kama ktk nadharia ya kusadikika ila ndicho kitakachotokea. Mataifa ya Dunia ya kwanza wanaona Kuna kila dalili Mrusi asipodhibitiwa kitakachofuwata kitakuwa ni kibaya sana. Kwa kuona hili mataifa yenye nguvu duniani...
  19. JanguKamaJangu

    Urusi: Hatarini kufungwa miaka 10 jela kwa kuposti kuhusu vita Instagram

    Olesya Krivtsova (20) yupo kwenye uangalizi maalum akituhumiwa kuhusika kwa ugaidi baada ya kuweka maudhui katika ukurasa wake wa Instagram akiikosoa Serikali ya Urusi kwenye vita dhidi ya Ukraine. Amefungwa kifaa mwilini ambacho kinaonesha mwelekeo wake popote alipo akifuatiliwa na Polisi...
  20. 5523

    Inakuwaje kamanda mkuu wa kijeshi Urusi anakuwa chini ya Wagner Group, kikundi kidogo cha kukodi?

    Wakuu habari za muda, Nimeshangazwa sana kuona sasa kamanda mkuu wa majeshi ya Urusi sasa anapokea amri kutoka kwa kamanda wa kikundi kidogo cha Wagner Group amacho sio jeshi rasmi ni kikundi maalum cha kukodi baada ya makamanda wengi wa Urusi kufeli na kuuliwa kwenye makabiliano ya vita kule...
Back
Top Bottom