Kuelekea mchezo dhidi ya Al Hilal, timu ya Yanga wametangaza bei ya viingilio. Viingilio hivyo vimeainishwa kama ifuatavyo
Kiingilio cha juu zaidi ni shilingi elfu 15 kwa VIP A
10000/= kwa VIP B& C
3000/= Kwa mzunguko ukikata tickets mapema.
Kipindi hicho 2018 Yanga na Al hilal walifanikiwa kuingia group stage 2018 kombe la shirikisho ukilinganisha takwimu zao utagundua kuwa Al hilal ni timu ya kawaida sana Si kama wanavyoipaisha wachambuzi wa kibongo
NAMNA YANGA INAONGELEWA HUKO SUDAN🔥🔥🔥
Wafahamu kiufupi YOUNG AFRICANS @yangasc wapinzani wa AI Hilal Round ya kwanza CAFCL
Hawa ndio wafalme wa soka la Tanzania, ndiyo Klabu iliyobeba mataji mengi zaidi nchini humo (28) wakifatiwa na wapinzani wao ambao ni watani wao wa Jadi klabu ya Simba...
Huu ni ukweli mtupu Yanga watawatowa Al Hilal na inawezekana kabisa wakawatowa kama jinsi al hilal walivyo watoa st - George kwa faida ya goli la ugenini. Mechi ya al hilal na Yanga apa Dar itakuwa ngumu saana
Na kuna uwezekano kabisa wakaenda 0-0 na Yanga akawatawa kule kwao kwa 1-1
Sababu ni...
Huu utaratibu naona unazidi kukita mizizi hapa nchini
Naona mpira sasa unachezwa mtandaoni hadi uwanjani
Tuliona kwa Zalan,je Wananchi watafaulu na kwa hawa wazee wa Sudani!?
Muda ni mwalimu mzuri
Baaada ya Yanga kuichakaza team ngumu ya Sudan Kusini kwa bao 9-0 (yes ni ngumu ni mabingwa na siyo dhaifu kama unabisha na wewe ni dhaifu maana mayelle alikupiga bao 2) hali hapo jijini Khartoum siyo nzuri kwa vigogo wa team.
Jana baada ya ushindi wa magumashi dhidi ya team dhaifu ya waimba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.