Kama Waarabu wanaweza pata huu ujumbe basi uwafikie, si kwa ubaya lakini.
Sijui nani aliwaambia timu ya mpira lazima iitwe kati ya Al Hilal, Al Ahly au Al Nasr. Mmeamua kabisa kutuchanganya wapenzi wa soka. Kuona hivyo sasa mnaongeza tu jina la mji ili kujitofautisha.
Kwa nini msituige sisi...
Tumesikia mipango ipo mbioni kuijumuisha timu ya Al Hilal ya Sudan katika ratiba ya NBC kuanzia msimu ujao. Kuna wakati niliwahi kuwaza hili jambo nilipoona wakati ule wanatanga tanga, nikataka kushauri hili kufanyika na nimefurahi kujua kumbe pale TFF kuna watu wana uwezo wa kufikiria mambo...
Staa wa Timu ya Taifa ya Brazil na Club ya PSG Neymar amekamilisha usajili wa kujiunga na Al Hilal ya Saudi Arabia ambako atakuwa akilipwa mshahara wa pound milioni 129.4 kwa mwaka ambazo ni zaidi ya Tsh Bilioni 411.
Uhuru wa matumizi ya Fedha unaharibu ladha ya soka.
---
Neymar signs for...
Kwa mujibu wa AFP, Klabu ya Paris Saint-German imeruhusu Al Hilal ifanye mazungumzo na mshambuliaji Kylian Mbappe baada ya kuweka mezani dau hilo ikiwa ni siku chache zimepita tangu itume barua ya kuhitaji saini ya nyota huyo.
Mbappe aliyebakiza mwaka mmoja wa kuendelea kuitumikia PSG, amedaiwa...
Na msivyo na Akili hata na Makabi Lilepo ambaye kwa 99% mmeshamalizana nae kwa mujibu wa Taarifa yao ( Klabu hiyo ya Sudan ) ni kwamba hata Yeye nae yuko katika Kushtakiwa pamoja na Fabrice Ngoma aliyewauma villivyo baada ya Kupigwa Chenga ya Kimafia Jana na Kutua rasmi Simba SC.
Haya...
Ama kweli mkubwa ni mkubwa tu. Ibenge kalowa 3 bila majibu mbele ya Wamisri. Inauma na inaskitisha ila ndiyo mpira ulivyo muda mwingine una matokeo ya kisulisuli.
Tupo kijiweni kwetu tuendelee kupeana update za ligi ya Mabingwa afrika,,kwa mechi za Leo jumamos na Jumapil alfajiri,tujue Nani ataongoza makundi na vilevile kujua Nani atasonga mbele Kati ya Al ahal🇪🇬 vs Al hilal🇸🇩
Karibuni
Wanachokifanya Mamelodi leo hata wanavyocheza ni wazi kabisa wanataka kuipa Matokea mazuri Al Hilal.
Goli la kwanza la Mamelodi ni la bahati mbaya tu lakini wakaamua kuwazawadia wasuda goli la kusawazisha kiboya kabisa.
Ubora wa kipa wa Mamelodi na beki zake si wa kufanya Uzembe huu. Inaonekana...
Siku za Hivi karibuni mpira umekua Ushindi sio kusema umecheza Vizuri.
Na Mwasisi wa Mbinu hii ni Jose Mourinho alionekanaga mhuni mwanzoni ila baadae ameanza kueleweka yeye atakuacha ucheze Mpira ila hesabu zake mara zote zipo kwenye kikombe au point 3 na huo ndio mpira wa sasa.
Mwaka Jana...
Muda wa mechi ni saa 16:00 na tayari vikosi vyote vimefika uwanjani
Upande wa Simba wale wachezaji waliokosekana mechi za nyuma kwasababu ya kukosa fitness iliyosababishwa na kuuguza majeraha ya muda mrefu, hatimaye leo wameanza.
Kasoro General Phiri ndio sijamuona hapo
Simba kutaka kucheza mechi za kirafiki na al hilal ni kujimaliza, kutafuta injury bila sababu.
ZIMBWE NA KAPOMBE HAWAPATI ROTATION HAPO HAPO TUNA MECHI NA SINGIDA BIG STARS KABLA YA KUSAFIRI KWENDA GUINEA KUCHEZA NA HOROYA FC.
AL HILAL walikuwa mapumzikoni hawana mechi SImba kila wiki wana...
Wale wababe wa uto wapo mjini kujiandaa na Caf champions league group stage ,,wakitarajia kucheza mechi za kirafiki na Azam, Namungo na Simba huku Simba akiwa ndio mwenyeji wao. Huko upande wa pili kwani ninyi hamna mashindano? Mbona hamjiandai?
Source :Simba App
Mkataba wa Leo Messi wa PSG unamalizika 2023 na huko Saudi Arabia, wanamtaka akajaribu bahati yake huko mara moja. Hata kabla ya mkataba wake kuisha.
Kama Al Nassr alivyofanya na Cristiano Ronaldo, Al Hilal sasa wanataka kumpa Messi pesa nyingi. Kulingana na 'Mundo Deportivo', klabu hiyo itampa...
Kulikoni kuelekea Mechi ya Leo ukimya Umetawala sana kiasi kwamba hata zile Kauli Mbiu zetu za Uwongo na Kweli za Kutiana Hamasa za Kipuuzi hatujazikia wakati Leo tuna Mechi ngumu dhidi ya Club Africaine ya nchini Tunisia?
Vipi tumeshachungulia kwa Babu au?
Unajua Al Hilal siyo kwamba walikuwa bora zaidi ya Yanga hapana, Yanga walikuwa bora zaidi ya Al Hilal ila walichoshida Al Hilal kwa Yanga ni nini?
Ni mbinu za kocha wao tu bila hivyo Al Hilal wangelilala nyumbani kwao pale pale. Yaani watu walikuwa wamejaa nyuma mpaka unakosa sehemu ya...
Mwaka 2019/20 Al Hilal waliingia hatua ya makundi wakati Simba iliondoshwa mapema na Ud Songo.
Mwaka 2020/21 wote Simba na Al Hilal waliingia hatua ya makundi.
Mwaka 2021/22 Al Hilal walitinga hatua ya makundi na Simba iliondoshwa mapema na Jwaneng Galaxy. Kumbe ndiyo maana Al Hilal...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.