Wengine hatujazoea kabisa unafiki, kujificha au hata tu kukaa na jambo moyoni.
Na kuna mpuuzi mmoja (nimemsahau jina) wiki hii alitutaka Watanzania (tena kwa kutufokea) kuwa watu wa Yanga SC na Simba SC tupendane na tushangiliane (tusapotiane) hasa tukiwa tunacheza Kimataifa.
Na...
Ingawa ilifanywa siri kutokana na hali mbaya ya kiuchumi waliyonayo wanuka jasho wa Tanzania, fununu mchomoko ni kwamba yule tajiri wa kiukweliukweli asiye na ubahili hata kidogo, yaani yeye kumwaga mapesa hafikirii mara mbili wala hachungulii daftari, KATENGA BILLION MOJA Al Hilal apasuke kwao...
Yamebakia kama masaa 24 kabla ya mtanange muhimu kwa Yanga na Al Hilal hapo kesho.
Niwatahadharishe kitu kuwa, kesho inaweza ikatokea bahati mbaya Yanga wakafungwa goli la mapema sana. Sasa niwaambie ndugu zangu hawa kuwa, hawatakiwi kukata tamaa mpira ni dakika 90.
Goli la mapema linaweza...
Baada ya kufanya uchambuzi wangu yakinifu na kiuhalisi hesabu zangu hazidanganyi. Nimepata matokeo ya Mechi ya Al Hilal dhidi Yanga itakayopigwa tarehe 16 Oktoba 2022 nimejiridhisha kuwa matokeo ya mechi hiyo yatakuwa ni ushindi kwa Al Hilal na watashinda goli mbili au zaidi (Over 2.00 Goals)...
Wakati Al Hilal ikichakaza 4-0 kwenye ligi ya Sudane, Yanga wao watacheza na Green Worriors kujiandaa na mechi ya Champions dhidi ya timu ngumu ya Al Hilal. Green worriors ni ya 3 kutoka mwisho kati ya timu 16 za Ligi Daraja la Kwanza
Katika soka, lolote linaweza kutokea na haitokuwa mara ya kwanza kwa timu isiyopewa nafasi au iliyoko ugenini kufanya maajabu na kuacha gumzo pamoja na kuandika historia.
Kwa msingi huo, Yanga wanaobezwa na mashabiki wa Makolo FC wakifanikiwa kuitoa Al Hilal, wenzetu hawa watakuja na hoja hizi...
Hii sasa ndiyo inaweza kuwapeleka makundi vinginevyo Jumapili hadi kufikia saa nne kamili usiku itakuwa ni kilio kikubwa kwa wana Jangwani. Watu watapigwa kama ngoma na Waarabu weusi.
Wewe ni Waziri mwenye chuki sana na uongozi wa TFF na una wivu wa kishamba na Simba SC kutokana na mafanikio yake, hasa kimataifa dhidi ya timu yako unayoishabikia mno ya Yanga SC.
Leo katika hafla ya kuwopongeza Tembo Warriors umetoa kauli kuwa TFF isiwe inabagua kutoa ushauri kwa vilabu vya...
Baada ya vuta nikuvute hatimaye Al Hilal wamekubali Azam TV warushe matangazo ya moja kwa moja ya mechi ya mkondo wa pili huko Sudan dhidi ya Yanga SC. Kongole kwa Azam Media
Rais wa Al Hilal amechafua hali ya hewa, hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya leo kutangaza ofa ya kuwagharamia mashabiki wa Simba walioishangili timu yao Jumamosi kwa Mkapa kuwalipia nauli na makazi bure ili waende kuishangilia tena Al Hilal.
Na haya ndiyo majibu ya mashabiki wengi wa Al...
Paka Saba (7) wamekufa kwa kitabu tu, halafu kuna mahala nimeona refa wa mchezo naye kashika filimbi na anaipa dole la furaha na kicheko Klabu ya Al Hilal.
Ewe Mungu saidia Al Hilal ishinde!
Leo Yanga inakwenda kuonesha kwa vitendo maana ya uwekezaji kwenye soka ni nini?
Baada ya Al hilal kupigwa kama ngoma mashabiki wa Simba watasikika wakisema hii Al hilal ni Zalan iliyochangamka tu. Sasa na wewe waulize wale waliopigwa mbili mbele na nyuma na Fiston Mayele kwenye ngao ya jamii...
Kila mtu katabiri anavyoweza, nilichoamua kufanya mimi ni kutumia hesabu za darasa la saba tuu kutafuta matokeo ya jumla. Kupitia humu humu Jamii Forums watu 12 walijaribu kutoa nyuzi au maoni kwenye nyuzi za wengine jinsi matokea yatavyokuwa.
Nikaamua kuchukua idadi ya magoli yote ya Yanga...
Haya ni maono, kwa watu wa michezo ya kubahatisha betting mnaweza kutumia huu mkeka. Siku ya Jumamosi Yanga atacheza na Al Hilal ya Sudan. Matokeo yatakuwa Yanga 0 - 1 Al Hilal.
Kwa upande wa Simba Sc matokeo hayatakuwa mbali sana na atakayopata Al Hilal, naye Simba atashinda 1 bila ugenini...
Leo mchana niliona tweet kwenye page ya Al Hilal kwamba maofisa wake WATATU wanakuja Dar es Salaam kuweka mazingira sawa, nilisahau ku i capture na usiku huu siioni, nafikiri ipo deleted.
Kilichonistua ni tweet yao mpya kwamba afisa wao (mmoja) kafika DSM na kapokelewa na Injinia Hersi. Katika...
Uwanja wa timu kubwa kiuwekezaji kuliko Al Hilal. Uwanja umesheheni miundombinu yote pamoja na viwanja vya nyasi asilia na kapeti,gym, netball mpaka kiwanja kidogo cha ndege ya kuchukua timu.
Uwanja wa Al Hilal ukiwa umejaa mbigili tupu
My Take
Huyu msemaji akili zake amemkabidhi nani pale GSM?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.