Kwanza nilidhani wewe ni mKenya, kumbe siyo. Ni mTanzania tu asiyejuwa siasa za leo za hawa wakubwa.Hoja yako ni kama jibu tayari unalo. Raisi wa Kenya, Dr william samoe Ruto Phd. Leading a fastest growing economy in east africa, Hub of multinational corps like Kpmg, delloite, EY, Kenya stockmarket inajitangaza, They practice real democracy with newl born constituition.
Mchangonwa kenya kwenye afdb ni mkubwa na wa kiheshimika. Anapeleka askari Haiti kwenda kulinda amani. Sio muigizaji na dalali wa kuuza rasilimali. Sijasema wa kwetu yuko hivyo angalizo.
A man with substance in his head, ukisikiliza speech za ruto utaelewa ana akili kubwa sana na kenya ukiwa kihiyo huwezi kuwa raisi. Hat uhuru ni product ya usa universiyy with honors sio gentleman gpa. Hajaunga unga elimu
Kenya ni 'puppet' state toka zamani. Kibaki kaipoza kidogo kwa kuangalia Mashariki, wakubwa wenye kinyago chao wakastuka, sasa wanakichonga upya.
Unampa ujiko mwingi sana huyo Ruto asio kuwa nao, ni kwa vile tu humjui, ndiyo maana unapapatika kama ulivyoonyesha hapo kwenye andiko lako.
Sikiliza: ukisha andika title ya Dr. mbele ya jina la mhusika; hakuna sababu tena ya kuweka hiyo Ph.D. mbele ya jina lake. Hili tu linaonyesha upungufu kwako, ndiyo maana umejilaza kabisa mbele ya Ruto atembee juu ya mgongo wako.