Ukiangalia jinsi Rais Ruto alivyopokelewa kwa heshima Marekani utashangaa

Hoja yako ni kama jibu tayari unalo. Raisi wa Kenya, Dr william samoe Ruto Phd. Leading a fastest growing economy in east africa, Hub of multinational corps like Kpmg, delloite, EY, Kenya stockmarket inajitangaza, They practice real democracy with newl born constituition.

Mchangonwa kenya kwenye afdb ni mkubwa na wa kiheshimika. Anapeleka askari Haiti kwenda kulinda amani. Sio muigizaji na dalali wa kuuza rasilimali. Sijasema wa kwetu yuko hivyo angalizo.

A man with substance in his head, ukisikiliza speech za ruto utaelewa ana akili kubwa sana na kenya ukiwa kihiyo huwezi kuwa raisi. Hat uhuru ni product ya usa universiyy with honors sio gentleman gpa. Hajaunga unga elimu
Kwanza nilidhani wewe ni mKenya, kumbe siyo. Ni mTanzania tu asiyejuwa siasa za leo za hawa wakubwa.
Kenya ni 'puppet' state toka zamani. Kibaki kaipoza kidogo kwa kuangalia Mashariki, wakubwa wenye kinyago chao wakastuka, sasa wanakichonga upya.
Unampa ujiko mwingi sana huyo Ruto asio kuwa nao, ni kwa vile tu humjui, ndiyo maana unapapatika kama ulivyoonyesha hapo kwenye andiko lako.
Sikiliza: ukisha andika title ya Dr. mbele ya jina la mhusika; hakuna sababu tena ya kuweka hiyo Ph.D. mbele ya jina lake. Hili tu linaonyesha upungufu kwako, ndiyo maana umejilaza kabisa mbele ya Ruto atembee juu ya mgongo wako.
 
Mbona Nyerere alishawahi kupokelewa hivyo na nyimbo za taifa la Marekani na Tanzania zikapigwa kipindi John F. Kennedy akiwa raisi wa Marekani

Ni kawaida kupokelewa hivyo ikiwa ni mwaliko rasmi (state visit)

Vijana wengi wa bongo mna uelewa mdogo sana inapohusu diplomatic issues na geopolitcs. Mnaongozwa sana na mihemko

View attachment 2997720

View attachment 2997723
Kwahiyo rais wa Marekani siku akija hapa nchini bila mwaliko rasmi atapokelewa kienyeji na mkurugenzi wa Halmashauri?
 
Safari ya Rais Rutto Marekani inatokana na lengo la Marekani kuistabilize Haitii kwa kutumia askari wa Kenya. Ziara hii ilitayarishwa ghafla na serikali ya Marekani baada ya sintofahamu iliyotokea Kenya kukiwa na kesi mahakamani ya kupinga polisi wa Kenya kupelekwa Haiti. Biden amemhakikishia Rutto kuwa Marekani itatoa vifaa vya kipolisi vya kisasa sana kusaidia jeshi la polisi la Kenya iwapo itapeleka askari hao.
 
Ni kawaida kupokelewa hivyo ikiwa ni mwaliko rasmi (state visit)
Angalia kwa kina zaidi sasa; utaona siyo mwaliko wa kawaida huu aliopewa Ruto.
Kenya ina hadhi ya "Strategic Partner" wa Marekani. Nchi pekee ya kiafrika, chini ya Sahara kuwa "ally" sawa na nchi kama Israel, Taiwan, Qatar, Korea Kusini, Japan. Hawa wako sawa na wale wa 'Nato' (North Atlantic Treaty Organization. Wako chini ya mwamvuli wa mlinzi wao mkuu Marekani.

Watu msifanye mzaha na mambo. Ukimgusa Kenya tu, unaliwa kichwa.
 
Mb
Rais samia kwanini pamoja na ziara zote huko hapewi kipaumbele kama Ruto?

Ukiangalia jinsi Ruto alivyopokelewa kwa heshima marekani utashangaa

Ruto kapokelewa kwa heshima sana, vyombo vyote vya kimataifa vimempa airtime na headline yeye na Biden

Nashangaa rais Samia yeye hapati kabisa international coverage kabisa, sio alijazeera,sio cnn, sio bbc tutamuona akiwa kwenye ziara zake

Ziara ya Ruto ni funzo kubwa kwa machawa. Yaani sijui ni kwasababu maziara yetu hayana tija ndo maana hata hawashughuliki?...Yaani wetu ni kama wamempuuza hivi.
Mbona hamueleweki si mnasema beberu akikusifu sana jua ana masrahi makubwa kwako? Wamarekani wana masrahi makubwa na Kenya na sisi tunamasrahi makubwa na China sasa watatupokeaje kwa bashasha?
 
Mbona Nyerere alishawahi kupokelewa hivyo na nyimbo za taifa la Marekani na Tanzania zikapigwa kipindi John F. Kennedy akiwa raisi wa Marekani

Ni kawaida kupokelewa hivyo ikiwa ni mwaliko rasmi (state visit)

Vijana wengi wa bongo mna uelewa mdogo sana inapohusu diplomatic issues na geopolitcs. Mnaongozwa sana na mihemko

View attachment 2997720

View attachment 2997723
Ulikuaga zamani Sana HAPO NYERERE ALIPIGA KIZUNGU MPAKA NIKASHANGAA MZEE NYERERE THE LATE ALIKUA ANAIJUA LUGHA NA ALIKUA NA MISAMIATI MINGI ADHIMU NA ADIMU😊😊
 
Safari ya Rais Rutto Marekani inatokana na lengo la Marekani kuistabilize Haitii kwa kutumia askari wa Kenya. Ziara hii ilitayarishwa ghafla na serikali ya Marekani baada ya sintofahamu iliyotokea Kenya kukiwa na kesi mahakamani ya kupinga polisi wa Kenya kupelekwa Haiti. Biden amemhakikishia Rutto kuwa Marekani itatoa vifaa vya kipolisi vya kisasa sana kusaidia jeshi la polisi la Kenya iwapo itapeleka askari hao.
Hii ni sababu ndogo sana kuhusu ziara hiyo.
 
On any given day kuna marais si chini ya watano ndani ya mipaka ya US toka nchi tofauti tofauti. Wengi huwa wanaenda kwa shughuli zao kama world bank, IMF, UN na sehemu zingine kama inavyojulikana US ndo makao makuu ya dunia nzima. Visits za marais wengi sio official state visit ndo maana hawapewi kipaumbele ila wanapewa full diplomatic support including security kama viongozi wa nchi. Hii ya Ruto ni official state visit, alialikwa na Biden mwenyewe ili wamfanye chawa wao East Africa.

"Kenyan President William Ruto is the first African leader in more than 15 years to make an official state visit to the US.
As reported, this is an opportunity for President Joe Biden to demonstrate commitment to Africa at a time when Washington appears to be playing catch-up in its engagement with the continent."
 
Angalia kwa kina zaidi sasa; utaona siyo mwaliko wa kawaida huu aliopewa Ruto.
Kenya ina hadhi ya "Strategic Partner" wa Marekani. Nchi pekee ya kiafrika, chini ya Sahara kuwa "ally" sawa na nchi kama Israel, Taiwan, Qatar, Korea Kusini, Japan. Hawa wako sawa na wale wa 'Nato' (North Atlantic Treaty Organization. Wako chini ya mwamvuli wa mlinzi wao mkuu Marekani.

Watu msifanye mzaha na mambo. Ukimgusa Kenya tu, unaliwa kichwa.
Dogo hiyo ni state visit.

Kenya wala siyo ya kwanza kuwa na hiyo status ya major non-NATO ally hapa Africa

Egypt, Morocco na Tunisia pia zina status hiyo. Na zinagusika vizuri tu
 
Ulikuaga zamani Sana HAPO NYERERE ALIPIGA KIZUNGU MPAKA NIKASHANGAA MZEE NYERERE THE LATE ALIKUA ANAIJUA LUGHA NA ALIKUA NA MISAMIATI MINGI ADHIMU NA ADIMU😊😊
Alitema yai sio poa hapo na hoja zenye mashiko, Kennedy mwenyewe alimfananisha Nyerere na George Washington

Ila cha kushangaza hakutaka Watanzania wajue Kiingereza kama yeye mzee mchonga alifeli sana
 
Hii ni sababu ndogo sana kuhusu ziara hiyo.
Ndiyo sababu kubwa.

Mgogoro wa Haiti unaongeza mzigo kwenye wimbi la wakimbizi Marekani, jambo ambalo siyo zuri kipindi hiki cha uchaguzi. Mambo mengine yote ya kidplomasia baina ya USA na Kenya yangeweza kusubiri lakini hili la Haiti hailiwezi kusubiri ndiyo maana safari imepangwa fasta fasta.
 
Ila cha kushangaza hakutaka Watanzania wajue Kiingereza kama yeye mzee mchonga alifeli sana
Ukiangalia hio ziara yake nyerere USA 1963
kwa rafiki yake J.f.kennedy huwezi kudhani Kama nyerere alitokea nchi maskini (inferior country)
Tena alikua anaongea madini na umombo ulio nyooka bila kusoma popote..
Hapo ndipo anapo jitofautisha na walio wengi..
 
Rais samia kwanini pamoja na ziara zote huko hapewi kipaumbele kama Ruto?

Ukiangalia jinsi Ruto alivyopokelewa kwa heshima marekani utashangaa

Ruto kapokelewa kwa heshima sana, vyombo vyote vya kimataifa vimempa airtime na headline yeye na Biden

Nashangaa rais Samia yeye hapati kabisa international coverage kabisa, sio alijazeera,sio cnn, sio bbc tutamuona akiwa kwenye ziara zake

Ziara ya Ruto ni funzo kubwa kwa machawa. Yaani sijui ni kwasababu maziara yetu hayana tija ndo maana hata hawashughuliki?...Yaani wetu ni kama wamempuuza hivi.
Ziara za mkuu wa nchi kwenye nchi nyingine zipo za aina tofauti na kila noja ina protokali yake.

Kwa uchache, kuna aina kadhaa za ziara: Ziara za kiserikali, ziara rasmi, ziara za kazi na ziara za kibinafsi.

Kuna ziara ambazo gharama huwa kwa nchi mwenyeji ns kuna ziara ambazo gharama ni za mwenyewe mgeni.

Marekani hana rafiki wala adui wa kudumu. Falsafa yao ni kwanza maslahi yao, mengine yote baadae. "You are either with us or you're against us".
 
Ukiangalia hio ziara yake nyerere USA 1963
kwa rafiki yake J.f.kennedy huwezi kudhani Kama nyerere alitokea nchi maskini (inferior country)
Tena alikua anaongea madini na umombo ulio nyooka bila kusoma popote..
Hapo ndipo anapo jitofautisha na walio wengi..
Raisi mwingine wa Tz ambaye alikuwa anatema yai ni mwanafunzi wake Nyerere wa pale Pugu, Benjamin W. Mkapa
 
Rais samia kwanini pamoja na ziara zote huko hapewi kipaumbele kama Ruto?

Ukiangalia jinsi Ruto alivyopokelewa kwa heshima marekani utashangaa

Ruto kapokelewa kwa heshima sana, vyombo vyote vya kimataifa vimempa airtime na headline yeye na Biden

Nashangaa rais Samia yeye hapati kabisa international coverage kabisa, sio alijazeera,sio cnn, sio bbc tutamuona akiwa kwenye ziara zake

Ziara ya Ruto ni funzo kubwa kwa machawa. Yaani sijui ni kwasababu maziara yetu hayana tija ndo maana hata hawashughuliki?...Yaani wetu ni kama wamempuuza hivi.
Mkuu ukifuatilia mambo Ruto ndiyo rais tangu 2008 kufanya state visit Marekani. Hivyo ni lazima itifaki izingatiwe.
 
Back
Top Bottom