Kenya 2022 Tulieni, tupo kwenye zoezi la kuhakiki kura na mpaka sasa hakuna aliyekidhi idadi ya kutunukiwa Urais

Kenya 2022 General Election
Waangalizi wa kimataifa ya wapi? JK mwenyewe ameshiriki CRDB Marathon DSM leo.

Wadanganyeni hao wanao washobokea kimihemko tu ila wengine tunafuatilia kwa karibu sana kinachotokea BOMAS na mtaani.

Na mkizubaa shida iko palepale!
 
🤣🤣🤣🤣🤣mkuu narudi huko sema nitakaa mbali na muji...Ebeltoft karibu
Mkuu sasa hivi Niko Bergen Kuna road trip tutaenda had Trondheim Hammerfest Hadi Tromso. September nitarudi michenzani.
 
Odinga lazima ashinde ikibidi ni kwa goli la mkono!! mtu mmoja alisikika akiota kwa sauti kubwa baada ya kujikuta amesinzia katika kundi la watu wanaodai wanalinda kura!
 
Wewe jamaa acha uzushi, mwai kibaki alijitangaza mshindi na kujiapisha ikulu fasta unadhani tumesahau?
 
Mkuu sasa hivi Niko Bergen Kuna road trip tutaenda had Trondheim Hammerfest Hadi Tromso. September nitarudi michenzani.
Sawa mkuu...ili kauli ya mipakani kuelekea Sweeden...kiswahili inatamkika ghughumeflee bila shaka huwa unaisikia sio?🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…