Pole ya nini mkuu?Poleni sana, wakuu. Hakuna namna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole ya nini mkuu?Poleni sana, wakuu. Hakuna namna
Umeshavuta gramu ngapi hadi sasa?Pole ya nini mkuu?
Jana usiku nilivuta zUmeshavuta gramu ngapi hadi sasa?
Eti maccm hahaaaaa....hv hadi Kenya mnajua kuwa maccm ni majizi ya kura?
Hata usemeje haitasaidia.Li CCM limoja hili hapa limetoka gizani baada ya kuvurumishiwa jiwe!
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Tulia wewe Chid benz wa jf🤣🤣🤣Ruto ndie rais. Piga ua zaragaza Zika fukua Lazima Ruto ashinde. Ninaapa Ruto ndo mshindi. Ninaapa Ruto ndie rais wa wakenya.
Hahaha Asante kwa kunifananisha na superstar.Tulia wewe Chid benz wa jf🤣🤣🤣
Chakula chako na Chid benz kinafanana🤣🤣🤣Hahaha Asante kwa kunifananisha na superstar.
Ruto the president
Hata hapa napokujibu nimeshatoka kupigaChakula chako na Chid benz kinafanana🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣mkuu narudi huko sema nitakaa mbali na muji...Ebeltoft karibuHata hapa napokujibu nimeshatoka kupiga
Hahahaha🤣🤣🤣🤣🤣mkuu narudi huko sema nitakaa mbali na muji...Ebeltoft karibu
Mkuu sasa hivi Niko Bergen Kuna road trip tutaenda had Trondheim Hammerfest Hadi Tromso. September nitarudi michenzani.🤣🤣🤣🤣🤣mkuu narudi huko sema nitakaa mbali na muji...Ebeltoft karibu
CCM mtulie mjifunze kwa wenzenu namna uchaguzi unavofanyika siyo kujadili umbea.Pambaneni na shida zenu.
Wewe jamaa acha uzushi, mwai kibaki alijitangaza mshindi na kujiapisha ikulu fasta unadhani tumesahau?Naona MaCCM humu yamechachamaa kufungua nyuzi ili kutafuta mbinu za kupaka tope uchaguzi uliofanyika Kenya, yanajaribu kutumia hizo mbinu kuficha aibu ya dhuluma zao kwao huko Tanzania.
Ifahamike kawaida baada ya kukamilisha zoezi la kuhesabu kura, huwa hatukimbilii kumtangaza mshindi na kumuapisha kama kwenu huko, huwa lazima kura zihakikiwe kwa mbinu zinazokubalika na wagombea wote, tena mbele ya waangalizi wa kimataifa na vyombo vya habari, ili kuhakikisha anayeshindwa hata akienda mahakamani hatakua na sababu zozote au hoja zozote zenye mashiko.
Kingine, katiba inahitaji mshindi lazima awe aliyekubalika na Wakenya, maana kwamba lazima ashinde kwa asilimia 50%+1 na mpaka sasa hakuna aliyekidhi hicho kigezo, hivyo kuna uwezekano tukarudia zoezi la ushindani baina ya wagombea namba moja na mbili, wengine watoswe.
Hii yote ni kwa ajili ya kuhakikisha tunampata kiongozi anayekubaliwa na wananchi, sio kulazimishiwa mtu. Kwa hivyo tulizeni nyuzi zenu hizo kila mara ooh "Kenya kimenuka", "Kenya kitawaka", "Kenya kitaiva", "Kenya watakatana mapanga".....mumekaa kama mafisi yenye njaa mnasubiri mkono udondoke hamuna hata aibu....ha ha ha!!!
Sawa mkuu...ili kauli ya mipakani kuelekea Sweeden...kiswahili inatamkika ghughumeflee bila shaka huwa unaisikia sio?🤣Mkuu sasa hivi Niko Bergen Kuna road trip tutaenda had Trondheim Hammerfest Hadi Tromso. September nitarudi michenzani.
Ruto?Hahaha Asante kwa kunifananisha na superstar.
Ruto the president
Haisaidii.