Tetesi: Tanzia: Meli yazama ziwa Victoria Tanzania, poleni majirani

Tetesi: Tanzia: Meli yazama ziwa Victoria Tanzania, poleni majirani

Wafanyakazi hawajalipwa mishahara kipindi kirefu,watakula wapi? Hamna zaidi ya kubuni miradi hatarishi ndani ya shirika la umma. Uozo sole to crown.
Mimi huwa naona Hii ndio sababu pekee we can't easily fight corruption in Africa,
Imagine, you are in Scandinavian country like Norway, Why do u even think of stealing? For what?
The Government pays well, Provides Free quality Education, Best Healthcare Services, Housing, Gives you Loan whatever you want to start a business,
there people need to be leaders just to make a change and be remembered..
In Africa mtu anataka awe kiongozi kwanza kabisa amalize shida za ukoo wake,
We have a long way to go.

R.I.P our poor friends.
 
Maboya ya kujiokoa yalikuwa yamefungiwa stoo kwa kufuli kubwa!....This is Africa!
 
Likija suala la tanzia au majanga tunaweka utani pembeni, poleni sana majirani. Meli ya abiria yazama ziwa Victoria na sasa hivi harakati za uokoaji zinaendelea, natumai watafaulu kuwaokoa wengi.
--------------------------------
mvnyerereee.png

MV Nyerere capsizes in Lake Victoria. PHOTO| COURTESY

Scores of people are feared dead after MV Nyerere Ferry capsized at Lake Victoria in Tanzania on Thursday.

The ferry, which had hundreds of passengers on board, was plying between Bugorara and Ukala islands in Tanzania.

In a statement confirming the incident, the Tanzanian government says rescue efforts are underway.

More to follow…

https://citizentv.co.ke/news/scores...ications&utm_campaign=onesignal_notifications

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 148 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa! - JamiiForums
 
Mimi huwa naona Hii ndio sababu pekee we can't easily fight corruption in Africa,
Imagine, you are in Scandinavian country like Norway, Why do u even think of stealing? For what?
The Government pays well, Provides Free quality Education, Best Healthcare Services, Housing, Gives you Loan whatever you want to start a business,
there people need to be leaders just to make a change and be remembered..
In Africa mtu anataka awe kiongozi kwanza kabisa amalize shida za ukoo wake,
We have a long way to go.

R.I.P our poor friends.

At the same time that Scandinavian country steal from our gas and give us a bad contract so that they can enrich themselves and pay their people well. Huoni ni long chain of slavery ndio inatuangusha? Leo hii tukitaka kuuza samaki au pamba huko Scandinavian, trade come with long list of unimaginable demands unless the business is own by them. Na ni nini anayewalambisha pipi ya rushwa viongozi wa kiafrika.
 
aisee poleni mazee...binafsi sipendagi ma meli na mapantoni!

Juzi nimevuka kutoka Unguja kwenda kisiwa cha Tumbatu kwa kutumia motorboat, halafu nahodha akaanza mbwembwe fulani za maneuvers, abiria tuliokua kama kumi hivi stori zikakatika ghafla kila mtu kimya, asikuambie mtu hayo mavitu acha tu.

Lakini hilo la kivukio cha Nyerere pia abiria wanalaumiwa, maana inasemekana wakati kinakaribia kwenye fukwe ghafla walikimbilia mlangoni na kujazana hapo kila mmoja anataka awe wa kwanza kushuka, hadi uzito ukazidi upande mmoja likabinuka. Hili mimi huliona hata kwenye boti za Anzam pale Zanzibar au hata vivukio vyetu kule Mambasani. Abiria hawasubiri kifike mwisho na kutia nanga, wote wanaanza mikimbio ya kuwahi.
 
At the same time that Scandinavian country steal from our gas and give us a bad contract so that they can enrich themselves and pay their people well. Huoni ni long chain of slavery ndio inatuangusha? Leo hii tukitaka kuuza samaki au pamba huko Scandinavian, trade come with long list of unimaginable demands unless the business is own by them. Na ni nini anayewalambisha pipi ya rushwa viongozi wa kiafrika.
I think hapo mtu wa kulaumiwa ni Sisi wenyewe,
Hatupo maakini, kumbuka hiyo mikataba hakuna anaeshikiwa bunduki kusaini,

Na pia hata hizo pipi za Ruswa sijui, Bado ni ujinga wa viongozi wetu na sisi wote kwa ujumla wetu,
 
Huyu siku hizi nanuona boya tu, kila kitu yeye anageuza his political advantage.

Tatizo lenu MiCCM mnaendeshwa kwa mihemko na ushabiki.
Alichokisema Zitto kina ukweli usiopingika na hilo lipo hata Kenya, muhimu hata rais Uhuru akajifunza kitu hapo, asitujazie ma SGR lakini majanga madogo yanamshinda.
 
Sina hata interest na hizo CCM, but this guy is damn Stupid. Nlikuwa nikimheshimu for Years, but naona amepoteza dira..
Nenda kwenye account yake ya Tweeter uone posts zake,
Watu wamefariki jitu linaanza kutafutiza namna za Kulaumu watu, wtf.
 
Juzi nimevuka kutoka Unguja kwenda kisiwa cha Tumbatu kwa kutumia motorboat, halafu nahodha akaanza mbwembwe fulani za maneuvers, abiria tuliokua kama kumi hivi stori zikakatika ghafla kila mtu kimya, asikuambie mtu hayo mavitu acha tu.

Lakini hilo la kivukio cha Nyerere pia abiria wanalaumiwa, maana inasemekana wakati kinakaribia kwenye fukwe ghafla walikimbilia mlangoni na kujazana hapo kila mmoja anataka awe wa kwanza kushuka, hadi uzito ukazidi upande mmoja likabinuka. Hili mimi huliona hata kwenye boti za Anzam pale Zanzibar au hata vivukio vyetu kule Mambasani. Abiria hawasubiri kifike mwisho na kutia nanga, wote wanaanza mikimbio ya kuwahi.
Mkuu sisi waafrika akili zetu tunazijua wenyewe, pamoja na sababu nyingine za uzembe wa wahusika, lakini hili la abiria kutaka kuteremka mapema ni tatizo sugu.

Nakuhakikishia hata kwenye ndege kusingekuwa na sheria kuwa lazima ufunge mkanda na kutulia kwenye kiti kuna watu wangekuwa wanawahi kukimbilia mlangoni even before landing. Wangetafuta sehemu yoyote ya kushikilia wakiwa huko huko mlangoni.

We Africans have a long way to go.
 
Pamoja na mambo mengine zito naye atupe uhakika wa kipi cha kuamini, kwenye hii tweet naona anasema hakuna vifaa vya uokoaji, na kuna tweet nyingine anasema vifaa vya uokoaji vipo kwenye kambi ya jeshi na akaitaja hiyo kambi na vifaa vyenyewe. SMH!!!!

Hapa ni kurudi kwa mzee JK, za kuambiwa changanya na zako.
 
Back
Top Bottom