Tetesi: Tanzanian billionaire duo have taken over Kenya’s most profitable firm which was recently recognised by the United Nations

nilichogundua ni kuwa napoteza muda mwingi kujadiliana na waKenya ambao wengi wao ni laymen. they are not professionals. kuna jamaa wachache SANA wasomi ndiyo napenda ku exchange nao. lkn the rest is arguing and arguing.
Very true, kuna wababaishaji wengi tu hapa. Even basis knowledge inakuwa ngumu. You can't pin down anyone for a proper debate, bila kuanza kuleta utoto utoto.
 
Kuna wakenya wawili, naam kama watatu hivi nikiona wanajadili mada, huwa nawafuatilia kwa makini, maana angalau nakuwa na madini ya kutoka nayo. lkn wengine ni kupoteza muda wangu tu.
 
Sasa kampuni yenye valuation ya zaidi ya Ksh 100 billion ndio unatuambia eti tujamaa tumenunua shares za millioni mia tano? Wananunua shares za milioni mia tano na kampuni ina valuation ya bilioni mia moja, wacheni mchezo, hio hata sio 1% of the company's value. Hamna kitu ya kucelebrate hapa rudini jiweni mkaote jua.
Point of correction if you dont mind. At the NSE Safaricom is valued at $11 Billion Dollars! The total value of Safcom is $15 Billion..... Yani itahitaji bajeti nzima ya serikali ya Tz ya 2018/19 ku "take over"....
Anyway, Pongezi kwao kwa kuwa biggest single investor, the NSE is still small compared to the one in sa, tuendelee kujenga NSE.... ingekua poa kama tungefanyikiwa kuunganisa stock exchange zote za EAC in to one,
 
U mean safaricom ina sawa na 25% ya gdp ya Kenya . Da
 
Hahahahahahahahahahahaha,nyani kajileta kwenye mtego safaricom ina-hold 25% ya kenya GDP HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA.
 
Wewe hata unajua maana ya GDP ni nini??

Wacha nikupatie paspective.... GDP ya Saudi Arabia ni $684 B, Kampuni ya kiserikali Saudi Armaco iko na net value ya $2 Trillion Dollars..... Tafakari.
 
But balance sheet total is usd1 billion. Hongereni.
Total Revenue per yera = $2.3 B ( Mpesa contributes about 28% or $630m, Mobile Data = $360m, Voice revenue $890million, SMS =$170m... So contrary to popular belief, MPESA is not Safcom biggest earner of revenue.

Net Profit = $550 Million USD.

In terms of Shareholding and Dividends returns for investors.

GoK gets $400m yearly from Safaricom ( $250m in Taxes and $150m as dividends for its 35% stake in Safcom)
Vodacom which aslo has 35% stake equivqalent to $4B worth of shares gets $150m annually...
And then the rest of the 582,000 shareholders share about $320 Million.... This is where the Tanzanian duo will also get their returns..... Some people who invested in Safcom back in 2009 have hadthere shares increase their worth by 500%
Treasury gets Sh40bn Safaricom pay cheque

The only other Company that Generates close to that amount of money in Kenya is KPA
 
Ipo vizuri. Mkt share ni ngapi? Telecom industry. Nina shaka na valuation ya usd15 billion
 
Wewe hata unajua maana ya GDP ni nini??

Wacha nikupatie paspective.... GDP ya Saudi Arabia ni $684 B, Kampuni ya kiserikali Saudi Armaco iko na net value ya $2 Trillion Dollars..... Tafakari.
Mzee unataka tufundishane uchumi.....Hahahaha
 
Ipo vizuri. Mkt share ni ngapi? Telecom industry. Nina shaka na valuation ya usd15 billion
Used to be 71% last year.
Airtel eats into Safaricom, Telkom Kenya’s market

1541927102168.png
 
Nakumbuka nikikuuliza maana ya GDP kule dar vs nai hukujua.
hahahaha
ukikutana na mtu njiani na akuulize "hivyo ndo eti umevaa ? " - uta asume hayo ni maoni yake..
Lakini ukikutana na mtu wa pili njiani na akuulize swali hilo hilo... Hapo ndo unanza kujishuku kuna kasoro kwa ulichovaa . Labda suruali impasuka matakon! na hujui!!! 😀😛
 
Back
Top Bottom