eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
- Thread starter
- #41
Shida ni kwamba wengi hapa hawajui % ya Safaricom inayomilikiwa na serikali ya Kenya na ni asilimia ngapi ya shares za Safaricom zilizouzwa kwenye IPO miaka mingi iliyopita.
Teh teh teh tihiii
the article is about individual stakeholders like you and I.