Shida ni kwamba wengi hapa hawajui % ya Safaricom inayomilikiwa na serikali ya Kenya na ni asilimia ngapi ya shares za Safaricom zilizouzwa kwenye IPO miaka mingi iliyopita.
acha hizo!! nchi nzima ????/Stupid useless post. Kweli maskini akipata Matako hulia mbwata!!.
Nchi nzima inacelebrate 0.1% ownership of a foreign company 😂
TOTAL ASSETS=LIABILITY PLUS OWNERS EQUITY.Teh teh teh tihiii
the article is about individual stakeholders like you and I.
TOTAL ASSETS=LIABILITY PLUS OWNERS EQUITY.
Equity= shareholders.
Shareholders = control on company affairs
Control= percentage ownership or vested power.
Valuation can be bigger than total assets.
Control cannot be derived from company value. Hawa jamaa zetu wapo vizuri sana kwenye grammar
The key word is ordinary shareBut still at the top of the list of individuals owning Safaricom shares! Their stake in Safaricom is over $20 mln.
Mwazilishi wa thread anapush agenda y takeover n meanwhile the 2 have bought ordinary shares and not a stake in safcom which can run into billions of dollarsHii comment ilitakiwa iwe ya kwanza ili wakenya wote waone na kuelewa, I doubt kama wataelewa though.
Exactly, you can't take over Safaricom unless the biggest single shareholders, the government 35%,Vodafone, 40%, float another IPO to relinquish their shares. Freehold shares ni 25% tu, alafu hawa mnaosema wame'take over' wana 0.30% tu, tumeelewana? Hizo zote zingine kwa hiyo 25% bado zipo kwa wakenya binafsi, waongeze bidii.Teh teh teh tihiii
the article is about individual stakeholders like you and I.
Hii comment ilitakiwa iwe ya kwanza ili wakenya wote waone na kuelewa, I doubt kama wataelewa though.
Equity ni kiasi gani?Exactly, you can't take over Safaricom unless the biggest single shareholders, the government 35%,Vodafone, 40%, float another IPO to relinquish their shares. Freehold shares ni 25% tu, alafu hawa mnaosema wame'take over' wana 0.30% tu, tumeelewana?
Exactly, you can't take over Safaricom unless the biggest single shareholder, the government, floats another IPO to relinquish its shares.
Equity ni kiasi gani?
Kuna kipindi walileta chaka la mapato ya kpa . Nikabaki nawashangaa tu.soma tena ndiyo uelewe article.
Teh teh teh tihiii
hawezi kukujibu hilo, uwezo wake umeishia kubishana tu.
kwani tatizo kubwa ni nini?!? mi naona no hatua nzuri kwao hata kama ingekuwa ni 0.1% ni hatua kubwa kwao ukiangalia thamani ya SAFARICOM, mpaka wameandikwa hivyo maana yake wamefanya jambo kubwa. Tusipende kubeza tu, mengine sio saizi yetu!!Kizungu na hesabu tricky kwa wengi.
So 2 Tanzanians are claimed to have taken over Safaricom by buying additional shares worth sh277millions. In fact, their total share worth in the NSE is at Sh 1.2billions. Yet the company the OP claims they've taken over is worth Sh 220billions, Huh!
Hata wauze shares zao in all other companies in Kenya and invest fully in SafCom, they'll end up owning just 0.5% of the company so take over my foot!
But kudos to them for the bold move
Hahaa, nimekuletea facts za shares za Safaricom, sina cha ziada. Alafu sio kila mtu huwa anakesha humu. Eti dakika kumi tu zikipita kabla sijajibu swali la huyo mwenzako mnaanza kupeana high five.soma tena ndiyo uelewe article.
Teh teh teh tihiii
hawezi kukujibu hilo, uwezo wake umeishia kubishana tu.
23% sio 0.1%.kwani tatizo kubwa ni nini?!? mi naona no hatua nzuri kwao hata kama ingekuwa ni 0.1% ni hatua kubwa kwao ukiangalia thamani ya SAFARICOM, mpaka wameandikwa hivyo maana yake wamefanya jambo kubwa. Tusipende kubeza tu, mengine sio saizi yetu!!
23% umetoa wapi? Haha Usinichekeshe. Hawa jamaa wana shares less than 1% ya safaricom. Fullstop. Mambo ya 23% ni ndoto ya abunuasi.23% sio 0.1%.
Equity ya kampuni ni kiasi gani?23% umetoa wapi? Haha Usinichekeshe. Hawa jamaa wana shares less than 1% ya safaricom. Fullstop. Mambo ya 23% ni ndoto ya abunuasi.
Wana nisearch nirudi na facts. Mimi kama kawa nadilingi tu na facts. SubiriEquity ya kampuni ni kiasi gani?
Gearing ratio. ROE na ROAWana nisearch nirudi na facts. Mimi kama kawa nadilingi tu na facts. Subiri