Tetesi: Tanzanian billionaire duo have taken over Kenya’s most profitable firm which was recently recognised by the United Nations

Should we talk about which Kenyans or Kenyan companies own what in Tanzania?
 
Shida ni kwamba wengi hapa hawajui % ya Safaricom inayomilikiwa na serikali ya Kenya na ni asilimia ngapi ya shares za Safaricom zilizouzwa kwenye IPO miaka mingi iliyopita.
 
But still at the top of the list of individuals owning Safaricom shares! Their stake in Safaricom is over $20 mln.
 
But still at the top of the list of individuals owning Safaricom shares! Their stake in Safaricom is over $20 mln.
There stake is $2.77 million fool. That's out of the total value of Safaricom that is $9.11 billion. Practically peanuts, not worth a mention.
 
  • The Dar duo have in the past two years been accumulating shares in Nairobi Securities Exchange listed firms, with their cumulative investment now standing at more than Sh1.8 billion.
 
Hao wahindi wawili ndio tu wanajua biashara bongo nzima. They also have shares in equity. Pure bongolalas ni maskini hohehahe Wako nabahati kilimo hakiwezi feli bongo ,
They are not among top ten businessmen in Tanzania. Endeleeni kuvumilia kwa sababu yajayo yanafurahisha sana.
 
Wana 0.19 % state na mnasema wanahuge ownership, akili za kitanzania ni kama punje ya mchele
 
Wana 0.19 % state na mnasema wanahuge ownership, akili za kitanzania ni kama punje ya mchele

Ahaaa haaa haaa
is that online tabloid owned by Tanzanians.
 
  • The Dar duo have in the past two years been accumulating shares in Nairobi Securities Exchange listed firms, with their cumulative investment now standing at more than Sh1.8 billion.
Are we talking about Safaricom's or NSE? What they've invested in Safaricom is just KES 277 million.
 
Nilifikiri ni wafipa kumbe wahindi kama kawa. Enyewe bongolala nyeusi ni za kuhariwa tu, mpaka lini tutasikia watu weusi kama Geuza uhariwe ama chooboy wamekuwa billionaires?
Ufipa ni kikundi cha watu wanaopinga kila kitu ....... ukisikia mtu anakuita ww mfipa jua anamaanisha ww mpinzani

Tz kuna kila aina ya watu wenye asili tofauti.... tajiri wa kihindi au kichina au kiafrica isikusumbue
 
hawamaanishi mtaa wa ufipa KWELI?
 
Tofautisha company value, total assets na total equity. Ordinary shareholder. Debt. Hao ni ordinary shareholder ambao value yao sio sawa na total assets. Rudini shule.
Hii comment ilitakiwa iwe ya kwanza ili wakenya wote waone na kuelewa, I doubt kama wataelewa though.
 
Wawe gabacholi au Waaarbu koko haijalishi, tatizo la manyang'au ni ukabila na ubaguzi uliotukukuka!
Ukweli wame-mind Wabongolala wamenunua na kuongeza utajiri nchini mwao...Na bado...
 
Enyewe mnaushamba sana how many kenyan owned businesses exist in Tz,so that means we also took over Tz along time ago?
 
With this kind of thinking it would mean kenyans took over tz along time ago
 
Mtu wa huko Volsvosky akionyeshwa list ya matajiri wa Tanzania atajiuliza kama tanzania ipo mpakani na Indonesia na pakistan au katikati ya India na Nepal!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...wacha kuniumiza mbavu bro...yani nimecheka sana
 
Jifunze Kiswahili Kwanza ndio ujigambe maanake unaandika neno ndo lisilo neno la Kiswahili huku ukimkashifu mwenzio kutumia neno 'enyewe' ambalo ni la Kiswahili.
Hajui neno "enyewe"lina maana gani katika kiswahili...yani huaga nikichunguza sana..wabongo kiswahili chao ni cha juu juu tu..
Mwengine kuna siku hapa alikuwa hajui maana ya "kumakinika"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wawe gabacholi au Waaarbu koko haijalishi, tatizo la manyang'au ni ukabila na ubaguzi uliotukukuka!
Ukweli wame-mind Wabongolala wamenunua na kuongeza utajiri nchini mwao...Na bado...
Hhhhh!!!hamna ukabila..ila mnakabila moja kuu linalojiita ccm...unapinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…