Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,241
- Thread starter
- #21
Usicheze na kinga ya malimao na ndimu. Patamu hapo.WaTanzania walikuwa na stress ule mwezi wa 4 na 5 lakini kwa sasa ukienda huko kwao wanaishi kwa raha mstarehe. Akilizi zao zimeponywa na rais wao. Hawatishwi kwa kupewa habari za kufadhaishwa, sijui wamepima wangapi. Wenyewe wanaongelea kuchukua tahadhari kwa mujibu wa ushauri wa wataalam wa afya, pia kuimarisha kinga zao binafsi kwa kula matunda na mbogamboga.