Tanzania ‘to register fastest economic growth in East Africa

Tanzania ‘to register fastest economic growth in East Africa

WaTanzania walikuwa na stress ule mwezi wa 4 na 5 lakini kwa sasa ukienda huko kwao wanaishi kwa raha mstarehe. Akilizi zao zimeponywa na rais wao. Hawatishwi kwa kupewa habari za kufadhaishwa, sijui wamepima wangapi. Wenyewe wanaongelea kuchukua tahadhari kwa mujibu wa ushauri wa wataalam wa afya, pia kuimarisha kinga zao binafsi kwa kula matunda na mbogamboga.
Usicheze na kinga ya malimao na ndimu. Patamu hapo.
 
Mabeberu ni watu wazuri isipo kua wasiingilie siasa zetu kwa kuwapa pesa upinzani
Beberu aliwaita watu wa "uchumi wa kati" mkakesha humu mkifungua nyuzi na kukenua, huyo huyo beberu juzi akasema ukuaji wa uchumi wenu unashuka hadi 2.5% mkakesha humu mkimtukana, hehehe acheni kuwa kama kina dada kwenye ndoa, leo anaamka hivi kesho anaamka kivingine. Muwe na ubavu wa kukubali pale mnaambiwa ukweli sio kung'ang'ania kila wakati mnataka muambiwe maneno matamu matamu.
 
Back
Top Bottom