Beberu aliwaita watu wa "uchumi wa kati" mkakesha humu mkifungua nyuzi na kukenua, huyo huyo beberu juzi akasema ukuaji wa uchumi wenu unashuka hadi 2.5% mkakesha humu mkimtukana, hehehe acheni kuwa kama kina dada kwenye ndoa, leo anaamka hivi kesho anaamka kivingine. Muwe na ubavu wa kukubali pale mnaambiwa ukweli sio kung'ang'ania kila wakati mnataka muambiwe maneno matamu matamu.