Yaani mapungufu ya rais aelezwe yeye mwenyewe?
Braza mzima kweli wewe?
Tupo hapa tunazungumzia mapungufu ya serikali ambayo anaongoza yeye,haturuhusiwi kufanya mdahalo wa wazi mpaka akaambiwe yeye chumbani?
Hivi mkuu tushafika huku?
Kabisa?
Mdude kafungwa kisiasa,hana kosa lolote...Mmeshindwa kujibizana nae kisiasa,mkaamua kwenda kumfunga au upo hapa kushabikia uonevu na prosecution ya watu waliokuzidi hoja?
Yaani upo hapa kuhalalisha uonevu wa watu wanaokuzidi hoja mpaka unaenda wajengea kesi za kutunga eti za madawa ya kulevya?Hivi mna akili kweli mapunguani?
JF watu kibao wameshikwa na wamepotezwa wengi humu
I know and you know
Pona ya watu wengi ni sababu wapo annoymous basi,hakuna kingine!
Na wengi wanatumia VPN
Hakuna verified user anaejihisi salama kutoa hoja za kutoa mapungufu ya serikali hii dhaifu na iliyokosa maarifa na confidence ya kujibu hoja za critics!
Huu mfano wako wa hii platform ni uongo and you know it!
WhatsApp kwenye magroup watu hawatoi maoni wanaogopa,Insta watu verified wanaogopa,Facebook the same,Twitter the same,verified users wote wanaogopa,ni wachache tu kama Maria na Fatuma ndio verified wanaoweza kukosoa na wao wameharibiwa maisha yao na serikali hii hii because of that..
Kwahiyo punguza maunafiki yako hapa wewe
Uhuru wangu unaishia pale wako unapoanzia....Kutokana na sentensi yako kua uhuru hauna mipaka,nani mwenye mamlaka ya kutambua huo mpaka na kusema mpaka unaanzia hapa?
Ni magufuli?
Una matatizo wewe
Nani amekosea serikali hii na anadunda,mtaje jina tuone!
Punguza nyege na huu utawala wewe....kama unakula vihela vya hii serikali kula ila usitutukane tunaoumia!
Tafadhali