Alafu wewe ni m#t#ko Kweli.. kampuni ya Apple tu ilikuwa inatumia Microchip za Samsung ambao kwenye soko ndio washindani wao.
Huo ujinga unaongea ni wakilofa kupita maelezo.. maana hata elimu ya shuleni ni mchanyiko kutoka nchi mbalimbali duniani bila kuchagua rangi ya ngozi ya mtu Kama Aljebra ni India, Geometric ni Misri n.k
Yani huwezi kujitenga na dunia ufanye cha kwako tuu.. kitu pekee unaweza fanya nikuongeza Ubunifu tuu yani tukisema kila MTU afuche elimu yake Hii dunia isinge fika hapa Leo..
Kwenye uwekezaji kuna kitu FDI(Foreign Direct Investment) kama vile unavyoona kampuni ya Coca-Cola IPO dunia nzima, lakini hapa pia ina viwanda Kwa Juli ya soko la hapa n.k
Hii ndo ilimfanya China akapanda maradufu kwenye Teknolojia baada ya Marekani kuamua kujenga viwanda vingi China Kuepuka uchavuzi wa mazingira wa nchi yake na pia kutafuta Cheap labour.
Sent from my M2006C3MG using
JamiiForums mobile app