Nyerere na Tanzania vinaenziwa Marekani kwa namna ya kipekee

chongchung

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
13,277
Reaction score
40,924
Kiswahili ni Tanzania kama ilivyo Ujamaa, Tanzania inajivunia Nyerere daima kwa kufanya Tanzania kuwa na influence kubwa ulimwenguni

Tafiti zinaonekana kwamba Tanzania ndio taifa lenye ushawishi mkubwa wa kitamaduni duniani kutokea Africa

Tanzania to the world 🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩
Hope this is the next big thing to the world after Christmas

Hayo maneno yote( kwanza, umoja, ujima, ujamaa, kujichagulia,Nia nk asili yake Katika Dunia Hii yalianza kutumika Tanzania kabla ya sehemu yoyote ile Dunia Hii

Wakati wengine wakijifanya wazungu weusi Tanzania ilikuwa inatengeneza lugha ya kiafrika inayoitwa kiswahili
 
Tarehe 07/07 ya kila mwaka, kama nchi lazima tufanye jambo kukienzi kiswahili. Maana hii ni tarehe ambayo imepitishwa na UNESCO kuwa ni siku ya kiswahili duniani.
 
Nyerere alikua na nia njema wakati anaanzisha ujamaa kwa Watanzania, ila labda hakueleweka au hata mwenyewe hakuuelewa vizuri huo mfumo kabla kuupapatikia, ukasababisha kama taifa watu wazembee na kukwamishana kwa kutegemeana na kuwa maskini mpaka leo hii hawajatoka....mataifa aliyoiga kutoka kwao wako vizuri kiuchumi, ila na wao waliutelekeza, hata China waliashapokea ubepari kitambo.

Halafu Nyerere hakubuni Kiswahili, kilikuwepo hata kabla hajazaliwa, tumshukuru Mwarabu na jamii zetu za Pwani maana hao ndio walihusika kwenye kukibuni.

Sema Nyerere alifanya vizuri kukifanya lugha rasmi ya Tanzania, ila nao Watanzania wakaganda bila kujiongeza wakabaki wamekwama kwenye lugha moja hiyo, wengine wakatelekeza hata lugha zao za asili, unakuta mbaba kabisa mtu mzima hajui hata salamu kwa lugha yake ya asili, huo ni utumwa.

Hii "Kwanzaa" ndio leo naiskia, naona ilianzishwa na Mmarekani mweusi kwao huko kama mbadala wa Krisimasi kwa Mwafrika.......
 
Sio kweli unayosema, Kiswahili ni lugha Kama lugha zingine ambazo zimekopa(kutohoa) maneno toka lugha zingine na maneno mengine yanazaliwa na kufa.

Waarabu hawana neno "Ujamaa" kwa maana ya (African Socialism), waarabu Hutumia neno "Jamaa" wakimaanisha "ndugu au mtu mnaefahamiana", japo hilo neno la "Ujamaa" mzizi wake ni "Jamaa" lakini "Ujamaa" ni neno jipya la Kiswahili lilioanzishwa na Nyerere likimaanisha (African Socialism), neno lingine ni "Ujima", hili ni neno jipya lilioanzishwa na Nyerere halikuwepo duniani kabla ya Nyerere na halikupwa popote

Nyerere alianzisha "Ujamaa" au African socialism Kama mfumo wa maisha ambao lengo lake kuu ni hayo malengo 6 wanayofuata hao wamarekani
1)Umoja
2)Kujitegemea
3)Utu na usawa kwa wote
4)Amani
5)Uhuru
6)Non racial society

Haya yote Tanzania tumefanikiwa kwa zaidi ya 95%, hakuna popote pale ambapo Nyerere alitaka kujenga nchi ya matajiri, kwahiyo ujamaa ni mfumo wa maisha wenye kuzingatia hayo sio utajiri.

Black Americans wamekua wakikandamizwa utu wao ndio sababu wakachukua hiyo misingi ya "Ujamaa" ili kupambana na ukandamizaji wanaofanyiwa, pesa sio muhimu Kama unadhalilishwa utu na uhuru wako Kama inavyofanyika hapo Kenya ambapo watu masikini wananyanyaswa na kuishi Kama daraja la pili kwasababu tu ni masikini .
Tony254
 
Nyerere na Tanzania wanaingilia wapi kuhusu Kwanzaa holiday? Wajinga sana nyie.
Nyerere ndio chimbuko la Kwanzaa kwa kila kitu, aheshimike

Eqge431XIAEwA7p.jpeg
Screenshot_20211228-133658.png

Nyerere alikua na nia njema wakati anaanzisha ujamaa kwa Watanzania, ila labda hakueleweka au hata mwenyewe hakuuelewa vizuri huo mfumo kabla kuupapatikia, ukasababisha kama taifa watu wazembee na kukwamishana kwa kutegemeana na kuwa maskini mpaka leo hii hawajatoka....mataifa aliyoiga kutoka kwao wako vizuri kiuchumi, ila na wao waliutelekeza, hata China waliashapokea ubepari kitambo.

Halafu Nyerere hakubuni Kiswahili, kilikuwepo hata kabla hajazaliwa, tumshukuru Mwarabu na jamii zetu za Pwani maana hao ndio walihusika kwenye kukibuni.

Sema Nyerere alifanya vizuri kukifanya lugha rasmi ya Tanzania, ila nao Watanzania wakaganda bila kujiongeza wakabaki wamekwama kwenye lugha moja hiyo, wengine wakatelekeza hata lugha zao za asili, unakuta mbaba kabisa mtu mzima hajui hata salamu kwa lugha yake ya asili, huo ni utumwa.

Hii "Kwanzaa" ndio leo naiskia, naona ilianzishwa na Mmarekani mweusi kwao huko kama mbadala wa Krisimasi kwa Mwafrika.......
Kwani nyie mlivyoiga ubepari mmetoka kwenye lindi la umaskini kama mabepari wenzenu?
 
Leo uchumi wetu ni mara mbili yenu, hebu waza hilo likuingie, kainchi kadogo ambapo nusu yake ni kame tupu kamewazidi mara mbili kiuchumi, kielimu, kijeshi na kila kitu, nyie liinchi lote hilo lenye madini ya kumwaga bado mnatajwa kwenye maskini wa kutupwa. Ujamaa uliwalemaza kabisa na kuwafanya muwe wavivu wanaotia huruma.
 
Nyerere alikua na nia njema wakati anaanzisha ujamaa kwa Watanzania, ila labda hakueleweka au hata mwenyewe hakuuelewa vizuri huo mfumo kabla kuupapatikia, ukasababisha kama taifa watu wazembee na kukwamishana kwa kutegemeana na kuwa maskini mpaka leo hii hawajatoka....mataifa aliyoiga kutoka kwao wako vizuri kiuchumi, ila na wao waliutelekeza, hata China waliashapokea ubepari kitambo.

Halafu Nyerere hakubuni Kiswahili, kilikuwepo hata kabla hajazaliwa, tumshukuru Mwarabu na jamii zetu za Pwani maana hao ndio walihusika kwenye kukibuni.

Sema Nyerere alifanya vizuri kukifanya lugha rasmi ya Tanzania, ila nao Watanzania wakaganda bila kujiongeza wakabaki wamekwama kwenye lugha moja hiyo, wengine wakatelekeza hata lugha zao za asili, unakuta mbaba kabisa mtu mzima hajui hata salamu kwa lugha yake ya asili, huo ni utumwa.

Hii "Kwanzaa" ndio leo naiskia, naona ilianzishwa na Mmarekani mweusi kwao huko kama mbadala wa Krisimasi kwa Mwafrika.......
Eti tumshukuru mwarabu!!!

Kwa sasa kuna maradhi makubwa sana ya watu kukosa kufikiri sawasawa! Tena ni maradhi yasiyo na dawa!

Tumshukuru mwarabu? Mtu mzima anajiona kaongea jambo la maana hapo!
 
Soma historia wacha kubwatuka hovyo, haya madude umeyakuta yameundwa. Jifunze kuukubali ukweli kama ulivyoukuta, hata ukificha kichwa ardhini hautaufuta huo ukweli.

Mwarabu alipokuja akabaka mababu zetu kwa kuwabeba kwenda utumwani, humo humo akachangia kwenye kubuni lugha ya Kiswahili kwa kuchanganya Kiarabu chake na lugha za Wabantu wetu wa Pwani na pia akachomekea dini yake ya Uislamu huko huko Pwani.
Neno Swahili limetoholewa kutoka kwa neno la Kiarabu sawāḥilī maana yake "Pwani".

Kwa hivyo hatuna budi ila kumshukuru, binafsi sijapenda maana aliwabaka sana wazee wetu lakini ndivyo ilivyo, hamna tofauti na Mzungu ambaye pia alibaka mababu zetu na kuchomekea Ukristo. Ni ukweli mchungu unauma, lakini inabidi kuukubali hamna namna, kama vile unatumia reli aliyojenga Mkoloni, ukipewa historia namna Waafrika waliuawa kwenye ujenzi wake hata unaweza ukachukia kutumia huo usafiri.

Unapotelekeza lugha yako ya asili ya Kisukuma na kuvaa milegezo hapo Tandale, muhimu pia ukajua historia ya chochote unachoshobokea.
 
Hawa jirani zetu bwana huwa wanacheka sana wabongo wasipoongea kiingereza ila wakisikia tu kiswahili kimetajwa na bwana zao huko nje utasikia chetu hicho[emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38]wanavyokigombea sasa na kuweka bendera zao utasema wanaweza hata kuongea kwa ufasaha
 
Back
Top Bottom