Unazungumzia kiwanda kilicholetwa na muwekezaji kutoka nchi za weupe.Usiwe unaongea Mambo muhimu ya nchi yako ambayo ni Negative bila kufanya research..
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Hakuna nchi yoyote yenye kutengeneza kila kitu pekee, lazima baadhi ya mashine wataagiza toka nje ya nchi, hiyo ndio maana na faida ya "Specialization"Unazungumzia kiwanda kilicholetwa na muwekezaji kutoka nchi za weupe.
Kingekuwa kiwanda ni cha mtanzania au cha serikali na mashine znazotumika humo zimetengenezwa hapa hapa tanzania ningekuelewa
Hapo tanzania katoa ardhi tu,vingine vyote mpaka wataalam vimetoka nje
Alafu wewe ni m#t#ko Kweli.. kampuni ya Apple tu ilikuwa inatumia Microchip za Samsung ambao kwenye soko ndio washindani wao.Unazungumzia kiwanda kilicholetwa na muwekezaji kutoka nchi za weupe.
Kingekuwa kiwanda ni cha mtanzania au cha serikali na mashine znazotumika humo zimetengenezwa hapa hapa tanzania ningekuelewa
Hapo tanzania katoa ardhi tu,vingine vyote mpaka wataalam vimetoka nje
Sasa kama huwez kutengeneza mashine hata ya kukatia kucha basi kwako kiingereza ni cha muhimu ujifunze ili uweze kujua namna ya kuzitumia mashine znazotoka nje,hii lugha yenu mnayoivimbia kichwa haina maana mtaendelea kufa masikinAlafu wewe ni m#t#ko Kweli.. kampuni ya Apple tu ilikuwa inatumia Microchip za Samsung ambao kwenye soko ndio washindani wao.
Huo ujinga unaongea ni wakilofa kupita maelezo.. maana hata elimu ya shuleni ni mchanyiko kutoka nchi mbalimbali duniani bila kuchagua rangi ya ngozi ya mtu Kama Aljebra ni India, Geometric ni Misri n.k
Yani huwezi kujitenga na dunia ufanye cha kwako tuu.. kitu pekee unaweza fanya nikuongeza Ubunifu tuu yani tukisema kila MTU afuche elimu yake Hii dunia isinge fika hapa Leo..
Kwenye uwekezaji kuna kitu FDI(Foreign Direct Investment) kama vile unavyoona kampuni ya Coca-Cola IPO dunia nzima, lakini hapa pia ina viwanda Kwa Juli ya soko la hapa n.k
Hii ndo ilimfanya China akapanda maradufu kwenye Teknolojia baada ya Marekani kuamua kujenga viwanda vingi China Kuepuka uchavuzi wa mazingira wa nchi yake na pia kutafuta Cheap labour.
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
we jamaa unaonekana hujaenda shule ht civics hujasoma.Sasa kama huwez kutengeneza mashine hata ya kukatia kucha basi kwako kiingereza ni cha muhimu ujifunze ili uweze kujua namna ya kuzitumia mashine znazotoka nje,hii lugha yenu mnayoivimbia kichwa haina maana mtaendelea kufa masikin
Hizo teknolojia wamezipata kwa kuinnovate na wala wachina hawatumii kiingereza.Wachina wanateknoloji ndo iliyowainua wanatengeneza vitu kbao nchin mwao,sisi hata kutengeneza chupi hatuwez