chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 13,277
- 40,924
- Thread starter
-
- #41
Umemjibu vizuri sana Mkuu ila tatizo la huyu mtu hayupo kimjadala, yupo kushindana, ni tabia ya Wakenya wengi nilioengage nao kwenye mijadala tofautiWewe una matatizo ya akili sio bure, kwahiyo watu wanaotoa mawazo tofauti/against ya serikali hao ndio wapo sahihi na unawatumia Kama rejea yako?, Wakenya ambao wanaotoa mawazo yao kupinga serikali ya Kenya ni zaidi ya 80% ya wakenya wote, huko mnasema ni "freedom of Expression", wewe umeona wapi watu wote wakapendezwa na serikali iliyopo madarakani.
Kama unafuatilia huyo Jamaa lazima aende kinyume na kile kinachokubalika Tanzania, Sasa hivi Tanzania tukiukataa Ujamaa na kukumbatia ubepari na Kenya wakaacha ubepari na kukumbatia Ujamaa, basi utamuana jinsi atakavyogeuka na kuuponda ubepari na kusifia Ujamaa, huyo ni mfano mzuri Sana wa wivu na chuki ya Kenya dhidi ya Tanzania[emoji23][emoji23][emoji23]Umemjibu vizuri sana Mkuu ila tatizo la huyu mtu hayupo kimjadala, yupo kushindana, ni tabia ya Wakenya wengi nilioengage nao kwenye mijadala tofauti
Kwa mantiki yake kwamba minority waliopo kinyume na ujamaa ndio wapo sahihi kwa chochote wasemacho basi apate taarifa hata Marekani kwenye chimbuko la imperialism pia wapo minority ambao wapo sahihi zaidi.
View attachment 2062284
Hapo umejibu vyema.Sikujua kwamba ujima ni neno la kiswahili. Anyway kama Nyerere kahusika basi hongereni.
😂😂 Cha kushangaza anaupinga ujamaa utafikiri wao wamepata chochote kutoka kwenye huo ubepariKama unafuatilia huyo Jamaa lazima aende kinyume na kile kinachokubalika Tanzania, Sasa hivi Tanzania tukiukataa Ujamaa na kukumbatia ubepari na Kenya wakaacha ubepari na kukumbatia Ujamaa, basi utamuana jinsi atakavyogeuka na kuuponda ubepari na kusifia Ujamaa, huyo ni mfano mzuri Sana wa wivu na chuki ya Kenya dhidi ya Tanzania[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio maana nasema una maradhi sugu ya kushindwa kufikiri!
Jambazi alievamia nyumbani kwako, akapora akaua, akabaka n.k, hata kama alidondosha cheni ya dhahabu wakati anaondoka mkaiokota mkaiuza, mkanunua chakula n.k HUWEZI KUMSHUKURU...labda uwe mgonjwa wa akili kabisa
Neno Harambee ni la kihindi, likimaanisha 'Shime' ni kama neno la morale revamp wahindi walilitumia sana wakati wa ujenzi wa reli ya Mombasa kuelekea hinterlands (lunatic railway) kuchagiza speed ya kazi.Hapo umejibu vyema.
Ni sawa na neno HARAMBEE. Hili ni neno la kiswahili ila limepewa umaarufu wa kipekee na Kenya.
Wakenya wenye akili wanakubali Ujamaa ndio mfumo wa maisha Bora, huyo kajamba nani anayetawaliwa na wivu na chuki anatumia chuki zake katika kufikiria badala ya kuangalia reality[emoji23][emoji23] Cha kushangaza anaupinga ujamaa utafikiri wao wamepata chochote kutoka kwenye huo ubepari
Ukikaa kumsikiliza sana unaweza kufikiria Kenya ni chochote kumbe maisha yao na uchumi wao bora mrundi [emoji23][emoji23][emoji23]
Sababu tunaongelea mifumo ya uzalishaji mali basi aseme Kenya inazalisha nini cha maana, Kenya ina import kila kitu, hakuna chochote wanachozalisha kabisa kabisa zaidi ya ubepari wa Mzungu kwenye maua na chai [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni sawa.Neno Harambee ni la kihindi, likimaanisha 'Shime' ni kama neno la morality revamp wahindi walilitumia sana wakati wa ujenzi wa reli ya Mombasa kuelekea hinterlands (lunatic railway) kuchagiza speed ya kazi.
Sasa mbonanatukuza kizungu kuliko lugha ya taifa lenu ambayo ni Kiswahili ambacho 80% ya maneno yake yanatokea Africa?, Kwenu mtu anayezungumza Kiingereza ni Bora kuliko mtu yeyote, lugha ambayo inaeleweka kwa wakenya wasiozidi 40% wakati Kiswahili kinaeleweka kwa zaidi ya 70% ya wakenya, lakini rais analihutubia taifa kwa kutumia Kiingereza, kwanini hamlikemei hilo?Hakudondosha, alituachia kwa makusudi, sioni aibu kwa kumshukuru mkoloni kwa kutujengea reli, umeme, mfumo wa elimu, mifumo ya kiserikali, bunge, uchumi wa fedha, sarafu, dini na mazuri aliyoyafanya, lakini pia kumshukuru haimaanishi sichukii na kukemea mabaya aliyoyafanya kwa wazee wetu.
"hamkuuelewa huo mfumo au hamkuwa watu sahihi kuutumia"
Ujamaa ni zao la Nyerere mwenyewe, hatukukielewa vipi kitu tulichokiunda wenyewe?
Ujamaa kabla ya Nyerere linaonekana ni somo zuri sana, naomba nidokeze!Mfumo wa Ujamaa ulikuwepo kabla Nyerere kuzaliwa, binafsi huwa namkubali Nyerere kwenye baadhi ya vitu, ila kwa namna huwa mnamuabudu hadi mnaishia kudanganya eti yeye ndiye zao la Ujamaa mara yeye ndiyee aliyebuni Kiswahili .....hehehe
Kuna hii hotuba yake niliipenda sana, ni kweli alikua na mazuri yake lakini acheni kumfanya aonekane kama ndiye aliumba dunia...hii hapa hotuba https://www.jamiiforums.com/data/at...wenye_Mkutano_Mkuu_wa_CCM_Dodoma_1995360p.mp4
Mkenya yupo proud sana kuongea kiswahili kama Mzungu na kukosea kosea maneno kiasi cha kuuliza 'how can I say this in Swahili?' lakini sio kuongea broken english na kusema 'neno hili kwa kiingereza tunasemaje?' ataonekana mshamba na wa hovyo 😂😂😂Sasa mbonanatukuza kizungu kuliko lugha ya taifa lenu ambayo ni Kiswahili ambacho 80% ya maneno yake yanatokea Africa?, Kwenu mtu anayezungumza Kiingereza ni Bora kuliko mtu yeyote, lugha ambayo inaeleweka kwa wakenya wasiozidi 40% wakati Kiswahili kinaeleweka kwa zaidi ya 70% ya wakenya, lakini rais analihutubia taifa kwa kutumia Kiingereza, kwanini hamlikemei hilo?
Sasa huo ni wivu na chuki, wewe huwezi kuweka mipaka kwa kiwango gani watu wanapaswa kumsifia na kumkubali mtu au kiongozi wao, ukiona unakerwa na jinsi watu wanavyompenda au kumtukuza kiongozi wao ujue umeingia katika "Jealous", mbona hakuna mtu anayekuuliza kwanini unamtukuza na kumpa sifa kedekede Yesu au mtume Mohammad?.Mfumo wa Ujamaa ulikuwepo kabla Nyerere kuzaliwa, binafsi huwa namkubali Nyerere kwenye baadhi ya vitu, ila kwa namna huwa mnamuabudu hadi mnaishia kudanganya eti yeye ndiye zao la Ujamaa mara yeye ndiyee aliyebuni Kiswahili .....hehehe
Kuna hii hotuba yake niliipenda sana, ni kweli alikua na mazuri yake lakini acheni kumfanya aonekane kama ndiye aliumba dunia...hii hapa hotuba https://www.jamiiforums.com/data/at...wenye_Mkutano_Mkuu_wa_CCM_Dodoma_1995360p.mp4
Ubepari fake wa wakenya umepelekea ufisadi wa hali ya juu Kenya na ombwe kubwa la walio na wasio nacho,Wakenya wenye akili wanakubali Ujamaa ndio mfumo wa maisha Bora, huyo kajamba nani anayetawaliwa na wivu na chuki anatumia chuki zake katika kufikiria badala ya kuangalia reality
Mimi nimemuelewa vizuri sana Mkuu, tunarudi palepale kwenye wivu na chukiSasa huo ni wivu na chuki, wewe huwezi kuweka mipaka kwa kiwango gani watu wanapaswa kumsifia na kumkubali mtu au kiongozi wao, ukiona unakerwa na jinsi watu wanavyompenda au kumtukuza kiongozi wao ujue umeingia katika "Jealous", mbona hakuna mtu anayekuuliza kwanini unamtukuza na kumpa sifa kedekede Yesu au mtume Mohammad?.
Ukweli ni kwamba unaumia Sana Tanzania ikisifiwa Wala sio Nyerere peke yake, unaumizwa na Tanzania ikisifiwa na unafurahishwa Sana Tanzania inapopata tatizo au kashfa yoyote Ile, ndio sababu unashabikia Sana Mambo ya madogomadogo Kama ushirikina unaofanyika Tanzania
Ujamaa kabla ya Nyerere linaonekana ni somo zuri sana, naomba nidokeze!
Nimekupa history ya neno HARAMBEE, sio kama limepewa umaarufu sana na Kenya bali limetokea Kenya kutokana na hayo maelezo mafupi niliosema!Ni sawa.
Maneno mengi ya kiswahili tumetohoa kutoka lugha nyingine kama kiarabu, kijerumani, kiingereza n.k
Hivyo neno harambee kuwa lina asili ya kihindi haishangazi wala haizuii kuwa neno la kiswahili.
Kama kawaida yako huwa una maneno mengi matupu, kwani Google ndio imesema Ujamaa upo kabla ya Nyerere mpaka nikaiulize Google?Neno Ujamaa (undugu) limetokana na neno jamaa ambalo limetoholewa kutoka kwa neno la Kiarabu عَة jamāʿa, halafu mfumo na nadharia ya Ujamaa ilianza karne za kitambo sana, tumia Google ikuelimishe.
Nyerere aliiga Ujamaa tu kama walivyofanya waasisi wa mataifa mengne walioiga Ubepari, wenzake waliona athari za Ujamaa na kuukwepa na kumuachia Nyerere apambane nawo mpaka ukaja kumtokea puani kwa kusababisha umaskini balaa. Mzee ruksa na akina Mkapa ndio walipambana kubadilisha mpaka mkanyanyuka.
Kwahiyo dunia nzima inayosema "Nyerere is the founder of African socialism ni wajinga na hawajui lolote wewe ndiye mwenye kujua kila kitu?Neno Ujamaa (undugu) limetokana na neno jamaa ambalo limetoholewa kutoka kwa neno la Kiarabu عَة jamāʿa, halafu mfumo na nadharia ya Ujamaa ilianza karne za kitambo sana, tumia Google ikuelimishe.
Nyerere aliiga Ujamaa tu kama walivyofanya waasisi wa mataifa mengne walioiga Ubepari, wenzake waliona athari za Ujamaa na kuukwepa na kumuachia Nyerere apambane nawo mpaka ukaja kumtokea puani kwa kusababisha umaskini balaa. Mzee ruksa na akina Mkapa ndio walipambana kubadilisha mpaka mkanyanyuka.
Kama kawaida yako huwa una maneno mengi matupu, kwani Google ndio imesema Ujamaa upo kabla ya Nyerere mpaka nikaiulize Google?
Ujamaa kama neno ni 0.1% kwenye ujamaa kama siasa!